taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Wa JMT hajui kama wananchi wanasafirishwa kama ng'ombe. mfikishieni Taarifa

    Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi) Mh. Rais SSH hana hizi taarifa Huu usafiri sio salama
  2. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu Kwa Magaidi wa Hamas!!

    Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu: Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya. Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la Mawaziri la Usalama: 1. Mateka wote waachiliwe . 2. Hamas wanyang’anywe silaha. 3. Ukanda usiwe na...
  3. JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo, mtakatishaji fedha maarufu barani Afrika alikuwa na agenda gani Ikulu jana (Agosti 12, 2025) kabla ya Harambee ya CCM?

    Tuna haki ya kuhoji: Mtu huyu ana rekodi chafu na ana kesi nchini Afrika Kusini lakini jana amebainisha mwenyewe kuwa alikuwa nchini, saa chache kabla ya Harambee ya CCM. Hapa kuna ujumbe gani kwetu?
  4. JamiiForums Tanzania Askari wanyamapori auawa na chui Mwanza - wengine 4 wajeruhiwa wakipambana naye - polisi waeleza

    Hawa , Angekua ni Mtanzania ndo Kauliwa ,wangeishia kutoa Matamko na kujifanya kama wao sio Watanzania Ila kwakua mwenzio ndio Kauliwa, hamna Maneno mtaacha kusikia kutoka kwao. https://youtu.be/ByUTXlIIKd0?si=k3kt4hSaLPB3T9Uk
  5. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz huna cha kutubadilisha Watanzania hiyo Press yako ni kutaka tu kujichafua zaidi

    Na wenye Akili tunajua kuwa huyo FISADI Mwenzako mwenye Makazi mengi Dar es Salaam achilia kule kulikotupwa Kitovu chake Bagamoyo ndiyo amekutuma uharakishe kufanya Press ili kusafisha Upepo, ila jua ya kwamba umeshachelewa na kilichobakia sasa Wewe subiria tu Watanzania waungane na Wakushtakie...
  6. U

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MUHIMU: Mkuu Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie,

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hautapewa leseni ya biashara kama Hauna Hizi Taarifa

    Ili uweze kufanya biashara kihalali Tanzania ni muhimu sana uwe na leseni ya biashara. Sasa Kuna taarifa Tano lazima uwe nazo ili upewe leseni ya biashara; 1. Aina ya Biashara, Ni lazima uweke wazi ni biashara gani unataka kufanya mf; Vifaa vya simu 2. Wilaya/halmashauri Ni lazima useme ni...
  8. JamiiForums Tanzania Manara Akanusha Taarifa za Kurejea Simba, Asema Moyo Wake Upo Yanga

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC. Akizungumza kupitia Manara TV, Manara alisema kuwa taarifa hizo si za kweli na kwamba bado...
  9. JamiiForums Tanzania Hatuwezi shindana na ambaye anasema sababu ya kushindwa kwake ni ufinyu wa rasilimali na taarifa ila sisi tunasema ni dhambi za ukoo na kufanya ngono

    Kwa nchi hii fukara yenye watu wenye mindset mgando, rasili za mchongo, pesa iliopo kwenye mifuko ya wachache ila kutotoboa na tabu zako unadanganya watu ni kutokana na makosa ya mababu zako waliofanya na pia ngono inakuua kiroho ndio maana haupati mwanga maishani mwako 🚮🚮 Acha ngozi nyeupe...
  10. JamiiForums Tanzania Kasema Robo tu! Asee, sema yote - umekuwa kwa nafasi unayoaminika kuliko sisi anonymous! Na taarifa yako inasambaa zaidi

    Kasema Robo tu ! Asee sema yote umekuwa kwa nafasi unayoaminika kuliko sisi anonymous! Na taarifa yako inasambaa zaidi Sema pale Morogoro na Ruhangwa (Ruangwa) gari lililopaki kabla na kuweka counting machine ili moshi uanze. Kwanini unakwepa kulisemea? Britanicca
  11. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Lissu alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa za kifo cha JPM, alisema alifariki kwa Corona

    Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo. Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole apuuziwe na taarifa za uongo

    UKWELI KUHUSU KUSIFIWA KUWA TANZANIA NI MOJA YA NCHI YA AMANI NI HUU HAPA. 🇹🇿 Tanzania ni Nchi ya Amani – Ukweli na Takwimu. Kumekuwa na maneno ya kupotosha kwamba sifa za amani za Tanzania “ni maslahi ya mataifa ya nje.” Ukweli ni huu hapa: 1. Global Peace Index 2025 Tanzania imeshika nafasi...
  13. JamiiForums Tanzania Nikiwa huku Famagusta nawatumia Taarifa

    Jana nliweka uzi kuhusiana na kiongozi wenu mmoja kunitega tega. Nipo huku Famagusta kuna watoto wakali. Cyprus mnaifahamu kuna kisiwa kinaitwa Famagusta. Hili jina limenikumbusha maskani ya wana kitambo sana ilikuwa inaitwa Famagusta.
  14. JamiiForums Tanzania wizi wa baiskel yangu nimeambiwa nikitoa taarifa polisi nitatimua nyuki

    kumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia tume, kwani nitakua nimechafua hali ya hewa. Badala yake nimuombe jamaa arudishe kiroho Safi, ila...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa taarifa tu mkude ndie mchezaji pekee ataagwa na timu mbili tofauti kwa heshima..Simba day na wananchi day

    KILA.LA KHERI MWAMBA ULIITENDEA HAKI TATHNIA YA MPIRA ALL DBEST NIONGEZE SAUTI AMAA.???
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwenye taarifa ni lini bodi ya ligi na TFF watatoa tuzo za msimu wa 2024/2025

    Kwa kawaida, Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamekuwa wakitoa tuzo za msimu mara baada ya ligi kumalizika, lakini safari hii mambo yamekuwa kimya. Mashabiki na wadau wengi wanahoji ni lini hafla hiyo muhimu itafanyika kwa msimu wa 2024/2025.
  17. JamiiForums Tanzania Airtel Money sio salama. Nimebadili neno la siri bila Kuhojiwa taarifa zozote Muhimu na wahudumu kuhusu Account yangu

    Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili. Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine? Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭 Sidhani kama...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Tume ya Uchaguzi imeficha taarifa za wapiga kura?

    GT Ni maajabu hawa wanaojiita tume huru ya uchaguzi huku majina ya wapiga kura yamefichwa Mi najiuliza kwa nini wanahitaji namba ya kadi ya kupiga kura ili niweze kuona jina langu? Hii ina maana kwamba hakuna mtu yoyote anaweza kuona majina ya wapiga kura isipokuwa tume yenyewe ah aha ah 😅 😄 😆...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 "Mimi na ndugu zangu (wengine ni marehemu) hatukujiandikisha lakini taarifa za tume zinaonyesha tumeandikishwa" . Hii imekaaje?

    Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri. Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia...
  20. JamiiForums Tanzania CCM imetoa wapi mamlaka ya Kutumia taarifa zetu za NIDA kutengeneza vitambulisho vya chama? Je CHADEMA wanaweza pewa hii access!?

    Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!? Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…