taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TBS: Kuanzia 01 Machi 2021, utaratibu wa kukagua magari kutoka nje ya nchi, utafanyikia hapa nchini

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

    Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne. Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara. Source: ITV...
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusu uchunguzi wa mabadiliko klabu ya Simba

    Taarifa hii nimeipata kwenye moja ya magazeti hapa nchini
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa za vifo vya Covid-19 zinatia shaka

    Jana tarehe 09/01/2021 kulikuwa na vifo zaidi ya elfu tatu vinavyotokana na Corona huko Marekani. Hii inatia shaka! Inavyoonekana ni Kama akifa mtu mwenye virusi vya Corona wanasema amekufa kwa Corona hata Kama alikuwa anaumwa pia ugonjwa mwingine. Si kila mtu mwenye virusi vya Corona ni...
  6. JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa. 2. Mfumo...
  7. JamiiForums Tanzania Siku ya nukta nundu yasisitiza umuhimu wa kufikia taarifa

    Umoja wa Mataifa unaadhimisha siku ya nukta nundu duniani Jumatatu Januari 4, kwa kusisitiza umuhimu wa mfumo huu wa kupitisha habari kwa ajili ya kuhakikisha haki za watu wenye ulemavu wa kutoona na watu wenye uonevu dhaifu. Watu wenye ulemavu wa kutoona wako hatarini ya kukabiliwa na viwango...
  8. JamiiForums Tanzania Bahi, Dodoma: Treni iliyokuwa ikitoka Dar kuelekea bara imepata ajali. Majeruhi na vifo vyaripotiwa

    Nimepigiwa simu na mpwa wangu ambaye ni miongoni mwa abiria walionusurikana, kuwa treni iliyokuwa ikitoka Dar - Kigoma imepata ajali kilometa chache kutoka stesheni ya Dodoma. Inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na inadaiwa watu 3 wamepoteza maisha. Naomba wahusika wafuatilie. ======...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

    Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter “Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba. Nachambua Taarifa za Benki Kuu za mapato kulinganisha na Taarifa ya TRA. Nitaonyesha kwa ushahidi kuwa TRA wamedanganya Umma.”...
  10. JamiiForums Tanzania CUF: Liwale inahitajika Tume huru ya Uchaguzi

    CUF-CHAMA CHA WANANCHI. TAARIFA KWA UMMA. LIWALE INAHITAJIKA TUME HURU YA UCHUNGUZI.
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umasikini wakita mizizi zaidi Kenya: Taarifa ya Benki ya Dunia

    Hali ya UMASIKINI nchini Kenya yatajwa kuzidi kuwa mbaya sana. Hiyo inapelekea kuwa ni miongoni mwa nchi 10 Afrika zenye kiwango kikubwa cha UMASIKINI uliyotopea. Mtu anaweza kujiuliza ni kwa nini hali UMASIKINI uliokita MIZIZI iko hivyo, ilhali nchi inajipambanua kuwa ni miongoni mwa nchi...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya wine

    Nahitaji kuanzisha biashara ya wine inayotengenezwa kwa kutumia asali.Naombeni ushauri maoni au taarifa yoyote inayoweza kunisaidia katika hii biashara ninayotarajia kuanza
  13. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu Kwa Umma: Usikose Kufuatilia Kipindi Maalumu Cha PapoKwaPapo Kinachoongozwa Na Kamarada Humphrey Polepole Saa 3 Usiku Huu

    Mpigie kamarada atakuwa live kutatua kero za Watanzania bila kujali itikadi zao za Kisiasa Usisahau kumtaarifu mwenzako Tuna Jambo Letu
  14. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Polisi wavamia mkutano wa ndani wa Uchaguzi jumuiya CUF Handeni

    TAARIFA KWA UMMA: POLISI WAVAMIA MKUTANO WA NDANI WA UCHAGUZI WA JUMUIYA CUF HANDENI: Jeshi la Polisi limevamia Mkutano wa Uchaguzi wa Jumuiya za CUF- Chama Cha Wananchi- Jumuiya ya Wanawake (JUKECUF) na Jumuiya ya Vijana ( JUVICUF) Handeni Tanga. Kwa mujibu wa Maelezo ya Naibu Mkurugenzi...
  15. JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro umepewa taarifa yaliyotokea Kijiji cha Kimange leo

    Habari Uzee na wingi wa majukumu unatufanya tusiwe na muda sana kushiriki mijadala humu. Well kwanza nianze kusema mimi ni mdau sekta ya usafirishaji. Thread yangu hii sio kwa lengo la kumsemea mtu au kuingilia mjukumu ya watu. Kamanda Sirro kilichotokea Jana saa nane usiku ni uvamizi wa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: China na Tanzania kuimarisha ushirikiano

    TAARIFA KWA UMMA CHINA NA TANZANIA KUIMARISHA ZAIDI USHIRIKIANO Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China Nchini Tanzania Bi. Wang Ke. Mazungumzo hayo yamelenga katika kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Hizi bahasha wanazopewa waandishi habari baada press release ni mafuta tu au ni takrima?

    Nimefanya utafiti kuhusu namna waandishi wa habari wanavyouza weno wao kwa makundi ya watu wenye fedha na taasisi mbalimbali. Mtanisaidia kukosoa ila Hali ipo hivi kwa kifupi. 1. Kila Waandishi wahabari wanapoitwa kwenye tukio lazima uone wakisaini bahasha za kaki na waandika majina...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Latvia yapitisha sheria ya kuwalinda watoa taarifa (Whistleblowers)

    Serikali kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Latvia(KNAB) na Taasisi ya Uwazi ya Kimataifa (Delna) wameanza kampeni ya kuongeza uelewa kwa wananchi kuhusu masuala ya kutoa taarifa kuhusu rushwa na jinsi watakavyolindwa kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Watoa Taarifa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Intelijensia ya CHADEMA imefia wapi hadi wanachama wao wanaapishwa Ubunge viongozi hawana taarifa?

    Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje. CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli wapi hadi barua yenye sahihi na muhuri wa katibu mkuu inafika NEC bila uongozi akiwemo KM mwenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…