taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu tuanzeni mapema Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwa taarifa mbaya au nzuri baada ya Saa 12 leo Jioni

    Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo. Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
  2. JamiiForums Tanzania Video: Mtangazaji akatisha taarifa ya habari na kufunguka kuwa hajalipwa

    Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha KBN nchini Zambia amefunguka kuwa yeye na wenzake hawajalipwa mishahara yao. Kalimina Kabinda alikatisha taarifa ya habari na kuwaumbua waajiri wake mubashara, na kisha kuichapisha video hiyo katika mtandao wa kijamii wa Facebook. Pamoja na video hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ina taarifa kuwa Mabenki yanapunguza na kufukuza wafanyakazi?

    Waziri anayehusika na kazi anayo habari kuwa mamia ya wafanyakazi katika mabenki mbali mbali hapa nchini wamepoteza ajira kwa kufukuzwa? Walianza Access, Finca na sasa Stanchart na mengine binafsi isipokuwa yanayomilikiwa na serikali. Kibaya zaidi wafanyakazi wanalipwa mafao duni na wengine...
  4. JamiiForums Tanzania Raia atakayetoa taarifa ya mhalifu Dar kulipwa Mil. 2

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetangaza donge nono la kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa za kweli na kwa usiri mkubwa kwa jeshi hilo kuhusu mtu anayefanya uhalifu wa kutumia silaha, lengo likiwa ni kuhakikisha mkoa huo unabaki kuwa shwari...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, waelekeze watendaji serikalini watoe mawasiliano yao ili wananchi wawape taarifa

    Ili kupunguza malalamiko mitandaoni yanayopelekea viongozi wa kisiasa kutumbua Watumishi wa umma nakushauri uwaelekeze wakurugenzi, wakuu wa taasisi na Makatibu wakuu waweke wazi njia za mawasiliano Kama Nampa ya simu, WhatsApp na email ambazo jumbe zitakazotumwa zitawafikia wao tu bila kusomwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, una taarifa za changamoto ya mifumo ya TEHAMA nchini hasa kukosekana kwa huduma ya malipo up (control number)?

    Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto ya control number fedha lazima zitakuwa zinapigwa kwa sababu huduma zinatolewa manually kitu ambacho...
  7. U

    JamiiForums Tanzania RC Hapi aswalisha suala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Musoma Mara

    Wadau wa JF Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Hapi ameshiriki Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Musoma Mkoani Mara Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mara Msabaha Kassimu alimpa nafasi ya Kuswalisha Mheshimiwa Hapi Mheshimiwa Hapi baada ya suala alitoa hotuba na alihimiza Umoja...
  8. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Upatikanaji wa Mayai Nchi Tanzania

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI TAARIFA FUPI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI 15 JUNI 2021 1. UTANGULIZI Tarehe 15/06/2021 Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliona ujumbe unazunguka kwa njia ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kanusho la kuwepo kwa Mayai ya Kuku kutoka nje ya Nchi yaliyosababisha kushuka kwa bei ya Mayai Nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Dodoma, Juni 17, 2021 A: UVUMI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA UWEPO WA MAYAI YA KUKU KUTOKA NJE YA NCHI YALIYOSABABISHA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI Ndugu waandishi wa Habari, Tarehe 14/06/2021 Wizara ya...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Yanga hawana taarifa ya kifo cha Kenneth Kaunda?

    Inasikitisha kuona timu kubwa kama Yanga ambayo imeupachika uwanja wake jina la Kenneth Kaunda Stadium inashindwa kutoa hata taarifa ya kusikitishwa na msiba wa mwanamajumui huyu wa Afrika. Ndio kusema Viongozi hawana taarifa ya msiba huu au hawajui vinasaba vya Kenneth Kaunda na Yanga? ======...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Mnalofanya Serikali ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za kodi na mnadhani Watanzania hawaelewi

    Mwigulu Nchemba, ambaye siku zote ametueleza kwamba yeye ni mchumi mbobezi aliefaulu degree yake ya uchumi pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa daraja la kwanza, anakuja kutufafanulia Watanzania kwamba serikali imefanya ufikirio saa katika suala la kodi ya laini ya simu ili isiwaumize...
  12. JamiiForums Tanzania Figisu zaanza TFF , Oscar Oscar adai kupewa taarifa kwamba kakatwa

    Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwenye vyombo vya habari , anadai amepokea Email kutoka Kamati ya Uchaguzi kwamba Amekatwa. Ameahidi kutoa ufafanuzi zaidi baadaye kidogo
  13. JamiiForums Tanzania Watoto ni chanzo kizuri sana cha taarifa. Unapokuwa kazini wao wanazurura mitaani

    Good afternoon jamiiforums Hivi unafahamu ya kwamba watoto wadogo hao unaowaona kama bado hawaijui dunia vema wanaweza kuwa wanajua mambo mengi sana yanayoendelea mitaani kuliko watu wazima? Wakati wewe upo kazini, watoto hawa wanazurura mitaani hivyo wanakutana na mambo mengi sana. Ukiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nigeria: Redio na Runinga zaelekezwa kutotumia Twitter kama chanzo cha taarifa

    Mamlaka ya Utangazaji imeshauri Runinga na Redio kutotumia Mtandao wa Kijamii wa #Twitter kama chanzo cha taarifa zao, huku ikiwataka wafunge akaunti zao Mamlaka hiyo imesema haitokuwa uzalendo kwa Watangazaji wa #Nigeria kuendelea kutumia Mtandao huo. Twitter imesema itafanyia kazi kurejesha...
  15. JamiiForums Tanzania WHO: Hatuna mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya janga la Corona

    Afisa wa Juu wa Shirika la Afya Duniani amesema WHO haina mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya mlipuko wa Virusi vya Corona Hivi karibuni Nadharia ya kuvuja kutokea Maabara iliyopo Wuhan kwa bahati mbaya imekuwa na mjadala mpya baada ya Wanasayansi kadhaa kutaka...
  16. JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Taarifa ya Utendaji wa siku 78 za Rais Samia Ikulu

    Maoni yangu: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa taarifa ya utendaji wa Serikali kwa siku 78 za Rais Samia Suluhu ofisini-Ikulu. Pamoja na mambo mengi mazuri, taarifa hiyo ina mapungufu kadhaa kwa maoni yangu, kama ifuatavyo: 1. Mkataba wa Gesi Da'slam-Mombasa Taarifa ya Msemaji...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Waitara awatumbua wafanyakazi wawili wa TPA kwa kushindwa kutoa taarifa ya ubovu wa meli ya MV Mbeya II tangu 2020

    Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana. Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, taarifa zinadai idara na Wizara nyingi zinafunga mwaka na wakubwa wanagawana fedha za funga mwaka

    Mhe. Waziri Mkuu tunalojukumu lakukushirikisha wasemavyo Watumishi wa umma hasa waliopo wizarani na kwenye Idara za serikali, naamini ninachokiandika hapa unakifahamu ila najaribu kukirudia ukiweke kwenye mpango kazi wako. Nianze kukupongeza kwa kazi kubwa uliyofanya Wizara ya fedha, hongera...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

    Jamani msaada napataje AVN ikiwa nimesahau username na password nilizizitumiaga pindi najisajiri.
  20. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

    WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…