taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada wa taarifa - natafuta empty glass bottles

    Naomba kujua - kwa anayefahamu - mahali ninakoweza kununua chupa tupu za glass za robo lita, nusu lita na lita moja kwa ajili ya kuhifadhia vitu mbalimbali. Natanguliza shukrani.
  2. Fursa kwa wakazi wa Dar Fursa ya ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko

    Fursa kwa wakazi wa Dar es salaam na Habari ndugu,napenda kuwapa taarifa kuwa kuna fursa ya uanzishaji na ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko Dar es salaam. Maeneo yanagaiwa kwa walio tayari kwa ufugaji na pia kwa maelezo zaidi unaweza nitafuta kwa 0762842787 kupata taarifa zinazohusiana...
  3. B

    Kesi ya Mbowe: Panapo Majaliwa Tuwape Taarifa Mawakili Wetu

    Ifahamike kuwa hatuna taabu Mh. Mbowe na wenziwe kuhukumiwa kama kweli ni wahalifu. Hata hivyo ifahamike kuwa haikubaliki kuwabambikizia kesi na hukumu zisizokuwa za haki. Inafahamika kuwa Mawakili wetu wanafanya kazi kubwa katika mazingira magumu sana. Heshima kubwa kwao. Heshima kwenu pia...
  4. K

    Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

    Zipo Taarifa kwamba Mahita Junior amefiwa na mtoto Arusha na watazika Morogoro kesho, je Taarifa hizi Zina ukweli? Nini chanzo? If so,poleni familia
  5. Mwangasa: Kila mtu ana haki ya faragha, hadi pale mamlaka za uchunguzi zinapohitaji taarifa

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mtandaoni, Joshua Mwangasa amesema kila mtu ana faragha ya Mawasiliano hadi pale yatakapohitajika kwa ajili ya suala la uchunguzi. Chombo cha Uchunguzi hutakiwa kuandika barua kumuomba anayemiliki taarifa kama kampuni ya mawasiliano kupewa taarifa hizo. Katika...
  6. Kesi ya Mbowe na wanasheria wa Tigo na Airtel ikumbushe wenye mamlaka kutunza siri za wateja ni muhimu kujenga sekta imara ya benki na mawasiliano

    Shahidi ambaye ni wakili katika kesi ya Mbowe kwa jina la Frank Kapara ameeleza kwa mlolongo mrefu uzoefu na utendaji wa kazi yake katika kampuni ya Tigo. Pia ameeleza jinsi gani anavyotoa taarifa za wateja kwa vyombo vingine pale anapohitajika kufanya hivyo. Maelezo yake anaonyesha ni rahisi...
  7. D

    Malipo kupitia NCARD wakati mwingine ni changamoto! Wanafyeka pesa bila taarifa

    Hawa jamaa wa NCARD sometimes Yes sometimes No! Wapo kianalog analogi sana! Mwanzoni January walinifyeka 10000 bila kutumia chochote. Nikapiga customer care wakaahidi kushughulikia lakini holaa! Juzi tena nimeweka elfu hamsini nayo wakalamba kimya kimya bila kutumia! Taarifa nimewapa lakini...
  8. Mitandao ya simu ikitoa taarifa zetu kwa vyombo vya ulinzi huwa wanapata idhini ya Mahakama?

    Ni kawaida uhuru wa mtu kuingiliwa iwapo inaonekana unahatarisha usalama wa wengine. Lakini ni lazima mahakama ithibitishe kuwa usalama wa wengine upo hatarini. Vyombo vya dola vikiingilia bila ruhusa ya mahakama, basi ushahidi huo hauwezi kutumika mahakamani na jambo hilo huwa siri yao. Sasa...
  9. Takriban wiki ya pili sasa hatuoni dalili ya yeye kutafuta hata shughuli, yaani yupo tu

    Nikiwa kama kichwa cha familia, nyumbani kwangu ni sheria zangu, na linapokuja swala la sheria kwa wageni huwa zimekazwa mno kwa wageni wa kiume ambao ni miaka 28+ maaana hawa tayari ni wanauume na asili yetu ni kupambana ili kujitegemea......changamoto za kimaisha na harakati za kiupambanaji...
  10. Italia: Wadukuzi wadai kuiba GB 60 za taarifa za watu

    Shirika la Usalama wa Taarifa za Mtandaoni nchini Italia linachunguza jinsi wadukuzi walivyofanikiwa kuiba taarifa za wafanyakazi na watumiaji waliosajiliwa wa Shirika la Hakimiliki la Taifa. Kundi hilo la Wadukuzi linalojiita ‘Everest’ limedai kuwa linamiliki zaidi ya Gigabaiti 60 za taarifa...
  11. Kwa Taarifa za Matukio ya 'Kipuuzi' kama hili kutoka Barani Afrika, Wazungu wakisikia na wakiendelea 'Kutudharau' Waafrika watakuwa wanatukosea?

    Mtu Mmoja aitwae Godwin Mathew ( 26 ) kutoka nchini Nigeria amemuua Baba yake Mzazi Mathew Audu ( 64 ) kwa Kosa la Kula Nyama ya Kuku yote katika Sahani na Kumbakizia Mwanae Kichwa tu. Taarifa: Nipashe Online Siyo kwamba GENTAMYCINE nasema kuwa Wazungu nao hawana Mapungufu yao ila angalau...
  12. U

    Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

    Mazungumzo ya Viongozi hao yamefanyika leo September 29,2021 Ikulu ya Chamwino Dodoma
  13. TANZIA Mtanzania afariki Ufaransa, msaada unahitajika ili ndugu wapate taarifa

  14. SoC01 Suluhisho la upotoshwaji wa taarifa mitandaoni na udukuzi nchini tanzania

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litalenga zaidi kuzuia UPOTOSHWAJI WA TAARIFA MITANDAONI na UDUKUZI katika Nchi yetu ya Tanzania. Nitazungumzia mambo yafuatayo: Nini chanzo cha upotoshwaji wa taarifa...
  15. U

    Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

    Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi Usipange kukosa kufuatilia Mtaarifu mwenzako
  16. SoC01 Mkono Mtupu Haulambwi

    Nilibahatika kuitwa kwenye usaili wa kazi, kielimu nimehitimu mafunzo ya Udaktari mwaka 2018, na endapo ningefaulu usaili ule basi ningekuwa mkuu wa kitengo cha afya kwenye taasisi hiyo. Nilifanya maandalizi ya kutosha. Katika maswali niliyoulizwa nijieleze lilikuwa, “how well are you connected...
  17. J

    Fuatilia taarifa za COVID-19 kutoka katika vyanzo vinavyoaminika

    Kumekuwa na kasi ya usambaaji wa taarifa na propaganda nyingi kuhusu ugonjwa wa Corona, chanjo na virusi vipya vinapoibuka ulimwenguni. Propaganda hizo zimeibua nadharia nyingi na taharuki miongoni mwa jamii. Shirika la Afya ulimwenguni limefanya jitihada mbalimbali katika kudhibiti ueneaji wa...
  18. U

    Taarifa ya Mkutano wa Injili Mubashara Kutoka Nyamongo Tarime Kanisa la Waadventista Wasabato Kewanja

    Unaweza fuatilia mahubiri haya kupitia Hope Channel au Mitandao ya Kujamii ya Facebook au Instagram Karibuni Wapendwa Wana JF Mpate neno la uzima Mungu kwanza mengine baadaye
  19. Taarifa ni software ya maisha

    Tunapokea taarifa nyingi maishani mwetu: masomo shuleni stori kijiweni habari magazetini mahubiri ibadani nk. Hizo zote ndizo software zinazoendesha hardware - ambayo ni mimi na wewe. Tunachosikia, kitaamua tutakachotenda. Kama taarifa ni ya kweli; ni sahihi - tutatenda kwa namna...
  20. W

    Taarifa ya utekelezaji wa sera ya uongezaji wa ukwasi mtaani kutoka benk kuu.

    Naambatanisha wala wa benki kuu wa tarehe 13.09 .2021 hapo chini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…