taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Live Stream katika Kusaidia Jamii na Kurahisisha Upatikanaji wa Taarifa sahihi za Hapo Papo Real time

    Teknolojia ya live streaming imeleta mapinduzi makubwa katika njia za usambazaji wa taarifa. Kupitia teknolojia hii, jamii inapata fursa ya kufuatilia matukio kwa wakati halisi, hivyo kuharakisha upatikanaji wa taarifa muhimu, hasa katika hali za dharura. Kwa mfano, live streaming imekuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Taarifa Tu: ICC hawaingii hadi majibu ya maswali 5 yafuatayo yatolewe...

    Na. M. M. Mwanakijiji Kwa wanaokumbuka nilitoa taarifa mwezi wa kumi na mbili mwaka jana hapa kuwa nilipata nafasi ya kufanya "utalii" pale The Hague Uholanzi. Sikuwahi kufikiria naweza kufika mahali hapo kiutalii na kuweza kujifunza mambo mbalimbali. Matukio ya Oktoba 29-Nov. 4, 2025...
  3. R

    JamiiForums Tanzania BURKINA FASO: Serikali yakana ripoti ya zaidi ya raia 1,800 kuuawa kipindi cha uongozi wa Traore

    Burkina Faso imekanusha taarifa inayodai kuwa zaidi ya raia 1,800 wameuawa katika matukio yanayochukuliwa kama “uhalifu dhidi ya ubinadamu” tangu Ibrahim Traoré alipochukua madaraka kwa nguvu miaka mitatu iliyopita. Shirika la Human Rights Watch, lililotoa ripoti hiyo, linasema kuwa mauaji...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Karne tuliyopo unapoenda kumtembelea mtu jitahidi utoe Taarifa kabla

    Usikurupuke kwenda kwa mtu umetoka sehemu unaenda kwa mtu bila taarifa wengine tunasababishiana tuonekane tuna roho mbaya kumbe mtu unakuja hutoi taarifa yoyote unashtukia tu mtu huyu hapa na mbaya zaidi bora uje ukae kidogo uondoke ila unang'ang'ania kulala kwamba hutaki kuondoka. Watu tuwe...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutohama kwa taarifa za Utumishi baada ya kuhamia Halmashauri nyingine

    Mimi ni mwalimu, Nimehama kutoka halmashauri A tangu mwaka 2024 na sasa nipo halmashauri B lakini mshahara na taarifa za utumishi bado zinasoma halmashauri A. Na wanaohusika kuhamisha hizo taarifa ni TAMISEMI na kila ninapowapigia simu majibu ni yaleyale kuwa watahamisha lakini hawajahamisa...
  6. JamiiForums Tanzania Kheri ya siku ya kimataifa ya uhakiki wa Taarifa (International Day of Fact-Checking)

    Kila ifikapo April 2 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya kuthibitisha taarifa mtandaoni ikiwa ni lengo la kuhamasisha umuhimu wa kuchunguza ukweli wa habari kabla ya kuziamini au kuzisambaza. Siku hii ilianzishwa mwaka 2016 na taasisi mbalimbali za habari na uhakiki wa taarifa, hasa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran!!

    Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI: -"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni". -"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye". -"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
  8. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Advanced Excel katika uchambuzi wa taarifa ofisini

    Wakuu, husika na mada tajwa hapo juu, naomba mnisikilize kidogo. Nimehitimu masomo yangu mwaka 2024 katika fani ya IT in Business. Baada ya hapo nilipata nafasi ya kufanya kazi katika kampuni moja iliyopo Posta, ambapo nafanya kazi kama Consultant pamoja na Data Analyst. Pia ninashiriki...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa 2025/2026 na mpango wa 2026/2027 kwa Kamati ya NUU

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa mwaka 2025/2026 na mpango wa bajeti wa mwaka wa Fedha 2026/2027 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama (NUU) jijini Dodoma. Akiwasilisha...
  10. JamiiForums Tanzania ATHARI YA SIASA kwenye Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka

    Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka 🎯Ongezeko la mzozo wa Mashariki ya Kati limesababisha bei ya mafuta duniani kufikia $90 kwa pipa, kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka miwili. Hali hii inatishia kudhoofisha kasi ya kushuka kwa...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Taarifa ya TAMISEMI, ikiwataka watumishi wakabadilishe majina

  12. JamiiForums Tanzania Updates: Vita vya USA-Israel vs Iran - Taarifa zangu za upande wa iran

    Hapa kuna habari ulizoandika zikatafsiriwa kwa Kiswahili: --- 🇮🇷 Gwardia ya Mapinduzi yatangaza udhibiti kamili wa Mlalakayuko wa Hormuz --- 🇮🇷 Shambulio la drone dhidi ya nafasi za Marekani mjini Erbil Reuters, ikirejelea vyanzo vya usalama: kambi ya kijeshi ya Marekani na hoteli huko...
  13. O

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MPYA: Kampuni kadhaa kubwa za mafuta zimesitisha usafirishaji wa mafuta kupitia Strait of Hormuz.

    Makampuni kadhaa makubwa ya mafuta pamoja na makampuni ya usambazaji wa mafuta na petroli yamesitisha kwa muda usafirishaji wa mafuta, petroli na bidhaa kupitia Strait of Hormuz kutokana na mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran kwa mujibu wa ripoti kutoka Reuters.
  14. O

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MPYA: Australia imesema inaunga mkono operesheni ya Marekani dhidi ya Iran.

    Serikali ya Australia chini ya Waziri Mkuu Anthony Albanese imepongeza uamuzi wa Marekani kuendesha operesheni dhidi ya Iran ili kuizuia nchi hiyo kupata silaha za nyuklia na kuzuia tishio la usalama wa kimataifa, ikisema inasema pamoja na “watu hodari wa Iran katika mapambano yao dhidi ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kuzuia ‘Media’ ni kuziba macho ya jamii na kujenga pengo la taarifa linaloweza kujazwa na uvumi

    Katika Jamii ya Kidemokrasia, uwazi na uhuru wa Vyombo vya Habari ni nguzo muhimu za uwajibikaji. Hata hivyo, pale ambapo Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Inapoamua kuzuia Vyombo vya Habari kushuhudia ushuhuda wa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi kabla hujatupa karatasi yoyote yenye taarifa binafsi...

    Nyaraka hizi zikiangukia mikono mbaya, zinaweza kutumika kwa utapeli (identity theft), kuibiwa pesa, au kuharibu sifa ya mtu/kampuni. Chanachana (Shredding): ✂️ Hii ndio njia salama zaidi. Ikiwa huna mashine ya "shredder" ofisini au nyumbani, hakikisha unachana karatasi hizo vipande vidogo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo. Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto zinazowakabili Wanafunzi SUA kipindi hiki cha Mitihani

    Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka. Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
  19. JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ya CUF kuhusu Msajili kutengua matokeo ya Viongozi wa Chama hicho chini ya Prof. Lipumba

  20. R

    JamiiForums Tanzania Polisi nanyi hamuaminiki milele, taarifa hii hakuna mwenye akili anaweza kuiamini kutokana na matendo ya kuteka watu na kusema hamuhusiki

    Polisi hamuaminiki. Mmeteka watu maelfu mnasema hamihusiki, at the end of the day inafahamika pasi shaka kuwa you are the CULPRITS. Soka yuko wapi wakati aliripoti Chang'ombe na mkasema hamuhusiki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…