taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: JamiiCheck imekuwa Msaada mkubwa kwa Jamii katika Kuhakiki Taarifa

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema baada ya kutembelea Mikoa tofauti ya Tanzania Bara na Zanzibar, walipata wazo la kuja na mfumo wa uhakiki wa taarifa, ndipo ikawa mwanzo wa kuanzishwa kwa JamiiCheck ambayo ilizinduliwa Mwaka 2022 Maxence ameyasema hayo wakati akichangia...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watengeneza Maudhui wa Tanzania wanatumia vibaya taarifa za watu, TCRA isaidie hili

    Kuna vijana wengi wanatengeneza maudhui ili kujipatia umaarufu au fedha mtandaoni. Hii sio shida, shida inakuja pale ambapo unatumia sura ya mtu bila kuwa na idhini yake. Tulishazungumzia hili kwa ma-mc wanachukua watu video na kuweka kwenye page zao, ambazo video hizo zinakuwa zinatweza utu wa...
  3. Superbrand

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuboresha mifumo ya upatikanaji wa taarifa za wagonjwa nchini

    Kupitia ukuaji wa Teknolojia ya mawasiliano na Habari, Tanzania imeweza kuunda mifumo ya usimamizi wa Taarifa za wagonjwa. Mifumo hii iliyoundwa bado kwa sasa imekuwa ina changamoto kubwa ambayo ni kuwa haisomani na kupelekea kutokuwa na Tija. Mgonjwa anaenda hospitali ambapo tayari ashawahi...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji sana 'Critical Thinking' yako katika hii Taarifa tafadhali

    Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini unatarajia kumsafirisha kwa ndege Mtanzania Kulwa Hassan Twalibu, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Sterkfontein iliyopo Johannesbug- Afrika Kusini tangu mwaka 2018. Balozi James Bwana amesema Twalibu anarejea Tanzania ili akaungane na familia yake...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya tiGO Pesa Mastercard kuna changamoto kubwa sana ambayo nimekuwa nikitoa taarifa kwa huduma kwa wateja hawashughulikii

    Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN. Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly Tigopesa. Naongea hivi kwasababu hili tatizo limeanza kutokea kipindi hiki cha week 2 hizi nimefanya...
  6. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jamii ifanye nini ili kupambana na Taarifa Potofu?

    Ulimwengu umepita katika zama tofauti tangu uwepo wake hadi sasa tulipo. Zama hizi za sasa za taarifa ni moja kati ya zama ngumu na muhimu sana kwa jamii kwa sababu bila kuwa na taarifa jamii haiwawezi kushiriki katika shughuli yeyote ya kiuchumi na kisiasa ili kujiletea maendeleo. Wanafunzi...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hizi taarifa za mkopo wa Korea Kusini mbona zina utata mwingi?

    Nimenukuu kutoka mtandao wa X kwa ndugu Martin Maranja Masese, na nimeamua kuiweka hapa ili na nyinyi Wakuu muweze kutoa maoni yenu. Maana habari za vyombo vikubwa vya habari kama Sauti ya America na Reuters vilio ripoti kama ilivyo nukuliwa hapo chini, akaja na Waziri wa uwekezaji na yeye...
  8. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Al Jazeera kuhusu mauaji kule Jazira imetangazwa faster kuliko kawaida

    Al Jazeera wametangaza hii habari haraka haraka sana hakuna coverage hata ya kuhoji watu ambao wanasema Ile ni massacre. African news nao Wala hawatangazi kuhusu Sudani. Taarifa yote iko Gaza Ina cover Kila sekunde hadi mistari ya kuchukua chakula milio ya ndege n.k Africa is for Africans...
  9. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Nimefungiwa pombe kwenye karatasi lenye taarifa za wachangia damu

    Salamu, basi jana nikaona nichukue pombe kali nikanywee nyumbani, yule muuzaji akaniwekea kwenye bahasha nyeupe yenye maandishi pande zote. Nilipofika nyumbani nikapiga fundo la kwanza na la pili kisha nikaanza kuipitia ile bahasha nilishtuka kidogo maana ina taarifa za wachangia damu wawili...
  10. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taarifa Binafsi zinazokusanywa na Makampuni ya mikopo Ya Online ni hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama Branch, PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X. Bongopesa Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na Kampuni hizi. Nimejaribu kadhaa na hakuna ya afadhali, unakuta inakusanya taarifa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bora Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji Dodoma, Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini

    Nilishukuru sana Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji..Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini hawana kitu. Hii dhambi naomba Mungu ifike kwenye Mahakama ya Mbinguni ili Mungu ainue Watu Duniani watutetee. Pia soma ~ Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Ukikopa Bongopesa ukachelewa kulipa wanawatumia sms wote unaowasilaiana nao

    App za mikopo mitandaoni kama Bongopesa wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana. Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Tunaomba kujua je wapo sahihi...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Benki zinavujisha taarifa za wateja

    Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo 1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho, 2.Pili na kuhold account ya jamaa kisa, anadaiana na mtu akatumia advantage ya kujulikana serikali...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Upanuzi wa Mfumo wa Kutunza Taarifa za Wagonjwa ni Hatua Muhimu katika Mapambano Dhidi ya Kansa

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya afya, ikiwa ni pamoja na upatikanaji duni wa huduma za matibabu na usimamizi mdogo wa taarifa za afya za wagonjwa. Mojawapo ya matatizo makubwa yanayokabiliwa na jamii ni kutopata matibabu sahihi kwa magonjwa...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya taasisi za Mawasiliano na mifumo ya Kidijitali kama njia ya mawasiliano (kutoa taarifa) kati ya wananchi na viongozi

    UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya sasa imetawaliwa na mifumo ya utandawazi kupitia teknolojia ya viwango vya juu ya matumizi ya mtandao...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jaji Mkuu ana taarifa kwamba majaji wa Mahakama Kuu siku hizi "Wanaandikiwa" hukumu na watu tunaopishana nao magengeni na kwenye baa?

    Nadhani kuna haja ya Mahakama kufanya tathimini katika hili jambo. Majaji wengi hawaandiki hukumu kwa mkono wao na fikra zao binafsi, wanaandikiwa hukumu! Ukifanikiwa kumjua anayemuandikia hukumu Jaji, hata kama una kesi ya namna gani, utapata upenyo tu! Wakati Rais anateua Majaji, kwa kweli ni...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu kusimamia Kanzidata ya Taarifa za Wakopaji

    Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imetoa leseni kwa kampuni mbili za kuchakata taarifa za mikopo, kampuni hizo ni Creditinfo Tanzania Limited na Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania Limited. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Umoja wa Ulaya yasema Chat GPT bado haifikii viwango vya usahihi wa Taarifa

    Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Aliyetoa Taarifa zilizopelekea Kukamatwa Osama Bin Laden Atishia Kuishitaki USA, asema hajalipwa pesa zake Bilioni 68

    Mtanzania Jabarldin Hamis Ijengo ametishia kwenda Mahakamani Kuishitaki Ubalozi wa Marekani Nchini Kwa madai kwamba haijamlipa pesa zake kufuatia kutoa taarifa za Siri na uhakika zilizowezeshwa kuuwawa Kwa Gaidi Maarufu bwana Osama Bin Laden. My Take USA acheni Utapeli lipeni pesa za watu...
  20. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania SoC04 Udhibiti wa Taarifa hasi katika jamii: Adhima kuifikia Tanzania yenye visa sifuri vya Ukatili kwa Wazee

    Idadi ya wazee Tanzania Kwa mujibu wa sensa ya 2022 Tanzania ina jumla ya wazee 7,469,714 chini ya mgawanyo wa wazee 7,294,654 Tanzania bara na 175,060 Tanzania Zanzibar,( Ripoti ya Mgawanyo wa Idadi ya watu kwa Umri na Jinsi Tanzania,2022,Wizara ya Fedha na Mipango). Jedwari: Mgawanyo wa wazee...
Back
Top Bottom