taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, amerejea nyumbani akitokea Rwanda

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa ziarani nchini Rwanda na sasa amerejea rasmi nyumbani kuendelea kuteketeza majukumu yake ya kila siku! Aksanteni sana
  2. X

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa ITV ukiondoa taarifa ya habari, wana kipindi gani kingine cha maana?

    Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku. Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania. Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

    Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote. Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote Muhimu ambazo hata akina GENTAMYCINE hatutakiwi kuzijua au hata tu kuzihisi? Hivi tunajua kuwa Kitendo...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kuna ugumu/uzito gani kuweka wazi Afya ya Kiongozi pale anapougua?

    Habari! Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma. Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo. Kuna ugumu gani...
  5. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lianze kupokea Taarifa za kupotea kwa watu ndani ya masaa 14 hasa watoto

    Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee…. Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya masaa 24 tangu mtu amepotea. Huenda ndani ya masaa hayo jitihada zikafanyika na mtu akaokolewa uhai...
  6. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Tanzia nabii Flora Peter, amefariki dunia katika Hospitali ya Kitengule Jijini Dar es salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya Kitengule Tegeta Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

    Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya online: Rais Samia wachunguze Mkurugenzi Mkuu TCRA, Gavan BOT na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Rais Samia, kwanza nashukuru umemuondoa Nape Nnauye kwasababu TCRA na Tume ya Ulinzi wa Taaifa Binfsi(PDPC), ni taasisi zilikuwa chini yake na mpaka anaondoka, hatuijaona hizi taasisi zikiwa serious katika kuchukua hatua(sijaona wala kusika waliokamatwa kwa kudhalilisha watanzania). Naomba...
  9. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Anza kuwanyima watu taarifa zako hasa ndugu ,marafiki

    Tumia kanuni ya kuwanyima watu taarifa zako . Wasijue upo wapi Wasijue unafanya nini Wasijue Kazi yako Wasijue biashara zako wala kazi zako. Wasijue mipango yako Hii -ndo njia bora ya kuwa safe wewe dili na watu ambao mnafanya wote maisha . Hakikisha unakuwa na sura mbili Hakuna kitu...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Online Media zinazoongoza Tanzania kwa kuaminika taarifa zake mitandaoni

    Online Media (tv na radio) ni nyingi sana humu mitandaoni. Watu wanapata taarifa mbalimbali kwa haraka kupitia vyombo hivi kuliko Redio na Television za kawaida. Instagram na YouTube ndio mitandao inayotumika kupata habari na taarifa nyingi za vyombo vingi vya habari. Lakini Kuna social media...
  11. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawakumbusha walipakodi kuwasilisha ritani za VAT na malipo za mwezi Juni,2024

    Mamlaka ya Mapato Tanzania inawakumbusha walipakodi kuwasilisha ritani za VAT na malipo za mwezi Juni,2024 kabla au mnamo tarehe 22 Julai,2024.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwenda: Tupeni taarifa ya Maafisa wa TRA wasio waadilifu, tutachukua hatua

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema Mamlaka hiyo itawachukulia hatua bila kumpendelea wala kumuonea yeyote atakayehusika kukwepa kodi au kwa Afisa atakayeonesha kukosa uadilifu kwenye majukumu yake, amesema hayo Julai 15, 2024 wakati akizungumza na...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na bidhaa za mtandaoni

    USALAMA WA MTANDAO NI MUHIMU KWA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAHUNDI Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tunaomba Taarifa za wapi alipo sasa Kibu Denis

    Na mlituaminisha muda tu kuwa mmeshamalizana nae sasa ni kwanini hata Kambini katika Pre Season wala hayuko?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa hamasisheni wapiga kura wenu wajitokeze kujiandikisha au kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la mpiga kura.

    Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi inazindua uboreshaji wa taarifa za wapiga kura na Uandikishaji wa wapiga kura wapya tarehe 20 July 2024.Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti Jaji mstaafu ndugu Jacobs Mwambegele pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi ndugu Kailima wamejitahidi sana kuhamasisha na kutoa...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hatua za haraka zisipochukuliwa hapo Slovenia kunaweza kutokea jambo kubwa

    Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda Britanicca
  17. U

    JamiiForums Tanzania Orodha kamili ya wachezaji wa kigeni wa Klabu ya Yanga

    Wadau hamjamboni nyote? Orodha kamili ya wachezaji wakigeni wa Yanga Wachezaji wa kigeni katika klabu ya Yanga msimu 2024/2025 ◉ Djigui Diarra 🇲🇱 ◉ Yao Attohoula Kouassi 🇨🇮 ◉ Chadrack Issaka Boka 🇨🇩 ◉ Khalid Aucho 🇺🇬 ◉ Maxi Mpia Nzengeli 🇨🇩 ◉ Duke Deuces Abuya 🇰🇪 ◉ Pacome Peodoh Zouzoua 🇨🇮...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

    Shuhuda huyo alitoa taarifa kwa polisi na Secret Service kuhusu shooter aliyekuwa amejificha juu ya paa akiwa na silaha. Mahali ambapo shooter alikuwa juu ya paa na Trump alipokuwa akifanyia campaign ni mita 130 (google earth photo) Secret Service Agents baada ya kufanikiwa kumuua shooter...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Leo nimaabudu kwenye Kanisa la Wasabato Mwenge, nitaendelea kukosoa panapoenda mrama, nitaunga mkono palipo vema, lengo kuweka mambo sawa

    UPDATES: Huduma ya kuwaombea Wajane Wagane na WaleaPweke inaendelea kufanyika muda huu Wadau hamjamboni nyote? Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa Mwenge Dar es Salaam. Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya "...
  20. Esokoni

    JamiiForums Tanzania Taarifa njema kwa mfanyabiashara juu ya vefd

    Utapunguza gharama kwa 45% ukitumia mashine ya VFD, hii ni mashine ndogo inayokuwezesha kutoa risti halali za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi, ambayo gharama zake mpaka inakamilika ni 280,000 tu (Unlimited). Mashine hizi inakubalika 100% na TRA kote nchini. Zinatoa risiti zote za VAT na...
Back
Top Bottom