swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ambae upo interested na kilimo cha bustani.. fursa hii

    Kama kuna mtu yupo interested kufanya kilimo cha bustani , mbogamboga. Nichek DM, tufanye kazi Mashamba yapo Maji yakutosha , mto una flow maji through out the year Pump ya mwagilia ninayo.. Wewe njoo na mpira wake tu Location: Kimara mwisho, karibu na shule ya msingi mavurunza, bonde la...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Swali la Kikatiba na Kisheria: Chadema wanataka Reforms kabla ya Uchaguzi Mkuu, pendekezo au takwa hili wamelifikisha mamlaka ipi ili lifanyiwe kazi?

    Nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu madai ya Chadema ya Reforms katika taratibu na kanuni za uchaguzi Mkuu, ila hadi sasa sijaelewa ikiwa haya madai ni tamko tu la Chadema kama chama, au tamko la Mwenyekiti Lissu, au labda limewasilishwa rasmi katika mamlaka fulani ili lifanyiwe kazi. Ningeomba...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ikiamua kufatilia swali la vyeti naona kuna taasisi zitakosa wafanyakazi

    Swala la vyeti tanzania bado ni tatizo wengi wanavyeti ya kuungaunga tu janjajanja tu mjini Katika hili swla la waandishi wetu wa habari tena maarufu kukosa sifa ni taswira tosha ya elimu yetu hii kunawatu wanakosa sifa ila ni janjajanja tu mjini, mtu akijua kuongea kwenye mic tayari anakuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Swali kwa Jeshi letu pale Kawe

    Habari ndugu zangu! Nina miaka mingi sana nimekuwa mtumiaji wa Barabara ya kawe, Kuna jambo moja silielewi na Lina mda mrefu sana. Kuna Kisima pale cha Maji, kwa juu Pana mpira unapoteza Maji miaka nenda rudi, kila nikipita pale huwa unanifikirisha sana kwa kweli. Kwa shida ya Maji ya Dar es...
  5. JamiiForums Tanzania Nina Swali fikirishi nahitaji kupata ufafanuzi kuhusu Wanyama Pori

    Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu wataokutana na Simba hao wanatakiwa kufanya nini ili wasidhurike?. Naomba hili swali nijibiwe na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuuliza ndiyo kujifunza nisaidieni hili swali mliokwisha fika nchi za wazungu

    Swali langu ni fupi tu,je nchi za wenzetu uko majuu yaani uko kwa wazungu kuna makabila kama ilivyo nchi za afrika? Mfano Tanzania,wajita,wagogo ,wasukuma,wajaga ,wanyakyusa,nk * ukitaja nchi unitajie na makabila yake ili nasi tusiojua tujifunze Shukrani.
  7. JamiiForums Tanzania Una umri gani? Hili swali linakera sana

    Habari za weekend wataalamu? Kuna tabia inaboa hasa nimeiona hapa kwenye hili jukwaa la mapenzi. Mtu anaweza akaanzisha mada yake vizuri tu hapa, watu badala wajikite kwenye kuchangia mada wao wanaanza kumuiliza mleta mada eti una umri gani?sasa najiuliza umri wa mtu na mada aliyoleta vina...
  8. JamiiForums Tanzania Swali la Tafakuri!

    Hivi, vikundi kama IRI, Humas, Umkhontho We Sinzwe n.k, huwa vinazaliwa kutokana na mazingira gani?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Polepole popote ulipo nikuulize swali: Ukiteuliwa say, kuwa Waziri Mkuu, uta decline uteuzi kuwa huwezi kuwa sehemu ya mfumo wa kutotenda haki?

    Tunakujua toka ukiwa katika Tume ya Katiba na kabla ya hapo kuwa MTETEZI MKUBWA WA HAKI. Baadaye ukaja kwa Magufuli ukawa sehemu ya KUZIMA HAKI /DHULUMA YA HAKI...... Magufuli kafa, ukakosa CHEO ULICHOKITEGEMEA, UKAANZISHA DARASA LA SIASA. Ukateuliwa kuwa balozi....ukaenda, ukabadilishwa...
  10. JamiiForums Tanzania Swali namba 2 (kwa mtindo wana JamiiForums)

    Je, kwa nini mchakato wa Katiba mpya umekuwa ukisuasua licha ya ahadi za kisiasa kutoka kwa viongozi wa juu, na ni nani anayefaidika na hali hii ya kutokuwepo kwa mabadiliko ya kikatiba?
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini mchakato wa Katiba mpya umekuwa ukisuasua licha ya kuwa ni moja ya mada kuu za kisiasa nchini Tanzania?

    1, Ni mambo gani ambayo ni kikwazo kwa utekelezaji wa mchakato wa katiba mpya kwa Taifa letu Tanzania? 👉 Ukosefu wa nia ya kisiasa kutoka kwa viongozi wa juu 👉, Ukosefu wa fedha za kufanikisha mchakato huo 👉Upinzani kutoka kwa vyama vya siasa vya upinzani 👉Shinikizo kutoka kwa jumuiya za...
  12. JamiiForums Tanzania Unafanyaje unapotukanwa na mlevi?

    Hivi wewe unajisikiaje unapotukanwa Matusi ya Nguoni na Mlevi anaekunywa Pombe mpaka anajinyea? How do you feel? Yaani mlevi anaekunywa pombe mpaka anashindwa kujizuia haja kubwa anaanza kukutukana unajisikiaje? Samahani kwa wale wanaokunywa kistaarabu, namaanisha sizungumzii wewe unaekunywa...
  13. JamiiForums Tanzania Nauliza swali kwenu watu wajf

    Kama madaktari na watu wengine wanasema kutofanya mapenzi muda mrefu ni kupata tatizo la akili . Nauliza mbona waganga wameoa wake hadi 10 , na zaidi , na bado hawana afya ya akili nawamechanganyikiwa tu . Hadi wengine wanaparamia wateja wao . Kuna hawa wanaojiuza mbona wao wanafanya mapenzi...
  14. JamiiForums Tanzania Swali ni moja tu, je huyu mwamba ni asset au liability?

    Bila kuelemea upande wowote, kijana wetu (Polepole)kaacha kazi ya ubalozi Kaacha maokoto, kaacha vitu vyote vinavyoambatana na hadhi ya ubalozi Kimsingi, huo ni ujasiri mkubwa, ameamua kusimamia kile anachoamini Kwa kiasi fulani, kaacha unafki, kachagua upande bila ya kujali gharama kubwa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Ardhi ilaaniwe kwa kupokea damu ya Abili, iliyomwagwa na Kaini nduguye?

    Salaam, Shalom! Njooni tujadili, Nikiongea Mimi sana, labda nakuzuia pia kufikiri in deep. Ni hivi, KITABU CHA( Genesis 3:17, 4:10-11) Kaini anafanya suiside, anamuua nduguye Habil, damu inamwagika ardhini. Sasa inapotoka adhabu, hakuadhibiwa Cain pekeake, ardhi pia inapewa laana. Laana...
  18. JamiiForums Tanzania Kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana asubuhi halafu unajamba inatokana na nini?

    Swali, hivi ile issue ya kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana hasubuhi alafu unajamba pyeeee inatokana na nini,? Unaweza ukaona utani ila ukiwa kwenye nyumba za kupanga ni nouma yaani shwaaaa pyeeee😂😂😂😂 Unapata fezeha atari 🤩 yaaani pyeeee Tunaomba Ushauri jinsi ya kuzuia
  19. JamiiForums Tanzania Swali Kwa wanaume?

    Ni vyakula gaini haswa ni vizuri kwa afya ya uzazi wa kiume? Ulipo ona unawahi ku mwaga wazungu ulifanya ni nini kurekebisha na kupona ili tatizo? Mwisho ni kweli kama umeweza kumfikisha mwanamke flani kileleni orgasm je utaweza kwa kila mwanamke?
  20. JamiiForums Tanzania Home of Great thinker, WanaJF naomba nisaidieni jibu la hili swali

    Someone's mother has four sons. North, South, East. What is the name of the fourth son. Reply in the comment section below the name of the fourth son? Karibuni. Reply zikifika kati ya 50 nakuendelea tutavuta marking scheme kujua nani kapata nani kakosa we jibu swali usitoe maelezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…