swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Swali: Gerson Msigwa wa Hayati Magufuli ndiyo huyuhuyu wa Rais Samia?

    Wanajamvi. Kuna kitu sikielewi au hakipo Sawa. Hivi huyu Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali ndo yuleyule wa kipindi cha Magufuli?. Huyu jamaa hata kama ni unafiki au kulamba asali basi huyu kazidi. Amekuwa mtu wa hovyo sana, anaongea pumba mara zote. Siku hizi anaongea nonsense kabisa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa biashara ya parachichi nina swali

    Habari wakuu, Kuna mahali nataka kwenda kununua tani kadhaa za parachichi ila sasa huko kijijini wauzaji wanauza kwa kipimo cha ndoo (debe). Naomba kujua kwa wenye uzoefu, ndoo moja ya lita 20 ikijaa parachichi inaweza kuwa na wastani wa uzito wa kilo ngapi? Natanguliza shukrani.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama mwenye nyumba anakaa mbali ni lazima kumtumia na ya kutolea?

    Habari wana JamiiForums, kuna jambo lanitatiza Naombeni majibu yenu. Mfano umepanga nyumba na mwenye nyumba wako anaishi mkoa mwingine tofauti na uishio wewe, ukiwa unamtumia kodi ya nyumba je, ni lazima kumtumia na ya kutolea?
  4. JamiiForums Tanzania Taifa limekuwa la kamari. Kila kona kila mahali kamari. Watu wanaibiwa pesa zao

    Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!? Radioni, TV , Simu, Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!? Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wacheza draft: Hivi Omary John (oj) ni copy gani na kwanini inachezwa?

    Utasikia wacheza draft Mtandaoni wanaambiana sijui tucheze oj, oj inachezwaje? Na kwanini wasicheze Copy ya samba au pandu? Bali oj
  6. JamiiForums Tanzania Kama swali hili wangeulizwa wanafunzi wa Tanzania wangetoa majibu kama ya wanafunzi hawa wa India?

    Doc Benway 4 hours ago I do a lot of work in India and based on my first hand evidence of high school students in the US of A and India; India is much more motivated. Ask Indian kids what they want to do with their lives and you get answers such as engineering, technology, or medicals...
  7. JamiiForums Tanzania CHALLENGE: Uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi unapata zawadi

    Jamani tuchangamshe ubongo kidogo, uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi kuna zawadi ya vocha unapata. Kwahiyo jitahidi kuuliza maswali rahisi ili watu wakupe majibu sahihi, wakikosa ujue nawewe umekosa vocha. Naanza mimi kuuliza; ๐—•๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ?
  8. JamiiForums Tanzania Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer Swali

    Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer. Mimi; unafanya biashara gani teacher...?? Lecturer; Hahaahahhaaaaa sina biashara. Mimi; Kwanini...?? Lecturer; Unajua ukifungua biashara ukimuweka mtu mara akuibie mara ufilisike mara hivi mara vile. Mimi; Sindo...
  9. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi kwa wadau wa elimu kinachoendelea shule za umma

    Niende moja kwa moja kwenye mada,. kutokana na kuwepo na ushindani wa ufauru wa kishule kimkoa nk, tumeona watendaji mbali mbali ngazi ya taifa mpaka wilaya wakija na mikakati mbali mbali ya kuinua ufauru ila Kuna masula haya yameibuka na kama kumekuwa Kuna kuigana hapa bila kuwa na mbinu...
  10. JamiiForums Tanzania TBC yazima Matangazo Swali la Mpina lisisikike kwa watanzania

    Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya kutoka kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ili watanzania wasisikie majibu ya Serikali Baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hitimisho langu juu ya swali la Mungu na Atheists

    Katika uzi nilioufungua jukwaani hapa nilioutumia kuwaalika Atheists kuleta hoja za kuthibitisha kuwa Mungu hayupo ili tujifunze kuhusu misingi yao, wachache hawakunielewa kwa kudhani nilitaka mabishano, ila nimepata hitimisho lifuatalo Baadhi ya Atheists wanashindwa kuelewa Mungu huyu (kama...
  12. JamiiForums Tanzania Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

    Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi. Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi. Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
  13. JamiiForums Tanzania Swali kwa dawasco! au kwa anaejua

    Ni hivi, nimevuta maji yapata miaka mitano iliyopita, ilinighalimu Kama laki saba hivi,. sasa Kuna mtu jirani yangu ameenda mamlaka ya maji ,baada yakutajiwa ghalama Hadi maji yafike kwake Ni kubwa, wakamuambia heti akiweza aniombe Mimi jirani yake nimuandikie barua hili aipeleke huko avute...
  14. JamiiForums Tanzania Ni swali Kwa moderator au Mh. Mmliki wa JF

    Udom ina special thread/uzi wake nilitokea kuuona humu. Kwa nini haujawekewa ๐Ÿ“Œ sticky Ielekeweke umuhimu na heshima ya Chuo hili inabaki mokononi mwenu. Tunaomba thread Ile iwekewe pin. Uzi huu udom
  15. C

    JamiiForums Tanzania Swali gani lilikukera ulipoulizwa na makarani wa Sensa?

    Wakati wa Sensa kuna maswali mengi sana yaliyoulizwa na Makarani wa Sensa, mengine yalifurahisha, mengine yalikasirisha, ilimradi waweze kutumiza malengo na kazi iliyowapeleka. Mfano, unatumia jiko la aina gani? Umeshawahi kutumia smartphone? Unamiliki guta...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza akanikatalia sasa hivi anataka niwe natembea naye kila sehemu

    Wakuu humu ndan nna swali langu. Kuna manzi nilimtongoza mda flan kipindi tuko chuon akanichomolea akaniambia kuwa ana mtu tayar ss nikamute kwa muda ikatokea wakat huu tupo field wote tumeenda sehemu moja yaan anataka kila nikiwa natoka home kwenda kule ofisini anataka tuwe tunatembea wote...
  17. JamiiForums Tanzania Wazee wa Basketball nina swali

    Nauliza ile mechi ya Ukonga Kings na JKT nani alishinda. Nilianga quarters 2 tu ya 1 ikawa 22 kwa 22 na ya pili ikawa 48 kwa 48!
  18. JamiiForums Tanzania Swali kwa Mwakinyo: Je, ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza?

    Maandiko matakatifu yanasema "Mpumbavu huamini kila neno bali mwenye hekima huchunguza sana". Haya Mwakinyo nijibu haya maswali; 1. Ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza? 2. Promoter wako hakuweza kufanya mchakato wa kukutafutia vifaa kazi baada ya kupoteza vifaa vyako? 3. Hivyo viatu...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume naombeni mnijibu hili swali kwa mitazamo yenu

    Good Sunday to everyone. Samahani wanaume lakini nina swali najiuliza. Naombeni mumsaidie huyu dada. Alipata mwanaume na akawa anataka kwenda kwao (meaning kujitokeza). Lakini akamwambia ukweli kwamba yeye anaye mtoto amezaa na dada fulani somewhere. Sasa huyu dada kila akisoma nyuzi humu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ