swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ccm washawahi jiuliza swali hili?

    Hawa wana ccm washawahi kufikiria kwamba wizi wa kura na kuchezea uchaguzi kunaweza kuhatarisha usalama wa nchi? Nini kinachowapa ccm kujiamini? Je ni back up ya mchina au ya mnani vile? Anyway .. serikali huanguka kwa uzembe wa watu wachache sana wabinafsi.
  2. JamiiForums Tanzania Swali la msingi: Sheria ni Moja kwa wote?

    Kuna jambo linahitaji mjadala wa wazi, bila ushabiki wa kisiasa wala kumhukumu mtu kabla ya mchakato wa kisheria kukamilika. Wakili Peter Madeleka amekumbana na hatua za polisi katika mazingira yanayohusishwa na masuala yake ya kisheria. Wakati huo huo, mwaka 2023 mfanyabiashara Rostam Aziz...
  3. JamiiForums Tanzania Swali kwa mods; nyuzi ni nyingi na comments zinaongezeka, Je siku JF servers zikijaa itakuaje? Ni mwisho wa JamiiForums?

    kwa hii hali ya sasa nyuzi zinavyoanzishwa kwa fujo halafu bila mpangilio na maana yoyote halafu nyuzi zenyewe za hovyo nyingi zikiwa ni za wanafunzi walioko likizo na vijana wanaokaa kwa dada zao hali inayopelekea comments kuwa nyingi pia. hii hali si itapelekea siku moja servers za JF zijae...
  4. JamiiForums Tanzania Why me now?... ni swali ambalo anajiuliza Vozinha

    Unamkumbuka Vozinha? Yule golikipa wa timu ya taifa ya Cape Verde aliejizolea umaarufu kwa uwezo wake wa kuokoa hatari langoni katika michuano ya world cup ilyoisha hivi karibuni Baada ya world cup alipata dili la kwenda kucheza timu kubwa ya Colocolo nchini Chile. Hatimaye kipaji chake...
  5. JamiiForums Tanzania Gademuiti: Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Juzi nimekaa na rafiki yangu fulani, tunaongea tu mambo ya maisha. Katika maongezi shwaa tukamuongelea mkewe. Nikaona nipitishe swali "kwani mkeo unampendea nini?" Akajibu in like 3 seconds, kwa kusema two very beautiful things anapenda kwa mkewe tena ni vitu kuhusu mkewe as a person, sio...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa kipato cha million 1 Kwa mwezi sina akiba bank Wala kipato cha ziada nawezaje kujenga nyumba ya ndoto yangu ya vyumba 3 yenye kila kitu muhimu....

    🏠 UNA MILIONI 1 KWA MWEZI? UNAWEZA KUJENGA NYUMBA YA NDOTO YAKO NDANI YA MIAKA 2! Mtu mwenye kipato cha TSh 1,000,000 kwa mwezi, hana akiba benki wala kipato cha ziada — anawezaje kujenga nyumba ya vyumba 3 yenye kila kitu ndani ya miaka 2 bila kichwa kutuma? 😂 Jibu ni moja: NIDHAMU + MPANGO +...
  7. V

    JamiiForums Tanzania SWALI: Kwanini wanawake na waislamu wanakadiriwa kuajiriwa zaidi na Utumishi(PSRS)?

    Habari,..swali langu linaendelea kwa kuangalia takwimu za ajira za ivi karibuni (recent placements) za sekretarieti ya ajira. Kwa majina ya walioitwa kazini hasa uwalimu wa masomo ya Kiswahili,Kingereza,Historia (hasa Kiswahili)ambayo ndiyo nimeifatilia kwa sehemu kubwa inaonekana kundi la...
  8. JamiiForums Tanzania Uliza Swali lolote kuhusu Anatomy, Fiziolojia na Mimea tiba (Herbal)

    Kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 10 kwenye eneo la Anatomy, Fiziolojia na Mimea tiba nilojifunza maeneo tofauti kuanzia Guangzhou, Dubai , MUHAS (Muhimbili kitengo cha tiba asili) na tafiti kwa matabobi wakongwe . Nitakuwa nashare nanyi uzoefu na kutoa kozi fupi fupi za wanaopenda kubobea maeneo...
  9. JamiiForums Tanzania Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

    Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake, Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol, Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise, Hivi mnajua dunia ingekua...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini waislam wanaelekea upande ilipo Al-kaba wakati wa kuswali?

    Kwanini waislam wanaelekea upande ilipo Al-kaba wakati wa kuswali?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Joel Peter kawauliza waislamu na wakristu swali gumu

    Dunia imepitia uongo, utapeli, na propaganda nyingi Sana, ila Uongo mkubwa zaidi ni huu, Hebu fikiria, unaambiwa kuna mungu muweza WA yote, yupo sahihi na hajawahi kukosea, Ameumba dunia kwaajili yetu, na ataiangamiza tena kwaajili yetu, Alijua ataiangamiza dunia kabla hata...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Israel anaipiga mabomu Gaza?

    Ukiangalia international news outlets, unaona huruma kinachoendelea Gaza. Heavy bombings with loss of life of innocent people. Israel anawapiga mabomu kwa sababu gani? Tatizo ni lipi ambalo haliwezi kutatuliwa mezani? Nini wasichokubaliana? == Israeli attacks on two residential neighbourhoods...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Mtoto wa kike ukiulizwa na Mwanaume anaekutaka hili swali "Niambie kuhusu wewe" huwa mnajibu nini?

    Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali. Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini? Ni wanataka kujua kuhusu nini? Nashindwa kuelewa.
  14. JamiiForums Tanzania Watu wa Kanda ya ziwa hebu naomba mnijibu hili swali kuhusu fisi

    Je, fisi anaona usiku? Kama anaona anajuaje kama binadamu haoni usiku? Nani anamwambia? Nasema hivi kwa sababu kule Shinyanga ukipita mida ya usiku unakuta fisi kajibanza tu sehemu kwa kuamini kuwa humuoni, lakini mchana hafanyi hivyo. Anajuaje kwamba binadamu usiku haoni? Seran, Shytown.
  15. JamiiForums Tanzania Jibu swali! Naomba kuuliza na hili swali ninaomba nijibiwe.

    Sina haja ya kuiuliza AI nakuuliza wewe na wewe usiiulize AI. Nipe jibu lako wewe km wewe. Swali langu ni hili hapa, Kwanini kuna watu wanawahi kuzeeka na kwanini kuna watu wanachelewa kuzeeka? Usiniambie suala la chakula, vinywaji na mazoezi, tafadhari sana hayo yote nayajua. Nipe sababu...
  16. JamiiForums Tanzania Katambi aulizwa swali la kuzuia mikutano ya kisiasa, ashindwa kulijibu kwa ufasaha ameishia kupaniki

    Mtangazaji anaulizwa kuhusu kifungu cha sheria kinachompa mamlaka: "Tunataka watupe tu kifungu kimoja tu ambacho kimekupa mamlaka ya kutoa tamko ulolitoa ukiwa bungeni, kifungu tu yaani ambacho...". Katambi anajibu kwa kusema kuwa suala hilo litashughulikiwa mahakamani: "Sasa hilo ndio kazi...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watanzania wakiulizwa Swali hujibu kwa Swali?

    Nauliza tu...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Je hii ndo Sheria ya vyama vya siasa na je hiki kipengele Cha namba E ndivyo kilivyo ??? Ni swali TU Wataalamu wa Sheria watusaidie ?

    Wataalamu watusaidie kuitambua hii Sheria kama ndivyo ilivyo ?? SHERIA YA VYAMA VYA SIASA (SURA YA 258) ------------- KANUNI (Zimetungwa chini ya fungu la 22(b)) KANUNI ZA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA ZA MWAKA 2007 SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI 1. Kanuni hizi zinaitwa kanuni za Maadili ya Vyama...
  19. JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaofahamu mambo ya biashara au mikopo ya bajaji?

    Niaje waungwana Ikitokea mtu ana Mil 5 keshi, lakini anahitaji bajaji mpya. Akienda katika dula linalouza, au kukopesha bajaji Dar na mdhamini wake. Kisha awambie kuwa ana Mil 5, anaomba bajaji ya mkopo akaanzie kazi, halaf zitazobaki watalipana kwa mkataba wa malipo ya kila siku, hata ikibidi...
  20. JamiiForums Tanzania JF tunaomba kuuliza swali hivi TISS hipo kweli ?.Tusije kuwa na jina tu.

    Nimefanya kazi ila sio jambo la kuweka wazi. Maana kuna mambo yanaweza na yaliweza kufanyika mpaka ugaidi wa kulipua ubalozi wa USA ni wazi TISS ilishakifuga pale. Kenya walijiongeza na wakajisahau ila tokea lile tukio la mwisho wakajua hii idara sio siasa. Mpenda nchi anaweza kusema ukweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…