swala

  1. Likija kwenye suala la miundo mbinu, University of Ghana imeshinda university yoyote ya Kenya au Tanzania

    University of Nairobi imeishinda university of Ghana kimasomo, (tukizingatia ranking) lakini university of Ghana ina miundo mbinu (infrastructure) ya ajabu. Imejengwa ikajengeka. Ina majengo mengi na yenye hadhi ya juu. Hakuna university hapa A.M imeikaribia kwa majengo.
  2. T

    Harrison Kapiga tafadhali usipotoshe watu kwenye suala la kusifia watu wakiwa hai

    Kuna Jambo linaendelea clouds media ktk vipindi vyao wameanzisha msemo usimsifie MTU akiwa amekufa msifie akiwa hai. Kiuhalisia huyu Kapiga ndie anaonekana yupo mbele ktk kusema msifie MTU kabla hajafa. Mm naona ni unafikiri na kujikomba na mwisho wahiki amekianzisha kitamletea maadui wengi...
  3. Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  4. W

    GE2020 Hongera Tundu Lissu. Watanzania wamepata wa kuwafuta machozi

    Leo nina furaha sana. Nina furaha kwa Lissu kuteuliwa na Chama chake. Ninaamini sasa tutakuwa na uchaguzi. Watanzania wengi wamefurahi wamepata mtu wa kuwafuta machozi kutokana na kifungo, minyororo, na mateso ya miaka mitano. Hongera sana. Nimemuona Lissu halisi. Mungu akulinde na akupe...
  5. S

    GE2020 Tundu Lissu kaongea jambo moja ambalo kila mtu anapaswa kulitafakari na kujiuliza kama ambavyo yeye anajiuliza

    Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu sUala la kutegemea uchaguzi huru na wa haki, kwake halipo kabisa kwani ameonyesha wazi hatarajii hilo kutokea, ila...
  6. U

    GE2020 Suala la ajira ndio litamuondoa Rais Magufuli madarakani hasa vijana ambao ndio wengi

    Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu wote waliajiliwa labda ukatae mwenyewe ajira. Madaktari nao wanasugua benchi kitaa. Ikumbukwe kwamba...
  7. Suala la Uchafu Salasala, Wilaya ya Ubungo na Kinondoni. NEMC mpo?

    Leo asubuhi nimeskia Clouds Media wanazungumzia wakazi wa Salasala, Goba na maeneo yanayopakana na mito kutupa takataka mitoni, hii husababisha msimu wa mvua mito kujaa ama kupeleka takataka baharini, ubaya taka taka hizi ni plastic. Swali ni kwamba viongozi wa Serikali za mitaa wanakimbia...
  8. Wale wachezaji Tatu Mzuka mnilijua hili?

    Hawa jamaa nimewaangalia kwa ukaribu wanavyoendesha bahati nasibu yao. Watu hawa huwa na namba tatu za bahati, kinachonishangaza ni kuwa kila wakati huwapigia simu watu wawili tu wakati wanasema kuwa namba za bahati zinakubalika kwa arrangement yoyote. Sasa chukulia namba za bahati ni 658, hizi...
  9. Viongozi wa Dini ishurutisheni Serikali ijisafishe suala la Lissu kama inasingiziwa

    Viongozi wa dini mpaka sasa ishu ya Lissu vs Serikali mmeikalia kimya huku kila upande ukijihisi una haki. Mpaka Sasa Lissu ni mshindi kwasababu hana kosa lililompasa kuuwawa katika mazingira Yale. Na Wala hana kosa lolote lililomstahili kifo. Binafsi sijamsikia igp siro akisema lolote ila...
  10. J

    Mbunge Lwakatare: Hakuna mbunge asiyelewa, suala la Mbowe tusitie chumvi tusubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi

    Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na luninga ya Star mbunge wa Bukoba mjini mh Lwakatare amesema Mbowe ni rafiki yake mkubwa na hata juzi alimsindikiza hadi Air port wakati anahamishiwa Dsm kwa matibabu. Kuhusu wabunge wa CCM na Spika kuamini kuwa Mbowe alianguka...
  11. J

    Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

    Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu. Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi...
  12. Yako wapi Magazeti nguli yaliyovutia kuyasoma? Nani kayazuia kuibua ufisadi, au swala hili wameiachia CAG? Je, wameishiwa mbinu za kijasusi?

    Wana JF, Tangu Rai inunuliwe Watanzania tumeishiwa na hamu ya kusoma magazeti, zamani kulikuwepo waandishi nguli wasio waoga waliokuwa wanapambana na serikali kufichua maovu hata kama habari itawaweka matatizoni. Siku hizi magazeti yote yamegeuka kuanza kuisifia serilali, au au kushadadia...
  13. Suala la ubaguzi wa rangi Marekani lina mzizi mkubwa

    Swala la ubaguzi wa rangi Marekani sio swala linalotokea kwa bahati mbaya. Chuki ya Mzungu dhidi ya mweusi sio tabia/hulka ya mtu. Ubaguzi Marekani unatokana na mfumo wa nchi hiyo, Wabaguzi wa rangi nchini Marekani hawajatokea kwa bahati mbaya bali mfumo ndo umetengeneza watu wa namna hiyo...
  14. D

    Wanawake maoni katika hili suala

    Kutongoza ndio msingi wa mahusiano na ndoa. Mahusiano mengi kama sio yote huanza kwa mwanamke kutongozwa kisha huamua akubali ama akatae. Mara nyingi mwanamke ndiye anaeamua kama haya mahusiano yaanze ama yasianze. Namna unavyomtongoza mwanamke inaweza kupelekea kukataa ama kukubali. Japo...
  15. J

    Bakwata: Sikukuu ya Eid itakuwa tarehe 24 au 25 May, 2020 kutegemea mwandamo wa mwezi, hakutakuwa na Swala ya kitaifa wala Baraza

    Bakwata imetoa taarifa kwamba sikukuu ya Eid itakuwa ama siku ya Jumapili tarehe 24 may au siku ya Jumatatu tarehe 25 may kutegemea na mwandamo wa mwezi. Taarifa imesema ili kuepuka misongamano hapatakuwepo Swala ya Eid kitaifa na kila mtu atapaswa kuswali katika eneo la kwao. Kadhalika...
  16. J

    Dr Kigwangalla asema Afya ni swala binafsi kila mtu apambanie afya yake, atoa dawa yake ya majani inayotibu Corona

    Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe. Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie...
  17. Sheikh wa Wilaya ya Tanga awaomba waumini kutotumia Sanitizer kabla ya swala maana ina kilevi

    Sheikh Mohamed Kombora amewaasa waumini wa Kiislam wa wilaya ya Tanga kuacha matumizi ya vitakasa mikono (Sanitizer) kabla ya swala maana vina kilevi kwa zaidi ya 60% na kwamba wakitumia watanajisi swala zao. Chanzo : EATV Nakala : FaizaFoxy
  18. J

    Waziri Mkuu: Tumesitisha Sunday school na Madrasa, tulichoruhusu ni Ibada tu tena zifanyike kwa muda mfupi kisha waumini waondoke

    Waziri mkuu mh Kassim Majaliwa amesema kuna taarifa kuwa baada ya masomo kusitishwa kwa sababu ya Covid 19 watoto hao sasa wamekuwa wakienda makanisani na misikitini kwa ajili ya kujinza. Mh Majaliwa amesisitiza kuwa alipokutana na maaskofu na mashehe walikubaliana kusitisha Huduma nyingine...
  19. Nimegundua udhaifu mkubwa sana wa Serikali ya Tanzania katika kukabili suala la COVID-19

    Kwakweli serikali ya Tanzania imelichukilia janga la COVID-19 kama jambo la mzaha kupita kiasi, hali hii imewafanya baadhi ya wananchi kubweteka kupita kiasi kutokana na janga hili. Kwa haya niliyoshuhudia, nachelea kusema kuwa ikitokea COVID-19 ikaiathiri Tanzania kwa kiwango kikubwa basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…