Jamaa kakopa sumu kaenda kujiua, nikawadai ndugu zake?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Nina kiduka changu maeneo ya Mbingu huku Morogoro Vijijini

Kuna jamaa jana kaja kakopa sumu ya panya nikampa akiahhidi kuwa angelipa asubuhi, kumbe kaenda kujiua, sasa nawaza ndugu zake wanilipe kwa kuwa ndio faida yenyewe aisee

Kwa huku Nilipo mara nyingi mzigo naufuata Ifakara sasa nawaza kama nitaachia haka kafaida kwa maana safari yangu ya hadi Ifakara kufuata mzigo ilikuwa kazi bure

Ushauri wadau
 
Mjinga wewe ! Kama unaona kichwa chako hakiumiagi kikipigwa magogo nenda ukadai hiyo hela sasa..! Badala ya kujutia kuwa dawa yako ya kuua panya imeua mtu wewe unajutia hela yako sijui mia tano au Buku...! Utapigwa Acha ujinga
 
Nina kiduka changu maeneo ya Mbingu huku Morogoro Vijijini

Kuna jamaa jana kaja kakopa sumu ya panya nikampa akiahhidi kuwa angelipa asubuhi, kumbe kaenda kujiua, sasa nawaza ndugu zake wanilipe kwa kuwa ndio faida yenyewe aisee

Kwa huku Nilipo mara nyingi mzigo naufuata Ifakara sasa nawaza kama nitaachia haka kafaida kwa maana safari yangu ya hadi Ifakara kufuata mzigo ilikuwa kazi bure

Ushauri wadau

Naona unagonga mlango wa gereza.
Unafuatilia 500/= utakumbana na kesi ya mauaji maana wewe ni mtuhumia, utaenda toa ushahidi na kusota rumande bure.
 
Kama wewe ni kauzu zaidi ya dagaa, unaweza kwenda kudai

Lakini kama unamoyo wa kibinadamu unaweza kusamehe tu kwani ni sh.ngapi?

Halafu ukiangalia huyo marehemu kama hata sumu tu alikopa, unaweza jua alikuwa na hali gani, so msamehe bure.
 
Nina kiduka changu maeneo ya Mbingu huku Morogoro Vijijini

Kuna jamaa jana kaja kakopa sumu ya panya nikampa akiahhidi kuwa angelipa asubuhi, kumbe kaenda kujiua, sasa nawaza ndugu zake wanilipe kwa kuwa ndio faida yenyewe aisee

Kwa huku Nilipo mara nyingi mzigo naufuata Ifakara sasa nawaza kama nitaachia haka kafaida kwa maana safari yangu ya hadi Ifakara kufuata mzigo ilikuwa kazi bure

Ushauri wadau
mbngu sehem gan
 
Chai chungu hii
1872691925.jpg
 
Kashitaki polisi maana hao ndugu hawatakusaidia chochote
 
Kesi hii kwenda polisi itakuwa shida hela ni ya kawaida..kama ningejitokeza pale wamemtoa ndani wangenipa palepale ila nimeona soo, saa hizi nafikiria ile ndio faida yenyewe
Nenda kwa ndugu zake ukawaambie unamdai marehemu.
 
Back
Top Bottom