Rais Samia Suluhu amefanya safari za nje 19 ndani ya siku 477 tangu ameingia madarakani. Zinaweza kuonekana kama ni safari nyingi sana, lakini shida sio wingi wa safari, bali tija inayoweza kuletwa na safari hizo katika taifa letu.
Rais kusafiri sio jambo la ajabu kabisa, hasa kwa nchi za...