store

  1. Kang

    AzamTV Max wanakiuka taratibu za Play Store katika malipo

    App za Play store zinabidi zitumie Google Play Subscriptions kwa ajili ya malipo na subscriptions kasoro zile app zinazouza physical goods na services zengine sio za kidigital, lakina naona Azam ukitaka kulipia wanakupeleka site isiyoeleweka ukajaze details zako zote huko hii sio sawa. Hata...
  2. Bosspraise

    Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  3. Tanki

    Nina uzoefu wa miaka minne as a Store keeper, stock controller, section controller. Natafuta kazi

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nipo Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam. Umri = 31 Elimu = Form four Uraia = Mtanzania Uzoefu = Miaka minne Note: Nilijifunza hii taaluma Kwa vitendo kwenye kiwanda Cha kampuni fulani ya vinywaji. Bidii, kujituma...
  4. covid 19

    Store inahitajika sm 18 to 25

    Wakuu habari. Store ndogo sqm 18 hadi sqm 25 inahitajika iwepo maeneo ya kariakoo, Magomeni au Keko kwa mwenye kuweza kufahamu au kuniconnect tafadhali nicheck inbox.
  5. maenge

    Ntafuta kazi ya store keeping

    Habari mwenye connectionya kazi ya store au inayoendana na cheti cha records anichek,tusaidiane wakuu,kipoozo kipo
  6. Mechanical

    Aqurium store

    Pendezesha sebule yako, office yako, restaurant yako chumbani kwako na geto lako kwa wewe bachelor na mpenzi wa samaki wa mapambo kwa aqurium za kisasa zaid kutoka kelvin aqurium store. Tunatengeneza aqurium za aina zote na pia tunapokea oder za designed kutoka kwa mteja wetu namna ya...
  7. Chief Wingia

    Kamata kamata ya mkaa na wauza mkaa kwenye stoo za wauza mkaa mjini ni uonevu

    Habari zenu wanajukwaa, Aisee tokea jana pande za Goba jamaa wa maliasili wana operation kazi ya kutaifisha mkaa kwenye store za mikaa around Goba. Jana wikua makongo road na Goba center leo wapo Madale road pande za Marga. Aisee hatakama ni sheria hii ni too much jamaa wanataka vibali vya...
  8. INSIDER MAN

    TRA yawataka wafanyabiashara kusajili stoo za kuhifadhia bidhaa

    Mwaka huu kazi kazi. Tukiwa kwenye majonzi ya kodi ya nyumba hasa kwa wale wanaoishi kwenye maghorofa, TRA inawataka wafanyabiashara kusajili store zenu.
  9. 90sgeneration

    Natoa huduma ya kuuza vitu kwa wale walio na vitu stoo wanataka kuuza au kitu chochote unataka kukiuza

    Wakuu habari, Kama kichwa cha habari kinavosema. Kuna wale watu humu ndani ambao wana mali zao na vitu vyao wangependa kuuza ili wabadirishe wanunue vingine, au wangependa kuuza ili waviondoe tu visijaze nafasi au havina matumizi tena au wanashida ya kifedha, basi karibu nikisaidie kuviuza...
  10. Akili Unazo!

    Room Moja Jiko na store

    Wakubwa katika bwana nahitaji good desing and very good economy ambaye anaweza kunipa hiyo mambo kama jaribio akiweza kuitimiza within budget nampa kazi nyingine ila awe mkweli kwangu uongo sijui siasa sijui ukanjanja aisee sitaki. nahitaji a good fundi ambaye anaweza jenga a good house ya one...
  11. Maxence Melo

    App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APP
  12. T

    Msaada wa mawazo: Nataka kufungua 'liquor store' Goba au Tabata

    Waungwana nataka kufungua biashara hii maeneo kama Tabata au Goba naomba msaada wa mawazo mtaji mdogo kiasi gani naweza kuanza nao na being za fremu maeneo hayo. Wenye uzoefu naomba msaada went. Asanteni
  13. FRANCIS DA DON

    Mnaoishi store njooni

    Je, ni haki kumwambia mtu anaishi store ilihali yupo kwenye chumba safi kabisa, kitanda safi, meza ya jiko safi, masofa safi, ndoo za maji zimepangiliwa vizuri, kimeza cha sebule cha kulia cha kula safi, pikipiki inabanwa kwenye kona safi, vyombo vya jikoni vimepangwa safi, kabati la nguo...
  14. Trubarg

    Game store kama wanafungasha virago vile

    Nmepita pale Leo ..shelf nyingi zipo wazi hazina bidhaa..huenda jamaa wanafunga virago kimya kimya
  15. Nyuki Mdogo

    Msaada Itel A56 haina Play Store

    Naombeni msaada namna ya kupata play store kwenye hii simu... Play store haipo kwenye app list
  16. Sky Eclat

    5 Ways To Store Potatoes So They Last For Month

    By: Author Lydia Noyes The hardest work of the gardening season is over, and you’re bringing in your potato harvest. Or maybe you’ve visited your local farmers’ market and got a little carried away buying farm fresh potatoes. Nights of home fries and mashed potatoes await, but let’s be real...
  17. R

    Tatizo kudownload Apps Play store

    Habari Wakuu, Kwa siku tatu Sasa Simu yangu Tecno BC3 imekuwa na tatizo la kudownload Apps kwenye play store. Nikijaribu inasema pending tu. Nimejaribu solutions zote nilizopata mtandaoni isipokuwa factory reset bila mafanikio. Msaada tafadhali.
  18. EvilSpirit

    App gani ni nzuri Playstore ya kuangalia matukio live hasa la leo

    Naomba kufahamishwa app nzuri ya moja ya tv zetu ni nzuri kwa kuangalia tv kwenye simu,app nyingine hata hazieleweki unapoteza mb kudownload lakini unakuta zinasumbua.
  19. Jamii Opportunities

    Logistics and Store Manager at Phomas Diagnostics and Medical Supplies Ltd

    Logistics and Store Manager Job Title: Logistics and Store Manager Location: Dar es Salaam, Tanzania Logistics and Store Manager Required immediate With driving license With store management training Able to work independent Age 25-30 years Sex Male Send your resume to...
  20. Jamii Opportunities

    Store Keeper at Médecins Sans Frontières (MSF)

    Title: STOREKEEPER Direct Reports: WAREHOUSE MANAGER Location: DAR ES SALAAM FOR NATIONAL STAFF ONLY INTRODUCTION: Médecins Sans Frontières (MSF) is an international, independent, medical humanitarian organisation that delivers emergency aid to people affected by armed conflict, epidemics...
Back
Top Bottom