store

  1. YEHODAYA

    Nawezaje kuweka Playstore Application yangu niliyotengeneza ili kuuza na mtu aki download pesa napataje?

    Wataalam, Nawezaje kuweka play store application yangu niliyotengeneza ili kuuza na mtu aki-download pesa napataje?
  2. Abdul Ghafur

    Ajira za Uhasibu (Accountant), Store Keeper na Personal Assistant

    Asalaam Alaikum. Fursa ya ajira. Kuna nafasi za kazi za... 1) Mhasibu (Accountant). 2) Store Keeper. 3. Personal Assistant. Anaeomba kazi awe ni mzoefu wa hiyo kazi na anafahamu kazi na sio wa kufundishwa kazi. Kazi zetu kwa sasa zipo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo...
  3. Red Giant

    Kwanini tanzania hatuna apps store yetu?

    Ingependeza tuwe na sehemu ambako unazikuta app za kitanzania kwa wingi. Maana sehemu kama playstore ni vurugu tupu. App za kila aina. Pia tukiwa na apps store yetu ni rahisi kuweka vitu kama malipo kwa mazingira yetu. Kwanini hatuna apps store yetu?
  4. Travis Walker

    Mapendekezo na Ushauri kuhusu Online Store

    Habari Wana JF, Natumai mko poa. Wakuu, nataka kuanzisha online store ningelipenda mnishauri na mpendekeze products ambazo online zinauzika. Mimi nimefikiria kuhusu Laptop na Smartphones used and new. Kutokana na gharama za ku set up store na kuiendesha. Ningelipenda mupendekeze niche zenye...
  5. Vhagar

    PC gamers Tom crancy's The division 1 sasa inapatokana free Uplay (ubisoft store) hadi Sept 8

    Wale wapenzi wa games. Ikumbukwe hili game halijawahi kucrakiwa tangu mwaka 2016 litoke. Sasa linatolewa bure hadi tar 8 mwezi wa 9. So chakufanya ni ww kudownload pc app ya uplay then jisajili na ulidownload bure. Lilikuwa likiuzwa kwa usd 29. Karibu 70000/= za kitanzania. Tom Clancy's The...
  6. benjavibe

    The best place for student to store online notes [Unlimited]

    Msaada wakuu natata kutunza / upload notes je sehemu ipi ni UNLIMITED
  7. Jamii Opportunities

    Store Keeper at Plan International

    Position: Store Keeper Date: 08-May-2020 Location: Kibondo & Nyarugusu, 08, TZ Company: Plan International The Organisation Plan International is an independent development and humanitarian organisation that advances children’s rights and equality for girls. We believe in the power and...
  8. Sky Eclat

    Tunao lala Store tukutane hapa

  9. janfirst

    2020 growing retail store business in Tanzania

    By: Khamis Saleh •Staffs are the first Customers and our brand ambassadors •Stand front to remind people about the vision •Let them feel are comprised in that vision •Get time to Know your people, they can cause failure or success •We may have these kind of people, to know them will increase...
  10. Kaudunde Kautwange

    Pitia hapa, kama unapenda kufanya biashara mtandaoni (Drop shipping), na hatimaye tuwe na online store ya ukweli Tanzania

    Habari wadau! Hope mko poa kabisa, na kwa neema za Mungu tunatumai atatuvusha mwaka salama, kwa wale ambao ni wagonjwa na wenye shida mbalimbali, basi ni maombi yangu kwa Mungu wa Mbinguni akuponye na kukupatia wepesi kwa yale unayopitia. Teknolojia inakuwa kwa kasi sana, na kila siku mambo...
  11. Google Diggers

    Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

    Kama somo linavyojielewa hapo juu Wakuu, wale wataalamu wa ujenzi. Kwa pesa hiyo naona kama sijafikia lengo kwa sababu sijaweka madirisha (drill) kati dirisha 08 mbili tayari mlango (drill) tayari. Lakini kitu kinachoniuma sijapiga hesabu vizuri. Nilitegemea kibanda japo niwe nimehamia. Floor...
  12. Jamii Opportunities

    School Store Keeper at Abc Capital School Nursery and Primary

    Abc Primary and Nursery School located at Ukonga Dar es Salaam are hereby advertising the post of school store keeper; the applicant should have the following ability and Qualification: Diploma in procurement certificate in advanced level secondary school compentence in tally accounting...
  13. Jamii Opportunities

    Nafasi za kazi, Mtunza stoo(School Store keeper), ABC primary and Nursery school

    ABC Primary and Nursery school located at Ukonga Dar es Salaam are hereby advertising the post of school store keeper. The applicant should have the following ability and qualification. 1. Diploma in Procurement 2. Certificate in advanced level secondary school 3. Competence in tally...
  14. Boyla

    Tusukali online store

    Jipatie Timberland boots original kwa bei ya offer ya Tshs.100,000/= only.Offer hii ni ya mwezi huu tu wa 11. Wahi kuweka order ujipatie Timbs yako Original kabisa..Unaletewa ulipo kwa Dar na mikoani utatumiwa package yako. Huduma hii ni online ..#ulipo tupo..WHATSAPP/CALL 0652015525
Back
Top Bottom