sports

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Farhan Kihamu Mchambuzi wa Sports Extra Clouds FM leo mbona Unachambua kwa Hasira baada ya Yanga Kufungwa na Ihefu?

    Watu wengi tunaokusikiliza ukiwa Hewani tulikuwa tunataka tu Kujua Wewe ni Shabiki wa Timu ipi za Kariakoo na hatimaye leo tumekujua kuwa kumbe Wewe ni Yanga SC. Mnafiki mkubwa Wewe muda wote Unaongea na Kuchambua kwa Hasira huku ukiitetea Yanga SC kwa kusema Kufungwa Kwao siyo Story. Sasa...
  2. Pettymagambo

    JamiiForums FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

    FULL TIME 90' Sakho anaipaia Simba goli la tano GOOOOOOOOO 81 Mtibwa wamerudi nyuma na kuwapa Simba nafasi ya kumiliki mpira muda mwingi 77' Simba wanafanya mashambulizi mfululizo Phiri anaipatia Simba goli la 4 73' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Beki wa Mtibwa anapata kadi ya njano ya pili na hivyo kuwa...
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Azam sports media Kwanini Mechi ya Jana CCM kirumba mlifunga kamera upande mmoja tu?

    Baada ya kuitazama Kwa makini mechi ya Yanga na Geita hapo Jana, niligundua ya kuwa Azam sports walifunga kamera upande wa magharibi tu wa uwanja na kufanya matukio makuu yasionekane Kwa ukaribu na usahihi. Azam media ni kampuni kubwa sana kushindwa kuwa na vifaa vya kutosha ni aibu. Tafadhari...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Ya Muhimu ayasemayo sasa hivi Kocha Mwinyi Zahera kipindi cha Sports Headquarters EFM

    1. Yanga SC inacheza ligi nyepesi ya Tanzania. 2. Wachezaji wa Yanga SC hawajitumi ipasavyo. 3. Wachezaji wa Yanga SC wameshalewa mafanikio. 4. Upangaji wa kikosi cha Yanga SC ni mbovu sana. 5. Bernard Morrison si Mchezaji wa kuanza, kwani hakabi halafu anacheza kwa vipindi. 6. Simba SC...
  5. N

    JamiiForums AIBU: Digital Manager wa Yanga adanganya Mayele kuitwa Mfalme wa Dhahabu na Canal Sports

    Naam, ni mwendo wa ma uongo na ma propaganda kwa kwenda mbele toka utopoloni, lakini kwa kudra za Mungu tumejipanga kuwaumbua wasambaza propaganda za uongo, may God help us! Ona huyu afisa wa UTO SC anadanganya mchana kweupe hadhar.ani, shame on you Mangi Shayo
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Mecco Sports Club

    Kikosi kilikuwa na; George Mangula Rashidi Mandanje Gabliel Mwintika Mbaga Mwantiku Charles Makwaza Dannifon Ngesi Abeid Kasabalala John Moses Kanyiki Betwely Africa Efeam Kayeta Nassibu Abbasim Wachezaji wengi Juma Ahmad, Nurdin Kasabalala, nk Mnyama alikula 3 mtungi Mbeya na...
  7. mpasta

    JamiiForums Mbona sasa hivi matangazo ya kampuni za BETTING yameshamiri sana?

    Hivi karibuni kila redio unayosikiliza hasa hizi za FM KITAA ukiitoa TBC basi lazima ukutane na matangazo ya kupigia debe kamari mpaka inakera. Kwenye simu nako kila wakati zinatumwa meseji za kuhamasisha watu wajiunge na ubashiri... Hivi kama Taifa tumeshajiandaa na madhara yanayokuja na...
  8. James Hadley Chase

    JamiiForums INAUZWA Tangazo kwa wanaohitaji visimbuzi vya Canal+ Sports

    SIFA ZA KING'AMUZI CHA CANAL+ 1. Bei ya decorder pekee ni Tsh 130,000/=, bei ya decorder na dish(complete) ni Tsh 165,000/=. Vyote hivi vitakuwa na kifurushi cha Tsh 40,000/= kwa mwezi mmoja bure. 2. Kupitia hicho kifurushi cha kuanzia utafanikiwa kuangalia mechi za ligi zote kuanzia EPL, La...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Simba Sports Club na ubunifu wa hali ya juu usio na tija

    Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Chelsea yamfungashia virago kocha Thomas Tuchel

    Klabu ya Chelsea imemfuta kazi kocha wake Mkuu Thomas Tuchel kutokana na uwepo wa mwendelezo mbaya wa matokeo unaoikabili timu hiyo. Kufurushwa huku kumetokea masaa machache baada ya kupokea kipigo cha goli moja kwenye michuano ya UEFA kutoka kwa Dinamo Zagreb. Tuchel alijiunga na timu hii...
  11. kasanga70

    JamiiForums Simba Sports Club kazi mnayo

    Ninaangalia mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Al Hilal Nina haya niliyoyaona. 1. Timu ina vipasi fulani hivi ambavyo havina impact yoyote. 2. Simba hamna timu ya ushindani tunacheza kitoto sana. 3. Nimependa physic na height ya wachezaji wa All Hilal na hizi ndizo height tunaenda kukutana nazo...
  12. Hussein Massanza

    JamiiForums Singida Big Stars yatarajia kwenda Rwanda kucheza na Rayon Sports FC

    Watu wa Soka, Tunapenda kuwafahamisha wapenzi, wadau na mashabiki wa klabu ya Singida Big Stars kuwa tumepokea mwaliko kutoka kwa wenzetu Rayon Sports FC ya nchini Rwanda kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kimataifa. Timu yetu inatarajia kusafiri kuelekea Rwanda siku ya Ijumaa ya tarehe...
  13. Scars

    JamiiForums FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club

    Mechi ni saa 2 usiku muda huu kwa saa za huko bongo Line up ya simba Lineup ya Asante Kotoko
  14. kyagata

    JamiiForums Nafasi za kazi Young African sports club

    Sharti la msingi, lazima uwe mwanachama hai wa Yanga.
  15. CAPO DELGADO

    JamiiForums Kamati ya usajili ya Simba Sports Club rekebisheni haya kabla ya Agosti 31

    KAMATI YA USAJILI SIMBA.wakuu. Habari wakuu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Miguu. Na kusoma kidogo ukocha kama mafunzo ya ziada tu kwangu. Nianze kwa kuipongeza KAMATI ya usajili ya Simba kwa kufanya usajili mzuri, kuangalia mapungufu Yao ya msimu uliopita. Endapo Simba ikifanikiwa kumpata...
  16. Kurunzi

    JamiiForums Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

    Yanga leo inakwenda kuweka historia nyingene, Futilia live hapa Ni mKataba wenye thamani ya tshs bilioni 12 na Milioni 300 kwa miaka 3, Kila Mwaka Yanga itakuwa inapata bilioni nne, pia yanga akichukuwa ligi milioni 150, na ikifika Fainali FA itapata Tshs Milioni 75. --- Mabingwa wa...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tunaomba kipindi cha Sports AM cha Azam Tv kianze saa 4:00 asubuhi

    Hiki ni kipindi kizuri sana, tatizo kubwa ni muda wa kuanza kipindi ambapo wengine bado huwa tupo ibadani maana huwa wanaanza saa mbili kamili asubuhi. Kwasisi watu wa zamani, kipindi hiki huwa na Ma-legend wa soka wa zamani huojiwa mubashara studioni na mtaalam Bin Zubery. Tunaomba suala la...
  18. KakaKiiza

    JamiiForums Simba Sports Club Kuweni na mkakati wakuakikisha mnasajili wachezaji wakali!

    Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
  19. H

    JamiiForums Mrithi wa Pablo huyu hapa

    Kocha wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko katika klabu yake. Simba imekuwa katika kipindi cha kufanya mabadiliko makubwa ndani ya timu hiyo kutokana na kutokuwa na matokeo mazuri...
  20. Greatest Of All Time

    JamiiForums FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

    Ahlan Wasahlan wana JF Ni mtanange wa kukata na shoka baina ya Yanga Vs Simba katika nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho la Azam ndani ya dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Ni mchezo unaozikutanisha timu mbili zenye mafanikio zaidi katika soka la Tanzania. Mara ya mwisho kwa timu...
Back
Top Bottom