Leo ilikuwa ni fainali ya Kombe la Mapinduzi. Mlijiamini kwa asilimia 100 kuwa kombe mnalibeba mkasahau kuwa mpira ni dakika tisini. Poleni sana. Binafsi naona kuwa mlifanya uamuzi usio wa busara kwa kuachana na Kocha Patrick Aussems.
Kocha huyu mlieachana naye alikuwa anajua kuusoma mpira na...
Msanii nguli wa kimataifa diamond platnumz a.k.a baba lao and CEO wa WASAFI MEDIA akihojiwa na sports arena baada ya kurudi kutoka misri kwenye tuzo za CAF mahojiano Kama ifuatavyo
Mtangazaji: kwanii una connection nyingi za kufanya show kubwa
Diamond:Africa Kuna wasanii wengi Sana na niwazuri...
Mshindi wa tuzo la IAAF, la mwanariadha bora duniani, mwaka wa 2018 na 2019 pia. Ambaye ndio mshindi wa Laures Exceptional Achievement Award 2019 na Elder of the Order of the Golden Award of Kenya, mwanariadha Eliud Kipchoge ameteuliwa tena, kuwania tuzo la BBC Sports Personality of the Year...
Nimezifuatilia sababu za baadhi ya Viongozi wa Simba SC na Mashabiki ' Wapuuzi ' wachache juu ya sababu zao kutaka Kocha Mkuu wa Simba SC Patrick Aussems aondoke na Kugundua kuwa zote ni za Kipopoma. Moja ya sababu ambayo hadi hivi sasa imeniacha hoi ni kwamba baadhi ya Viongozi hawamtaki Kocha...
Hiv karibuni Mwinyi Zahera amekuwa akifanya media tour na kuwalikwa pia na media mbalimbali sports arena wameulizwa mbona wao hawajamwita Zahera wamejibu "Zahera ameshafukuzwa na yanga na kocha anapimwa kwa matokeo au uchezaji wa timu yake hatuna sababu yakumwita studio hata ukimwita azungumzie...
Waziri wa habari sanaa na michezo Dr Harrison mwakyembe ametoa pongezi zake kwa mwanamziki diamond kwa uzinduzi wa sports arena alioufanya kwa ukubwa kuanzia maandalizi pamoja na ubunifu walitumia kwa kitendo Cha kuwashusha kwa helikopta watangazaji waliowasajili lakini kuwepo kwa red carpet na...
Droo ya kupanga makundi kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) 2019/20 kuchezeshwa leo Agosti 29, 2019 huko Grimaldi Forum, Monaco kuanzia saa 18:00 CET (Saa mbili usiku kwa majira ya Afrika Mashariki
Timu zinazoshiriki droo hiyo
Matokeo ya Droo iliyochezeshwa leo ni kama...
Bill Shankly
KILA mtu aliamini hatuendi popote, wengi walitarajia kuona tunashindwa kufuzu hatua ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu wa 2004/05.
Njia yetu ilikua ni ngumu, kundi letu lilishageuka shubiri kwetu, hatukua na matumaini tena.
Tulikua tupo na Monaco, Olyimpiacos na...
Sio Siri Tena alikiba ni mchezaji mpira wa coastal union nilipopata habari sikuelewa . Lakini nilipomsikiliza Mwenyewe akieleza nia yake kwenye interview ya Azam tv nikatambua kuwa ana uwezo ya kutimiza ndoto yake.tokea leo mimi ni shabiki number moja wa coastal union . Nitanunua jezi lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.