spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Tuiombe Dunia Imfukuze Tulia Kwenye Nafasi ya Spika wa Umoja wa Mabunge Duniani.

    Tulia, spika wa Bunge la JMT, amekuwa mstari wa mbele katika kutetea na kulinda utekaji na mauaji ya wakosoaji. Mara mbili, wabunge waliomba Bunge lijadili utekaji na mauaji ya wakosoaji, lakini Tulia, kama spika wa Bunge la JMT, alizizima hoja za wabunge hao, na kuzuia kabisa zisijadiliwe...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr Tulia kuwa wabunge walipochangia mtafaruku wa Tanzania na Kenya walikiuka maadili na kanuni za Bunge umeonyesha Naibu Spika hafai kabisa!

    Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni. Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Spika abariki majibu ya Dkt. Mollel kuhusu huduma bure kwa Wajawazito

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, ametoa muongozo akieleza kuridhishwa na majibu ya Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, kufuatia maswali ya nyongeza yaliyoulizwa na Mbunge wa Nanyumbu, George Mwenisongole, kuhusu utekelezaji wa Sera ya Afya ya Mwaka...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa utambulisho alioufanya Spika Tulia Ackson Bungeni kwa Mumewe sasa nimeamini kuwa Ukioa tu Mwanamke wa Mkoani Mbeya jiandae Kutawaliwa nae mazima

    Nilidhani atamtambulisha Muwewe (Boss wa EWURA) kwa Majina yake yote Matatu au hata Yeye pia kuacha Kujiita Tulia Ackson Mwakyusa na kujiita Tulia Andilile Mwainyekule lakini kila Mtu kabakia na Jina lake la Ubini / Ukoo ikidhihirisha kuwa ni kweli Wanawake wa Mkoa wa Mbeya wanapenda mno kuwa...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Mshirika wetu wa Kweli - Spika wa Comoro

    Tanzania ni Mshirika wetu wa Kweli - Spika wa Comoro Spika wa Bunge la Comoro, Mhe. Moustadroine Abdou amesifu ushirikiano mzuri wa Tanzania na Comoro. Spika Moustadrione ameyasema hayo katika hafla ya chakula cha jioni kuadhimisha miaka 61 ya Muungano iliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania...
  6. bab-D

    JamiiForums Tanzania NIMEUNGUZA CARD YA SPIKA YA SUNDA

    Habari wataalam ,naomba mwenye uelewa wa wapi naweza pata card ya spika za sunda 80,000W Maana nimetafuta nimekosa nimeishia kupigwa tuu Pia kama kuna ushauri juu ya namna ya kui-repair nisaidie
  7. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lord Denning: Faida Nne za 'No Reforms No Election' kwa Ma-RC, ma-RAS, ma-DC, ma-DAS, ma-DED, Mawaziri, Spika, Wabunge na Madiwani wa CCM

    Endapo viongozi wa CCM watakubali kuahirisha Uchaguzi mkuu sasa hivi ili kuanzisha mchakato wa Katiba kwa ajili ya kufanya mageuzi ya kimfumo yanayopiganiwa na Watanzania watafaidika na mambo manne kama ifuatavyo: Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: spika za mbao halisi

  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

    Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa. Ila swala la bei ni jambo jingine. Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete? Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
  10. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Namna Spika wa Bunge la Cuba anavyofanana na M|Kiti Steven Wassira

    WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.* Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika...
  11. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Wasira afanya mazungumzo na spika wa Cuba

    By Maulid Mmbaga , Nipashe MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake. Kwa mujibu wa taarifa ya CCM Wasira amefanya mazungumzo na ujumbe...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Lebanon amwambia Spika wa Bunge la Iran: Tumelipa gharama kubwa kuwatetea Wapalestina na hivyo tumechoka na vita vya nchi nyingine!

    Wadau hamjamboni nyote? Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: February 23, 2025 Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is ‘tired of others’ wars’ Lebanese President Joseph Aoun tells Iranian Parliament Speaker Mohammad...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson alivyofungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 14 Februari 2025, amefungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kuhusu taarifa za utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nani Spika Bora zaidi , Toka Mwaka 1995, tupige kura

    Kwa wale wazee wenzangu na wafuatiliaji mabunge awamu mbali mbali, nimeona Leo tujikite kidogo kuangalia maspika wa Bunge walioongoza Bunge vipindi mbali mbali, Kila mmoja alikuwa na staili yake, Kariba yake, maspika Hawa wote walitoka chama Cha CCM. Hivyo tuangalie je nani alikuwa Bora zaidi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ikiwa nafasi ya uenyekiti tu wa chama mnabagazana namna hii ingekuwaje kama mngeshika dola kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu na Mawaziri

    Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa anahudhuria vikao mbalimbali vya maendeleo ndani ya...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Liberia: Spika ahojiwa baada ya Bunge kuchomwa moto

    Spika wa Bunge la Wawakilishi ambaye yupo kwenye mvutano wa Kisiasa, amehojiwa na Polisi baada ya moto mkubwa kuteketeza sehemu ya Bunge la taifa hilo la Afrika Magharibi Moto huo umeharibu kabisa ukumbi wa pamoja wa Bunge, lakini hakuna mtu aliyekuwa ndani ya jengo wakati wa tukio, huku Polisi...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia awatembelea hospitali Wabunge majeruhi wa basi

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amewajulia hali baadhi ya Wabunge majeruhi, waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, waliopata ajali ya gari mkoani Dodoma wakati wakielekea kwenye...
  19. D

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Spika Tulia Ackson ajitosa kampeni za Serikali za Mitaa

    Ama kweli kampeni zimeshika kasi. Spika wetu Dk. Tulia Ackson sasa ni mtaa kwa mtaa Mbeya mjini. Baada ya kumaliza mitaa kadhaa sasa amejikita Mtaa wa Ilindi akimpigia kampeni mgombea wa CCM Ndugu Abdul Kilasi na wajumbe wake. "Wana Ilindi twendeni na Abdul Kilasi na wajumbe wake. Huyu ni...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia unavuna ulichopanda usiwalaumu Mawaziri

    Dk. Tulia Akson unavuna ulichopanda kutokana na udhaifu wako hadi unasababisha Mawaziri wanakudharau na wanalidharau Bunge kwa kuwa wanajua halina cha kuwafanya. Tulia ni majuzi tu ukiwa IPU umedharauliwa na wabunge wa IPU kutokana na kutokuwa na uwezo wa kujibu hoja zao badala yake ukaanza...
Back
Top Bottom