spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  2. JamiiForums Tanzania CCM na Spika Ackson hili la hawa Wabunge 19 wa CHADEMA msipoangalia litawachafua na kufanya muonekane ni 'Majuha' wa Kutukuka

    Tayari wenye Chama chao CHADEMA wameshawafuta rasmi nyie CCM kupitia Spika Ackson mnafanya hila za Kipopoma ( Kipumbavu ) za Kisheria ili muwabakize Bungeni. Najua CCM na System mnahangaika na hili ili Kumfutia Aibu Spika Ackson ambaye kwa Kiherehere chake alilikoroga kwa Kukurupuka Kuwatetea...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kwako Dkt. Tulia Ackson: Kuhusu waliofukuzwa Chadema, mheshimu Sheria za nchi

    Ninayo machache kwako kama raia wa nchi kama ilivyo kwa watanzania wengine. Kwa siku za hivi karibuni hasa alhamisi ya tar 12.05.2022 kulienea taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya uanachama wa dada zetu 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA kuwa wamevuliwa uanachama wao ndani ya CHADEMA. Na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Spika fuata sheria kwenye suala la Halima Mdee na wenzake

    Nchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza. Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato. Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho...
  5. JamiiForums Tanzania Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

    Tayari kile kilichokuwa kinahisiwa kuja kutokea kimeanza kusikika maeneo ya Dodoma na Dar ambapo kundi la wabunge 19 waliovuliwa uanachama wa CHADEMA limejipanga kufungua kesi mbili mahakama kuu kupinga kuvuliwa uanachama wao wakati wowote wiki ijayo. Kesi ya kwanza itakuwa ni kesi ya msingi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ben Kigaila: Nimekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika saa 2:42 asubuhi!

    Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa Bunge leo saa 2:42 asubuhi Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch Source: ITV
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe ndiye anayewafanya Wajinga na siyo Spika Tulia au CCM!

    Sijui ni kitu gani kinawafanya muone Mbowe jinsi mnavyomuona kwamba ni Malaika, sasa mnaamini kabisa ule Mkutano Mlimani ulikuwa real ? Kwa nini hamuulizi maswali ? Iweje waliofukuzwa Ubunge warudi Bungeni wakati Mbowe yuko karibu sana na Raisi Samia na hata anakwenda kumtembelea muda wowote...
  8. JamiiForums Tanzania Spika tulia na wakina Mdee bado wanatuchezea

    Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni. Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia. Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?
  9. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika

    Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA pelekeni taarifa kwa Spika mubashara, mmeilinda vyema heshima ya chama chenu

    Mimi si mwanachama wa CHADEMA. Ni mwanachama wa CCM tangu miaka ya 80 nilipohitimu Chuo Kikuu. Tangu kumaliza utumishi wangu ndani ya Serikali na chama, nimebakia kuwa mwanachama mtiifu wa chama changu-nikishirikishwa mipango mbalimbali ya kichama na kiserikali katika kushauri na kuitekeleza...
  11. 5

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani atua Ukraine na aapa US kuisaidia Ukraine mpaka vita itakapoisha

    Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done' Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'Close The speaker of the US House of Representatives, Nancy Pelosi, has met the Ukrainian president, Volodymyr Zelensky, in Kyiv. Ms Pelosi said Ukraine was fighting for everyone's...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge ataka taarifa za zuio la bodaboda lijadiliwe kwa dharura Bungeni, Spika aikataa hoja

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Slaa ametoa hoja ya kusimamisha ratiba ya Bunge ili kujadili hoja ya vijana waliojiajiri katika usafiri wa bodaboda na Bajaj ambao kulikuwa na taarifa wamezuiwa kuinjia maeneo ya Mjini Mkoani Dar es Salaam. Slaa alitoa hoja hiyo Bungeni leo Alhamisi Aprili 21, 2022...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni atoa amri wanaozungumzia kifo cha Spika Oulanya kuwa alipewa sumu wakamatwe

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema baada ya kifo cha Oulanya ametoa amri kwa Polisi kufuatilia wanaondika kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jacob Oulanya alifariki baada ya kupewa sumu, wakamatwe ili watoe ufafanuzi na kueleza Polisi kile wanachokijua. Pamoja na hivyo, bado familia ya...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Baba Mzazi wa aliyekuwa Spika wa Uganda asema mwanaye alipewa SUMU iliyosababisha kifo chake

    Nathan Okori ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah amesema Mtoto wake (Spika Jacob) alipewa sumu ambayo ndio imesababisha kifo chake. Mzee Okori ametoa kauli hiyo leo wakati wa shughuli za mazishi ya Spika Jacob. "Sitaki niomboleze na kulia kwa ndani tu...
  15. JamiiForums Tanzania Sakata la Spika Mstaafu Ndugai kukupa 'Ukweli' wako ulilikabili Mwenyewe 'Kimadaha' kwanini leo hii Sakata la Mafuta unataka usaidiwe Kusemewa?

    Mbona Sakata la Mafuta na Wananchi Kulalamika / Kulilalamikia ni rahisi sana Kulifafanua kwa Watanzania ( Wananchi ) na Wakalielewa hata kuliko lile la Spika Mstaafu Ndugai kukupa Ukweli wako kuhusu 'Kukopakopa' hovyo sasa iweje tena leo unataka Watu wakusaidie Kukusemea ili Watanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?

    Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi. Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10. Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika. Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jacob Oulanyah, Spika wa Bunge la Uganda afariki dunia

    Rais Museven kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametangaza kifo cha Spika wa Bunge wa Uganda Jacob Oulanyah. Museven anaeleza kuwa kifo hicho kimetokea leo majira ya saa 4:30 asubuhi kwa Ukanda wa Afrika Mashariki. Taarifa zinaeleza kuwa Jacob Oulanyah alikuwa nchini Marekani kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Spika Tulia amtembelea Profesa Jay, asema afya yake inaendelea kuimarika

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, jana Machi 14, 2022 aliwatembelea na kuwajulia hali Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay pamoja na Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Halima Mdee, Bi. Theresia Mdee ambao wamelazwa na kupatiwa matibabu katika...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

    Kama ni kweli wale tulio kwenye ulinzi jiuzuluni tafadhali sanaaa huyo hapo chini alikuwa mlinzi wa Magufuli sasahivi ni mlinzi wa Naibu spika?
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kuna anayejali kuhusu mahali alipo Job Ndugai?

    Wadau kwema. Poleni na majukumu. Nina hasira sina kazi maisha ni kama yamenipiga. Serikali itukumbuke graduate. Tuna huzuni kuu. Uh apart from hayo nijielekeze kwenye mada. Ni muda umepita tangu ndugu spika aliejiuzulu hajaonekana kwa uwazi. Ako wapi jamani. Kwa wanaofahamu kumhusu wanijuze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…