Kuna anayejali kuhusu mahali alipo Job Ndugai?

ProMagufuli

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
219
235
Wadau kwema. Poleni na majukumu. Nina hasira sina kazi maisha ni kama yamenipiga. Serikali itukumbuke graduate. Tuna huzuni kuu.

Uh apart from hayo nijielekeze kwenye mada. Ni muda umepita tangu ndugu spika aliejiuzulu hajaonekana kwa uwazi. Ako wapi jamani. Kwa wanaofahamu kumhusu wanijuze. Hii ni mbaya sana. Watawala au watu tusichukue nafasi ya Mungu kwa kuwakosesha uhuru wengine. Undumilakuwili mbaya sana. Madam ji... Uh nina hasira mnipe kazi kwanza. Tuombeane.
Tuseme then tutende tuyasemayo. Na hawa mawaziri waache kutupa hope graduate. Am out.

ProMagufuli. Kwa sasa .Magulilwa
 
Wadau kwema. Poleni na majukumu. Nina hasira sina kazi maisha ni kama yamenipiga. Serikali itukumbuke gradubte. Tuna huzuni kuu.

Uh apart from hayo nijielekeze kwenye mada. Ni muda umepita tangu ndugu spika aliejiuzulu hajaonekana kwa uwazi. Ako wapi jamani. Kwa wanaofahamu kumhusu wanijuze. Hii ni mbaya sana. Watawala au watu tusichukue nafasi ya .

Mungu kwa kuwakosesha uhuru wengine. Undumilakuwili mbaya sana. Madam ji... Uh nina hasira mnipe kazi kwanza. Tuombeane.
Tuseme then tutende tuyasemayo. Na hawa mawaziri waache kutupa hope graduate. Am out.

ProMagufuli. Kwa sasa .Magulilwa
Inawezekana muumba amempa ujasiri.
 
why should we care about him?. mtu ana miliki mali kibao, majumba na lodges za kutosha pale dodoma.

ni ujinga kuumiza kichwa kumuwazia mtu kama huyo?.
Alikuwa mtu muhimu. Naomba kujua alipo. Afanye hata press kama vipi.
 
Alipokuwa anamkejeli lisu alidhani dunia ni ya kwao na john.

Mungu ni mwema.

Job hana faida, hatumuhtaji huyu mtu wenu.
 
Alipokuwa anamkejeli lisu alidhani dunia ni ya kwao na john.

Mungu ni mwema.

Job hana faida, hatumuhtaji huyu mtu wenu.
Aisee, hujui kuwa dunia duara. Kwani ako wapi watu wanamzushia huko hi ni mbaya. Wafanye kumuonyesha au aonekane ili wazimwe mdomo hao wasiotakia mema serikali tukufu ya bi tozo na spika aliejiuzulu.
 
Back
Top Bottom