spika wa bunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania KISASI: Trump apendekezwa kuwa spika wa bunge la Marekani,

    Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka. Trump kuwa spika inaweza kuwa ni mwiba mkali sana kwa uongozi wa Biden, Trump kuwa spika ni fursa kwake...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ni mali ya Serikali kwa 100% Wananchi wa Jimbo la Hai watambue hilo!

    Spika wa bunge Dr Tulia amesema Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) ni mali ya Serikali kwa 100% Dr Tulia alikuwa anakazia kauli ya mbunge wa Hai Ndugu Mafuwe aliyadai Serikali ilinunua shea zote za KIA lakini kuna baadhi ya Watu jimboni wanawafanganya Wananchi kuhusu Kadco. Spika Tulia...
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mme wa Spika wa Bunge la Marekani kapigwa nyundo nyumbani kwake

    Mme wa Spika wa Bunge la Marekani ajulikanaye kwa jina la Paul kajeruhiwa kwa kupigwa na nyundo akiwa nyumbani kwake huko Marekani. China inahusishwa na njama hizo baada ya kumuonya Spika Perosi asidhuru Taiwan na kupuuza.
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Shauri Na. 36/2022 la Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA, Spika wa Bunge la JMT & NEC. Ni nini madai yao?

    ✓ Dai lao kuu ni kuiomba mahakama ipitie mchakato wote wa CHADEMA kuanzia ndani ya KK na kisha BK wa kuwafuta/kuwafukuza uanachama ili mahakama ijiridhishe iwapo CHADEMA walifuata taratibu na sheria (katiba yao) ama laa... ✓ Wanasema, mahakama ikiona hawakutendewa haki (utaratibu haukufuatwa)...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Dkt. Tulia: Udaktari wa Musukuma siyo wa Kisomo, ni wa Heshima tu

    Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia leo wakati akiendesha kikao cha bunge ametoa ufafanuzi kuwa watu wengi wanaoitwa madaktari wanamfuata na kulalamika kwamba, ikiwa Musukuma ni daktari wa falsafa (Kisomo) basi wenyewe waachwe kuitwa madaktari. Spika Tulia akalitolea...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yadai kwamba iliwasilisha Kwa Spika wa Bunge Taarifa ya Mdee na wenzake kushindwa kesi mara tu baada ya uamuzi wa Mahakama

    Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu, amesema kwamba chama chake kiliwasilisha kwa Spika wa Bunge la Tanzania taarifa ya kutupwa kwa kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake mara tu baada ya Uamuzi wa Mahakama kutolewa. Kwahiyo visingizio vyovyote vitakavyoletwa na Spika wa Bunge...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge apewe Uwaziri Mkuu

    Speed ya Spika wa Bunge kutetea Serikali inatisha sana, Pamoja na kwamba tuna Bunge dhaifu mionngoni mwa Mabunge yote Duniani lakini still huu muhimili unapaswa kujitenga na Serikali. Sasa huyu Spika ni kana kwamba yeye ni Waziri Mkuu wa nchi yaanianafanya majukumu yote ya Waziri Mkuu. Ni...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

    Wanabodi, Leo tena nimepata fursa kuwaletea zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" na issue iliyo mezani ni Sakata la wabunge 19 wa Chadema, Chadema imewatimua ikijua it's done with them, Spika wa Bunge amewakingia kifua, hivyo wanaendelea na ubunge wao kusubiria aumuzi wa mahakama. Humu...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwako Dkt. Tulia Ackson: Kuhusu waliofukuzwa Chadema, mheshimu Sheria za nchi

    Ninayo machache kwako kama raia wa nchi kama ilivyo kwa watanzania wengine. Kwa siku za hivi karibuni hasa alhamisi ya tar 12.05.2022 kulienea taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya uanachama wa dada zetu 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA kuwa wamevuliwa uanachama wao ndani ya CHADEMA. Na...
  10. 5

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani atua Ukraine na aapa US kuisaidia Ukraine mpaka vita itakapoisha

    Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done' Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'Close The speaker of the US House of Representatives, Nancy Pelosi, has met the Ukrainian president, Volodymyr Zelensky, in Kyiv. Ms Pelosi said Ukraine was fighting for everyone's...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jacob Oulanyah, Spika wa Bunge la Uganda afariki dunia

    Rais Museven kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametangaza kifo cha Spika wa Bunge wa Uganda Jacob Oulanyah. Museven anaeleza kuwa kifo hicho kimetokea leo majira ya saa 4:30 asubuhi kwa Ukanda wa Afrika Mashariki. Taarifa zinaeleza kuwa Jacob Oulanyah alikuwa nchini Marekani kwa...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Zungu achaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge kwa 98.33% ya Kura

    Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Spika Wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia

    Mungu tunajuwa Wewe ni Mungu mwaminifu sana. Naniukweli usio pingika ktk malango yako ya siri haikuwa Rahisi kwa Dr Tulia kupita nakuwa. Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz. Mlinde na ufunike ktk kipindi hiki waovu wameongezeka ktk uso wa dunia. Unajuwa yakuwa anamitego na majukumu...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

    Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100. Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye...
  15. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaCCM wengi hawajafurahi au kuridhika na uteuzi wa Tulia kuwa Spika wa Bunge?

    Sio siri, kwa mtu yoyote anayefuatilia mwenendo wa siasa za CCM anaweza kugundua kitu kisicho sawa sawa miongoni mwa makundi ya wanaCCM kufuatia tangazo la kuteuliwa kwa Tulia kuwa mgombea kiti cha spika wa bunge la Tanzania. Yaani iwe ni kundi la Msoga au Sukuma, wote hawajafurahia sana. Kuna...
  16. Bams

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia anataka awe Spika wa Bunge lisiloweza kufanya chochote?

    Sijui kama ni unafiki, ulaghai, akili kidogo au tamaa, ambavyo huweza kumfanya mtu kuwa mtumwa wa ujinga. Hivi karibuni, Naibu Spika Tulia, mbele ya Rais wakati Rais akiwaapisha mawaziri aliowateua, alitamka wazi kuwa Rais na Serikali, ni kila kitu. Na kwamba, japo Bunge linaweza kuishauri...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Darasa la saba kuweza kuwa spika wa Bunge: Haiwezekani chombo nyeti kinachopitisha sheria na bajeti ya nchi kiwe na kiongozi la 7

    Inakuaje hata mtu mwenye elimu ya Darasa la 7 vigezo vinamruhusu awe spika? Eti ajue kusoma na kuandika tu. Hivi watunga sheria walikuwa wamelewa au? Bunge ni kiungo muhimu sana kikiwa muhimili mmojawapo wa serikali baada ya Rais+ baraza la mawaziri na Mahakama, iweje mihimili mingine viongozi...
  18. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania FUNZO LA NDUGAI: Kuna haja kisheria kwa Tanzania kuwa na Spika asiyetokana na chama cha siasa?

    Ni wazi kuwa Spika Ndugai imejiuzuru uspika wa bunge la Tanzania kwa shinikizo la chama chake cha CCM baada ya kutofautiana kimtazamo na Rais Samia Suluhu ambaye ndio mwenyekiti wa CCM taifa. Upande wa pili pia, utendaji wa Ndugai akiwa spika wa bunge la Tanzania kwa sehemu kubwa ulikuwa...
  19. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson alikuwa chaguo la Magufuli, hafai kuwa Spika wa Bunge litakalosimamia Serikali ya awamu ya 6

    Tunatoa sana ushauri humu JF na wakati mwingine tunaonekana kama wavurugaji waliotumwa na wapinzani au watu tusiokuwa na uzalendo na taifa letu, mwisho wa siku ushauri inapuuzwa na kumsikia mama analalamika kua wapo watu ndani ya serikali hawako naye na wengine hawaelewi. Tulishauri kwamba Mama...
  20. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
Back
Top Bottom