spika wa bunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Spika Mussa Zungu awaasa wabunge wasiogope kurudi majimboni. Awataka wapange maneno ya kwenda kusema majimboni

    Naibu Sipika wa Bunge, Mussa Zungu amewataka wabunge wasiogope kurudi majimboni kwani kuna miradi mingi ya kuzungumzia na kuwa wameonyesha wana sifa za kurudi bungeni 2025. “Niwapongeze wabunge kwa kazi nzuri mliyofanya kipindi hiki chote ambacho tuko bungeni, mmeonyesha umahiri wenu na...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tulia wewe ni Spika wa Bunge au ni Spika wa Serikali?

    Leo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko Waziri Mkuu na mawaziri wengine. Hivi unajua wajibu wako unapokuwa hapo kwenye kiti cha Spika? Wadhifa...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mpina afungua kesi dhidi ya Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni ya kuagiza Sukari

    Mpina awafungulia kesi Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni yaliyopewa tenda ya kuagiza Sukari Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amefungua kesi mbili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya kwanza ni dhidi ya Spika ambapo anahoji juu...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson anatoa Tuzo kwa Waandishi wa Habari kama nani, Ili Iweje?

    Na kwamba baada ya Tuzo hizi Zinazodaiwa kuambatana Rushwa ya hela, kuna Mwandishi yeyote hapo Mbeya atakayeandika Ukweli mchungu kuhusu huyu Mbunge? Ni lazima Mamlaka ikemee kitendo cha Kila Mtu kuwapa Tuzo Waandishi wa Habari, ikiwa kama kuna aliyeguswa na Umahiri wa Wanahabari basi atumie...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Sababu za Luhaga Mpina kuwafungulia Kesi ya Sukari. Spika wa Bunge(Tulia Ackson), Waziri wa Kilimo (Hussein Bashe) na Wakulima wa Miwa

    TAARIFA YA UFAFANUZI YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU SINTOFAHAMU INAYOENDELEA JUU YA SAKATA LA UTOAJI WA VIBALI VYA KUINGIZA SUKARI KUTOKA NJE YA NCHI NA HATMA YA KILIMO CHA ZAO LA MIWA NCHINI. LEO TAREHE 29 JULAI 2024. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari...
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani: Biden hafai hata kupewa muda uliobakia

    Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi Mwanadamu haridhiki kabisa walimtaka asigombee amalizie ingwe yake na amekubali sasa hawataki hata kumalizia...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

    SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), baada ya kuhitimisha Bunge...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndio maana Bunge linapitisha tozo, kumbe wao haziwahusu!

    Salaam Wakuu, Tulia amekuwa akiwatunuku followers wake mara kadhaa kwa kuwatumia mialama mara kadhaa, na mara zote amekuwa akiweka copy ya miamala hiyo kuonesha kuwa wahusika wamepokea. Siku zote hizo amekuwa akiedit text hizo na kuondoa kisehemu kinachoonesha makato ya ada na tozo ya...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Endeleeni kudhani la Sukari ni la Bashe, Mpina na Spika wa Bunge ila Mlengwa Mkuu anahaha baada ya Kushtukiwa kupiga Dili na Mwana

    Tafadhali naomba mwana JamiiForums yoyote mwenye ule Wimbo uitwao SIRI IMEFICHUKA nadhani uliimbwa na Chidumule au Remmy ( sina uhakika sana na Mtunzi ) aniwekee hapa ili si tu Niusikilize bali pia Niserebuke nao. Nami nataka kwenda Studio ili nije na hiki Kibao changu ( huu Wimbo wangu )...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Spika wa bunge, ya chama cha mapinduzi CCM, na ya tume huru ya taifa ya uchaguzi zinasubiriwa kwa hamu na watanzania

    kwa wakati huu, shauku, bashasha, macho na maskio ya miongoni mwa wadau wa siasa, harakati na demakrasia nchini Tanzania, yameelekezwa zaidi katika kujua, kuelewa na kufahamu matokeo ya hatua muafaka ambazo taasisi imara sana za umma zimechukua dhidi ya vielelezo vya uthibitisho vilivyoibuliwa...
  11. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Spika ajue kwamba mpina kuna watu wengi wako nyuma yake ambao hawakubaliani na mambo yanayofanywa na serikali.

    Spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DR.Tulia Ackson afahamu kuwa ushahidi na nyaraka alizozipata mpina hajazitafuta yeye mwenyewe Bali kuna watu wapo nyuma yake wamechoshwa na wizi unaofanywa na viongozi wa serikali. Kimsingi naona spika hapa anaenda kutoaminika kwa umma kwa kile...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbunge Mpina na uchambuzi wa ndani zaidi kisiasa na maamuzi ya spika wa bunge Nini hasa bunge litaathiri kwa mzawa huyu

    Na; Bk Leo, Jumanne Juni 18.2024 mapema asubuhi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson ameagiza Mbunge wa jimbo la Kisesa Mheshimiwa Luhaga Mpina kufikishwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kuwasilisha ushahidi...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kutokuwa na Imani na Spika wa Bunge la Tanzania

    Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT. Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim. Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

    MAELEZO MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKIWASILISHA USHAHIDI WA VIELELEZO KWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. TULIA ACKSON (MB) KUHUSU WAZIRI WA KILIMO MHE. HUSSEIN MOHAMED BASHE (MB) KUSEMA UONGO BUNGENI LEO TAREHE 14 JUNI 2024. MHE...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson aagiza Kamati iwaite Wakurugenzi wa NSSF na PSSSF Bungeni kueleza kuhusu michango ya Wanufaika

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi wa Jamii kuwaita na kuwahoji wakurugenzi wa mifuko ya hifadhi za jamii nchini kuhusu madai ya kuwataka wanufaika, kutakiwa kulipa fedha za michango ambazo waajiri wao hawakuilipa mifuko hiyo, ili waweze kupatiwa mafao...
  16. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa siasa za kimataifa mtusaidie

    Wakuu Heshima mbele. Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa Uganda, akiwemo Spika wa Bunge la nchi hiyo, Anita Among, mumewe na Naibu Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Ulinzi kutoingia nchini humo kwa tuhuma za ufisadi na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa ya Wizara ya Mambo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi wabunge kuapa wakiwa wameshika kitabu cha dini tofauti na dini ya Spika?

    Hili swali nalielekeza Duniani kote ambako Utaratibu wa kuapisha Wabunge kwa kutumia Vitabu Vitakatifu Vya Mitume wa Mungu wa Mbinguni unatumika. Kwa upande wa Rais haina shida kwa sababu wanakuwepo Jaji Mkuu na Mufti au Askofu. Niko pale nasubiri Elimu. Mungu wa Mbinguni awabariki.😀
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge, Dkt. Tulia asisitiza Wizara ya Ujenzi kuzingatia ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa Serikali

    SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa serikali. Dkt Tulia amesema hayo tarehe 27 Mei 2024 Bungeni Jijini...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Tanzania Tulia Ackson ziarani nchini Misri

    Kwa Hali hii, tutarajie nini? Tumepigwa na kitu kizito! Misri wanakuja nchini kuwekeza Kwa Kasi kubwa. Hii Ke tunaowaamini, tunauzwa mchana peupe. ========== Mhe. Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) tarehe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia spika wa bunge jitokeze hadharani ukemee jina lako kutumiwa na matapeli

    Wanajukwaa natumaini mnaendelea vizuri. Kwawale wenye changamoto nawapa pole na kuwaombea kwa Muumba ahueni ipatikane. Nikienda kwenye mada nikwamba vipo vikundi au taasisi zinazojihusisha na mikopo tena kwakutumia majina ua viongozi wa chama na serikali na wafanya biashara wakubwa. Miongoni...
Back
Top Bottom