spika wa bunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Spika wa Bunge Dkt. Tulia Acksoni, achukua fomu kugombea Urais IPU

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola. Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
  2. Republical wafikiria kumuomba Trump agombee nafasi ya Spika wa Bunge la Marekani

    Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na Donald Trump aweze kuwa Spika wa bunge hilio. Wabunge hao waliweza kufikisha ombi hilo kwa Trump...
  3. Spika wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy ang'olewa madarakani

    Just in: Spika wa Bunge la Marekani amengo'lewa madarakani na kuweka historia kuwa spika wa kwanza wa bunge la marekani kung'olewa na wabunge. Moja ya chanzo cha Kevin McCarthy kuondolewa kwenye uspika ni baadhi ya wabunge wenzake wa Republic kumuona kama msaliti baada ya kushirikiana na...
  4. B

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ziarani Morocco

    18 September 2023 Rabat, Morocco https://m.youtube.com/watch?v=nxCJ2dl-PN8 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Spika wa Bunge la Morocco, Mhe. Rachid Talbi El Alami katika ofisi za Bunge hilo zilizopo...
  5. Spika Dkt. Tulia: Rais mimi ndio Mbunge wa Mbeya Mjini, Wananchi wameniambia Wanakuunga mkono Uwekezaji wa Bandari!

    Spika Dr. Tulia amesema anaowawakilisha yaani wananchi wote wa Mbeya Mjini wanaunga mkono Uwekezaji wa Bandari. Dr. Tulia amesema Mkoa wa Mbeya ni wakulima hivyo Uwekezaji wa Bandari utasaidia Mazao yao kufika kwenye Masoko kwa haraka. Nanukuu Baada ya kuitaja Bandari, maneno mengi yametoka...
  6. R

    Mnaomshambulia Spika wa Bunge amewakosea nini?

    Spika wa Bunge anadhalilishwa na kushambuliwa kila mahali huku tukijua kuwa Dkt. Tulia ni Daktari wa PhD na sio Dokta wa Mchongo kwanini tunashindwa kuheshimu taaluma yake? Kosa lake ni nini hadi ashambuliwe kiasi hicho?
  7. Spika Tulia, umetuaibisha Wanyakyusa kupitisha Mkataba wa Bandari. Jisahihishe haraka

    Spika wa Bunge Dr Tulia Mwansasu umetuaibisha na kutushushia heshima wanyakyusa wenzako kwa kitendo chako cha kukubali kutumika na kupitisha mkataba wa kitapeli wa bandari. Unatufahamu wanyakyusa hatutaki ujinga kwenye mambo ya msingi, umepewa dhamana kubwa ya kuendesha chombo kikubwa katika...
  8. Spika Tulia Ackson, ninakukumbusha kuwa siku inakuja aibu yako itakufunika

    Kazi ya Spika wa bunge la JMT ni kuongoza mijadala ya kuisimania serikali kama mhili unaojitegemea. Bunge ni uwakilishi na sauti ya wananchi dhidi ya serikali. Inasikitisha sana wewe Spika Tulia Aksoni umegeuka sehemu ya kuitetea serikali kwa nguvu zako zote. Umepoka nafasi ya Waziri mkuu...
  9. Marekani yafuta Viza ya Spika wa Bunge la Uganda

    Marekani umechukua uamuzi huo dhidi ya Anita Among huku Mbunge Asuman Basalirwa akisema yeye pia anaweza kuwa mwathirika wa kuwekewa vikwazo baada ya Uganda kuhalalisha Sheria dhidi ya LGBTQ. Kabla ya hatua hiyo, Rais wa Uganda, Museveni alipuuzia maoni na matakwa ya baadhi ya Nchi za Magharibi...
  10. S

    Tetesi: Wabunge kumpigia kura Spika wa Bunge kutokuwa na imani

    Kuna tetesi kuwa baadhi ya wabunge wamejipanga kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson baada ya kuonekana wazi kushindwa kuuongoza mhimili huo kwa manufaa ya watanzania. Hatua ya wabunge hao inakuja baada ya Spika kuzima ajenda za wananchi ambapo baadhi...
  11. S

    Spika amzuia Mbunge wa Iringa kujadili hoja ya kufutiwa leseni mawakala wa mbolea

    SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyeomba mwongozo wa Spika bungeni leo Aprili 18 2023 kutokana na mgogoro mkubwa wa mbolea unaotishia mazao ya wakulima kuungua kwa kukosa mbolea baada ya uamuzi wa Serikali kuwafutia leseni mawakala 721 kutokana...
  12. J

    Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  13. F

    Spika wa Bunge Tulia Akson asema Ripoti ya CAG haijafika Bungeni Bado

    Asema Ripoti ya CAG haikufika Bungeni na watu wawe watulivu. Amedai baada ya Ripoti kusomwa taarifa huwa inaletwa Bungeni na kujadiliwa na maazimio ya Ripoti kutolewa na Bunge. Ameendelea kusema mambo ya serikali hayaendi kinyemela ila ni kwa sheria na kanuni. Hivyo Ripoti ya CAG ipo jikoni na...
  14. Spika wa Bunge la Marekani akataa mwaliko wa Zelensky kutembelea Ukraine

    SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy amekataa mwaliko wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy wa kuzuru taifa hilo, CNN imeripoti. Licha ya changamoto za kivita wanazokutana nazo Ukraine kutoka kwa Mrusi, ambazo kimsingi McCarthy alitakiwa kwenda kuziona, kiongozi huyo amesema hana haja...
  15. KISASI: Trump apendekezwa kuwa spika wa bunge la Marekani,

    Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka. Trump kuwa spika inaweza kuwa ni mwiba mkali sana kwa uongozi wa Biden, Trump kuwa spika ni fursa kwake...
  16. J

    Spika Tulia: Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ni mali ya Serikali kwa 100% Wananchi wa Jimbo la Hai watambue hilo!

    Spika wa bunge Dr Tulia amesema Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) ni mali ya Serikali kwa 100% Dr Tulia alikuwa anakazia kauli ya mbunge wa Hai Ndugu Mafuwe aliyadai Serikali ilinunua shea zote za KIA lakini kuna baadhi ya Watu jimboni wanawafanganya Wananchi kuhusu Kadco. Spika Tulia...
  17. Mme wa Spika wa Bunge la Marekani kapigwa nyundo nyumbani kwake

    Mme wa Spika wa Bunge la Marekani ajulikanaye kwa jina la Paul kajeruhiwa kwa kupigwa na nyundo akiwa nyumbani kwake huko Marekani. China inahusishwa na njama hizo baada ya kumuonya Spika Perosi asidhuru Taiwan na kupuuza.
  18. Shauri Na. 36/2022 la Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA, Spika wa Bunge la JMT & NEC. Ni nini madai yao?

    ✓ Dai lao kuu ni kuiomba mahakama ipitie mchakato wote wa CHADEMA kuanzia ndani ya KK na kisha BK wa kuwafuta/kuwafukuza uanachama ili mahakama ijiridhishe iwapo CHADEMA walifuata taratibu na sheria (katiba yao) ama laa... ✓ Wanasema, mahakama ikiona hawakutendewa haki (utaratibu haukufuatwa)...
  19. A

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia: Udaktari wa Musukuma siyo wa Kisomo, ni wa Heshima tu

    Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia leo wakati akiendesha kikao cha bunge ametoa ufafanuzi kuwa watu wengi wanaoitwa madaktari wanamfuata na kulalamika kwamba, ikiwa Musukuma ni daktari wa falsafa (Kisomo) basi wenyewe waachwe kuitwa madaktari. Spika Tulia akalitolea...
  20. CHADEMA yadai kwamba iliwasilisha Kwa Spika wa Bunge Taarifa ya Mdee na wenzake kushindwa kesi mara tu baada ya uamuzi wa Mahakama

    Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu, amesema kwamba chama chake kiliwasilisha kwa Spika wa Bunge la Tanzania taarifa ya kutupwa kwa kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake mara tu baada ya Uamuzi wa Mahakama kutolewa. Kwahiyo visingizio vyovyote vitakavyoletwa na Spika wa Bunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…