speaker

  1. JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Sijawahi kumjulia hali Tundu Lissu kwani ananiona kama shetani | Mbowe asikimbilie Urais kuficha aibu ya kushindwa Ubunge

    Natazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika maswali mpaka anajichanganya kuhusu suala la Mbowe. Kuhusu sheria ya habari analalamika lalamika tu kuwa wapinzani wanapendelewa na mitandao ya kijamii na waandishi wa habari. ===== Katika Mahojiano ya Spika Job Ndungai na Clouds Media...
  2. JamiiForums Tanzania ‘Motivational Speakers’ wanaweza kuharibu maisha ya waajiriwa

    Ni kwa muda mrefu wafanyakazi wamekuwa wakiambiwa wanafanya kazi za kitumwa. Mawazo kama haya yako tangu zamani sana. Wakati wa vita baridi kati ya Usoshalisti na Ubepari, nchi nyingi za Afrika zilisema hazina upande lakini baadae wakaelemea kwenye Usoshalisti, taifa kama Tanzania likaweka kitu...
  3. JamiiForums Tanzania Spika wetu

  4. JamiiForums Tanzania Mchungaji Daniel Mgogo ni mchungaji wa dini au ni motivational speaker?

    Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini? Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake...
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA Badilisha Old subwoofer au speaker isiyokua na Bluetooth na kuifanya kua Bluetooth party speaker kwa kutumia kifaa hiki hapa.

    Habari!! Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0767142928 text,call,WhatsApp tufanye biashara. Napatikana Mbeya. Mikoani tunatuma ukihitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…