Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
Kwa yanayoendelea nchini, bila shaka Tanzania inaongoza kuwa ni nchi hatari zaidi kwa upande wa Africa mashariki maana kila kukicha matukio ya utekaji yanaongezeka, hofu zinazidi kutanda na watawala hawaoneshi nia yoyote kukabiliana na hali iliyopo au kutoa tamko lolote kwa yanayoendelea hapa...
1996 : Natafuta pasipoti, nataka kusafiri kikafiri, popote nitafika hata south africa, nyumbani nimechoka, nazidi nyanyasika🎶
Sugu alikuwa visionary sanaa, hapa ulikuwa na umri gani?
Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi jioni ya Leo tumepata taarifa sijui tatizo ni Nini huko south Africa maana matukio yamezidi sana...
Operation Dudula which is currently perceived as nationalistic movement against foreign nationals in South Africa is tarnishing the image of the country. Many People are now living in fear.
Xenophobic indigenous people are committing crimes, harassing foreign nationals under pretext of taking...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu naombeni mnisaidie kwa anayefahamu MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC in south Africa tafadhali maana ni ndiyo yangu kusoma huko.
Nimemaliza form six mwaka 2024 nikiwa na division one of points six , A in chemistry, B in...
Mara nyingi Tanzania na South Africa zikiwa pamoja na nyimbo za taifa kupigwa, mwanzoni kunakuwa na confusion kutambua kama ni wimbo wa Tanzania au South Africa unaopigwa. Sio hapo, ukiangalia bendera ya South Africa haraka haraka, unaweza kudhani ni bendera ya Tanzania.
Na sasa South Africa...
Elon Musk alijua, kabla hata hajanipigia debe kwa nguvu kama Rais, kwamba nilikuwa napinga vikali agizo la magari ya umeme (EV Mandate). Agizo hilo ni la kipuuzi, na lilikuwa sehemu kuu ya kampeni yangu tangu mwanzo. Magari ya umeme hayana shida, lakini si kila mtu anayepaswa kulazimishwa...
Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
Haikuwa rahisi kuamiini YANGA imetolewa na mamelody kwa goli la dhuluma
NDUGU majirani wakajanna fedhehaa kubwaaa mpambane na hali zenu
Tukajipanmoyo kulalamikia lakini haikusaidia
Yt
SINDANO ikaingia kwa Amani
Jana kwa mapenzi MEMA sindano Ile Ile iliooingizwa na rubani yule yule refarii...
Ukiona watu wanatembelea range usiogope ila muulize peleka kwa wakala wa range litengenezwe maana litakuwa na history.
Nimeona bora kuwaletea hii mada kuna mikasa mingi ya wizi wa magari USA,wingereza na Europe na zote walalamikaji wadai magari mengi kuonekana dubai ndio kitovu cha soko...
Kwa wazungu wa Marekani Taylor Swift wa kulia anaonekana amekuwa kibonge na sio wa moto tena kama alivyokuwa kushoto! Sio ajabu Trump hataki kuja Africa maana huku "mizigo" ndio kipaumbele na inayohusudiwa, watu wanataka mwanamke mmoja awe kama Taylor watatu hivi.
Nimekopi meseji kama nilivyoipokea.
************
Dada shikamoo,
Miaka 4 iliyopita niliolewa na mwanaume wa Kitanzania anayeishi South Africa. Nimezaa naye mtoto mmoja na nina ujauzito wa mtoto wetu wa pili. Huyu mwanaume alinikuta na mtoto mdogo wa miaka 2 ambaye baba yake alifariki kwa ajali...
Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote.
Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti.
Hata Dr Slaa...
Zimbabwe ilikuwa nchi nzuri sana, ilikuwa inachuana na South Africa kwa maendeleo. Hata ukifika sasa hivi miundombinu na majengo yaliyopo Zimbabwe huwezi kutofautisha na South Africa.
Kilichokuwa kinapatikana South kilikuwa pia kinapatikana Zimbabwe. Stores zote na migahawa yote inayopatikana...
FULL TIME: SOUTH AFRICA 1 - TANZANIA 0
Siku ya leo tarehe 30 April, majira ya saa 12 jioni kwa masaa ya Africa Mashariki, vijana wetu wa Tanzania walio chini ya miaka 20 almaarufu kama Ngorongoro Boys watakipiga na vijana wa South Africa katika mechi za kundi A ya CAF U20 AFCON.
Hii ni mara...
Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu.
Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru.
Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii.
Hii je?
Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
Mchungaji wa Kimarekani, Josh Sullivan, aliyetekwa na wanaume wenye silaha wakati wa ibada nchini Afrika Kusini, amepatikana akiwa salama baada ya majibizano ya risasi makali yaliyopelekea vifo vya watu watatu, kwa mujibu wa polisi.
Sullivan, mwenye umri wa miaka 45, alipatikana Jumanne jioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.