The Government of Uganda has announced plans to evacuate its nationals from South Africa following an escalation in anti-immigrant violence and xenophobic attacks that have left hundreds seeking assistance to return home.
In a press statement issued on June 28, 2026, the Ministry of Foreign...
Ukiangalia picha iliyo hapo chini, utaona mstari mwekundu uliokatishwa ukimtenga Tunisia chini kabisa akiwa na alama 0 na idadi ya mabao -10 huko kwenye mashindano ya kombe la Dunia.
Ki-soka, unaweza kudhani hili ni janga. Lakini ki-uhalisia, na kwa mtazamo wa Kipan-Africanism na siasa za...
Mambo yanazidi kupamba moto katika Kundi A huko Estadio Monterrey! Hali ilivyo sasa inalazimisha timu zote mbili kuingia uwanjani zikiwa na mipango thabiti ili kujihakikishia nafasi ya kusonga mbele kwenye hatua ya mtoano ya timu 32 (Round of 32).
Hapa kuna uchambuzi wa mchezo huu kwa...
Pamoja na kufunga goli la kuongoza katika dakika ya 59 kwenye mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya Korea Kusini, Jamhuri ya Cheki (Czech Republic) walipoteza mwelekeo na hatimaye kufungwa 2-1. Matokeo haya yanawaacha wakiwa na hamu kubwa ya kurudi katika hali ya ushindi kwenye mechi...
Claim
Claims circulating online suggest that Zimbabwean President Emmerson Mnangagwa ordered Zimbabweans living in South Africa to return home by June 30 and told them to use the same means they used to enter South Africa, even if that meant walking. The post have been shared here , here, here...
Takriban Wakenya 50 wanaoishi South Africa kupitia kundi la Kenyan Diaspora in South Africa (KEDASA) wameiomba serikali ya Kenya kuingilia kati na kuwasaidia kurejea nyumbani kutokana na hali ya usalama inayozidi kuwa mbaya.
According to reports, wengi wao wamepoteza ajira, wamekuwa wakikumbana...
Serikali ya Afrika Kusini imeeleza wasiwasi wake kuhusu athari za kuongezeka kwa mtazamo kwamba Wananchi wake wana chuki dhidi ya wageni, ikisema hali hiyo imeanza kuathiri sekta ya sanaa na burudani Nchini humo.
Waziri wa Sheria na Maendeleo ya Katiba, Mmamoloko Kubayi amesema baadhi ya...
Watu Zanzibar kama mjawahi kukutana nao unaweza kujua ni watanzania.
Ila hawa watu wapo kwa vyovyote kujionesha sio watanzania hata kuvaa bendera za kenya.
Ili jambo sikuwahi kufikiria miaka nyuma sana ila leo kwa kauli zao zinaonesha ukweli.
Kuwa muungano huu mkilazimisha kinachofata...
Mozambique said five of its nationals were killed in “xenophobic attacks” in South Africa at the weekend and efforts were under way on Tuesday to repatriate hundreds of others.
However, the South African police confirmed only that two Mozambicans had died in violence in the southern coastal...
🇿🇦 SOUTH AFRICA | 🇿🇦 #MZANZI
❥︎𝑴𝒈 ✯ ✍🏿
📍
In Eastern Cape and KwaZulu-Natal, we’ve seen shops closing and looting incidents blamed on “foreign nationals.”
But is this narrative fair, or is it a distraction from deeper economic problems?
📌
I believe scapegoating outsiders only fuels...
🇿🇦 South Africa 🌍
📌 Envoys’ boycott signals lack of confidence in Pretoria’s ability to guarantee migrant safety.
📌 This boycott is not just symbolic—it represents a continental diplomatic quagmire that could isolate South Africa unless it urgently addresses xenophobia and restores trust...
Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa.
Hakuna waafrika pakukimbilia afrika kila sehemu afrika ni kama ring tone zina fanana kwa ujinga wao.
Hivi mnajua zile muvi za zombie ujumbe ulikuwa afrika itakuwa kama zombies na control na vikundi vya zombie wenye unafuu.
Hii ripoti msije...
There have been widely circulated social media posts following the outbreak of violence in South Africa. One of the posts claims that the President of Botswana took drastic measures against South Africa, including cutting off electricity supplies and closing the border due to rising xenophobic...
..Hadi wakamtuma chawa mbobevu Kitenge kwenda kupiga promo kua South Africa ni salama anaetaka na aje.
Sasa nimekaaa hapa na Mwashamu Askofu tunaangalia habari za duniani naona vurugu zimekolea, foreigners wanapigwa, Mozambique, Nigeria, na nchi nyingine wananchi wanaomba kurudi makwao mana...
I think kama hii kitu iko on the rise basi ni muda wa kurudi nyumbani. Like seriously how can you live with these people 🥷
Watu wavivu, masikini wasiopenda kufanya kazi, wanasingizia matatizo yao yote kwa foreigners
Huwezi kukuta Msouth Africa aliyefanikiwa kimaisha akifanya huu ujinga. It's...
A court in South Africa has fined Chatunga R600,000 (approximately USD equivalent) and ordered his immediate deportation, while his co-accused, Tobias, has been sentenced to three years in prison and will be deported after serving his sentence.
The ruling was delivered following their court...
Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana?
Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira?
Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.