songwe

Vera Songwe is an Economist and Banking executive from Cameroon who has worked for the World Bank since 1998, and in 2015 became Western and Central Africa's regional director for the International Finance Corporation. Vera Songwe is the first woman to head the U.N.s Economic Commission for Africa (ECA) at the level of Under Secretary-General.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Mabasi ya Forest Mlowo (Songwe) ina miundombinu mibovu, kwanini inatumika kabla ya ujenzi kukamilika?

    Daaah! Hii nchi bhana, katika pitapita zangu nimeibukia maeneo ya Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe. Halmashauri ya Wilaya hiyo imefanikiwa kujenga Stendi mpya ya mabasi eneo la Forest lakini kinachoendelea hapo hakina afya sana kwa watumiaji, kwani miundombinu mingi ni mibovu. Kulikuwa na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanaotorosha Korosho wilayani Songwe waonywa

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Songwe ametoa onyo kwa wale wote watakaobainika kutorosha ufuta Wilayani humo
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Songwe: Awaasa Vijana wa Songwe Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu

    Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo mkoa wa Songwe Ezekia Zambi, akiwaasa vijana kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  4. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Songwe connection ni mtaji wa watu wachache

    Miezi kadhaa nyuma nilipokea taarifa kutoka kwa vyanzo vyangu vya taarifa vilivyopo Mbeya mjini vikisema kwamba huko mkoa wa Songwe kuna kundi binafsi linaitwa SONGWE CONNECTION ambalo lina makadirio ya wanachama 3,800. Taarifa niliyoipokea ni kuwa kuna mkanganyiko wa kimaslahi katika kundi...
  5. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatua ya BAWACHA Songwe kutaka kutembea uchi ni ishara ya kukosekana kwa Dira ndani ya CHADEMA

    Maamuzi ya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kupitia BAWACHA mkoani Songwe kutishia au kutaka kutembea bila nguo kama njia ya kuonyesha hasira zao ni hatua mbaya na isiyofaa kwa chama cha siasa makini, na kwa Tanzania kwa ujumla. Hii ni aina ya hatua inayoashiria kukosa mwelekeo wa kisiasa na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Songwe amvaa mkandarasi Tunduma, atoa siku 7

    https://www.youtube.com/watch?v=HkDDYR59Gj4
  7. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kwa matumizi ya sheli kinauzwa Chumbuya Songwe

    Kiwanja kwa matumizi ya sheli kinauzwa Chumbuya mkoa wa Songwe kiwanja sq 2800. Tshs. 300m mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  8. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe,

    Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe, kiwanja kina ukubwa wa sq 2500, kina hati kwa ajili ya matumizi ya kituo cha mafuta Tshs 350m. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songwe: DC Mbega afuturisha viongozi na makundi mbalimbali

    DC MBEGA AFUTURISHA VIONGOZI NA MAKUNDI MBALIMBALI YA KIJAMII WILAYA YA MBOZI Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Hamad Mbega amefuturisha viongozi pamoja na makundi mbalimbali ya kijamii huku akitoa rai kwa wananchi kuendelea kudumisha amani, upendo, umoja na kutenda matendo mema kama wanavyotenda...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamama CCM wamtandikia vitenge Stephen Wasira asiguse vumbi wakimpokea Vwawa, Songwe

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Stephen Wasira wilayani Mbozi mkoani Songwe Wana CCM wampokea Stephen Wasira Vwawa, wamama wamtandikia vitenge asiguse vumbi Machi 14, 2025, Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira atua kibabe na Ndege ya kibabe Mkoani Songwe. Kuwasha moto kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika

    Ndugu zangu Watanzania, Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe . kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe. Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Songwe: Waliokopa asilimia 10 na kutoroka kuanza kusakwa

    Vikundi 126 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, iliyopo mkoani Songwe, vimepokea mikopo ya 10% kutoka mapato ya ndani ya halmashauri hiyo awamu ya kwanza kiasi cha shilingi bilioni moja milioni mia mbili tisini na nane . Soma Pia: Waziri Mchengerwa...
  13. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Juliana Shonza: Rais Samia ametufanyia Kazi nzuri, tumepata Hospitali ya Kisasa kwa Wanawake Songwe

    Mbunge wa Chang'ombe, Juliana Shonza, amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri kwa wananchi wa Wilaya ya Songwe kwa kujenga hospitali ya kisasa. Shonza alieleza kuwa hospitali hiyo ina wodi ya wanawake, vitanda vya kujifungulia, na vitanda vya wodini vya kisasa. "Wilaya ya...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara stendi ya Mlowo Songwe waomba stendi ipewe jina la Daniel Chongolo ili kumuenzi

    Wananchi na wafanyabiashara wa stendi mabasi ya Mlowo wamekoshwa na hatua za utekelezaji wa umaliziaji uliokuwa ukisua sua muda mrefu wa vibanda na miundo mbinu yake. Wafanyabiashara hao, kutokana na juhudi kubwa zilizofanywa na Mkuu wa Mkoa aliopo sasa Mkoani Songwe, Daniel Chongolo...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Vijana 700 wasiojua kusoma na kuandika warudishwa shule, ungekuwa wewe ungeweza?

    Wasiojua kusoma na kuandika zaidi ya vijana 700 ikiwemo watu wenye umri zaidi ya Miaka 17 wakiwa 85 wasiojua kusoma na kuandika katika kijiji cha Ipazya wameandikishwa katika mfumo rasmi na mfumo usio rasmi (MEMKWA) Wilayani Mbozi Mkoani Songwe kuanzia mwezi Januari na Februari kupitia kampeni...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza na Jitihada za Kuinua Uchumi wa Wanawake Wilaya ya Songwe

    JULIANA SHONZA NA JITIHADA ZA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA SONGWE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ametembelea vikundi vya ujasiriamali vya Wanawake alivyovianzisha na kuvipa mitaji ili kuwainua kiuchumi kwa shughuli za kujiajiri wanazozifanya Juliana...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete kufanya ziara ya siku tatu Mkoani Songwe

    ✅ Atakagua na Kuzindua Miradi ya Maendeleo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Februari 23, 2025 amewasili mkoani Songwe kwa lengo la ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo ikiwemo ya sekta ya Elimu, Afya na Miundombinu kwa...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Songwe: Nimeongea na viongozi vijana wa upinzani wamekataa "No Reforms No Election", waungana na Rais Samia

    Wakuu, Makubwa haya! Wameenda kumnong'oneza sikioni au? ==== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa qa Songwe Bi Fatuma Mnahwate amesema ameongea na Wenyeviti wa Vijana wa Vyama vyote Vya Upinzani nchini ikiwemo kutoka ACT na BAVICHA na wamepinga kauli iliyotolewa na viongozi wao wakuu wa Chama Hicho...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songwe: Shule na walimu wapewa zawadi kwa kuinua ufaulu

    Wakati Serikali ikiendelea kuboresha miundo mbinu ya sekta ya elimu, uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe iliyopo mkoani Songwe, katika kuunga mkono jitihada hizo umetoa zawadi mbalimbali zikiwemo pikipiki, komputa mpakato (laptops), mashine za kunakili (photo copy mashine), kwa shule na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Songwe: Wakurugenzi wa Halmashauri kazi zenu hazidumu milele, lipeni madeni ya Watumishi na Wazabuni

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amewataka wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha wanalipa madeni ya watumishi na wazabuni bila kuchelewa. Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Maendeleo ya Mkoa (RCC) kilichofanyika Februari 19, 2025, kwa ajili ya kupitisha bajeti ya...
Back
Top Bottom