somo

State Organization for Marketing of Oil (SOMO) is an Iraqi national company responsible for marketing Iraq's oil. It is headquartered in Baghdad, Iraq.

View More On Wikipedia.org
  1. PSPA Pure'12 udsm

    Kufufua uchumi kupitia usindikaji wa mafuta: somo kutoka tiper na fursa ya sasa

    Katika kipindi hiki ambacho dunia inakumbwa na misukosuko ya kiuchumi inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na migogoro ya kimataifa, hususan katika ukanda wa Mashariki ya Kati, nchi nyingi zinazoagiza mafuta zimejikuta zikikabiliwa na mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za uzalishaji, na kudorora kwa...
  2. Yoda

    Linahitajika somo la mtaala wa darasani kuwaelewesha wanaume tabia za mahusiano za wanawake

    Kuna kidume kinalalamika wanawake wako tayari kutoa penzi la bure kwa wanaume tajiri au maarufu wakati kwa mafukara na wavuja jasho wanawabania wakitaka chochote kitu kwanza! Ni jambo linalotia hasira kama wewe ni mwanaume masikini lakini ni jambo linaloeleweka ukichukua muda kutafakari na...
  3. A

    KERO Tume ya Utumishi wa Walimu itusaidie Walimu wa somo jipya la Business Studies, hatujui hatma ya mikataba yetu

    Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari. Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu tulishindwa kupata TSC no, hivyo tukashindwa kupata mikataba full ya ajira baadhi tukiambiwa tukasome...
  4. A

    KERO Somo la BUSINESS STUDIES lina upungufu mkubwa wa Walimu

    Serikali ilizindua mtaala mpya na ulioboreshwa wa mwaka 2023 ulioanza kutumika mwaka 2024 kwa baadhi ya shule na mwaka 2025 ulianza kutumika kwa shule zote za sekondari. Katika mtaala huu mpya somo la BUSINESS STUDIES limekuwa ni somo la lazima kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne...
  5. T

    Kwa walimu wa somo la historia ya Tanzania na maadili chukua izo notis zitakusaidia

    Ukihutaji notsi zaidi kwa kidsto Cha pili historia ya Tz,English na kswa mtaala mpya tuwasiliane kwa 0623446608
  6. Imani rubaba

    Somo letu leo kuhusu mpango biashara kwa wakulima na wafugaji

    Leo tunaendelea rasmi na somo la Uandaaji wa Mpango Biashara (Business Plan) kwa wafugaji na wakulima Hili ni somo muhimu sana kwa yeyote anayefanya au anayepanga kuanza kilimo na ufugaji wa kibiashara. Tutajifunza kwa kina: 1. Business Plan ni nini na kwa nini ni muhimu. Jinsi ya kuandaa...
  7. funaku

    Somo kwa Watoto wetu,vilaza waliopata fursa na vijana mnaochipukia!

    Somo hili nalileta kwenu kwa ujumla yaani lina cut across kada zote zinazotakiwa kuhudumia jamii na pia jamii yenyewe inayotakiwa kuhudumiwa. MOSI: Lazima mjitambue kwamba ninyin ni watanzania na utambulisho wenu daima uatakuwa ni utanzania.Utanzania ni muunhaniko wa makabila mengi ikiwemo...
  8. Sax

    Mene, mene, tekeli, na peresi: Somo kali kwa siasa za Tanzania

    Katika historia ya Tanzania, uongozi umejengwa juu ya misingi ya amani, umoja wa kitaifa, na heshima ya mamlaka ya dola. Hata hivyo, kama ilivyo kwa mataifa mengine, kauli ya “Mene, Mene, Tekeli, na Peresi” (Danieli 5) inabaki kuwa kioo cha kutafakari mwenendo wa siasa zetu. Ni ujumbe wa...
  9. M

    Mauaji ya halaiki ya Watanzania MO 29 yaingizwe kwenye syllabus ya somo la history

    Wanajamvi Mo 29 na kuendelea ni kipindi ambacho nchi yetu iliingia katika kiza kinene, anga lake likiwa limefunikwa na damu, huku ardhi yake ikilalamika kuelemewa na miili ya Tanganyika ikiomba msaada wa kuhifadhiwa na ndugu zao. Ni kipindi ambacho nchi yetu imeingia katika historia mbaya...
  10. heartbeats

    Kesho Tanzania inaenda kutoa somo duniani D9

    Sina hofu na vijana Gen z Hofu ni adui wa maendeleo millenia hofu zao zinapoishia wao Gen Z ndo ujasiri wao unapoanzia Mpaka ukaone Gen z anahofu basi mellenia muda huo kashafukiwa futi 6 chini ya udongo 😂, Kesho watu wenye mapenzi mema na nchi yao wanaenda kutimiza haki yao kikatiba ya...
  11. S.M.P2503

    Sauti ya kweli: Somo ya Sheikh Ponda kwa Jamii yetu leo

    Mimi sio Muislamu, lakini kauli yako wewe Sheik Ponda, ile iliyonukuliwa na vyombo vya habari leo hapa : https://www.youtube.com/live/kGULHq2MJVQ?si=6mc8j4GhNwZT6X3E imenigusa kwa kina. Kuna nyakati chache katika maisha ambapo mtu anasimama na kusema jambo ambalo linavuka mipaka ya imani...
  12. R

    PostGE2025 Sheikh Mohamed Abdallah: Yaliyotokea ni somo kuwa lolote linaweza kutokea, tuchukulie kila jambo kwa uzito bila kudharau

    "Hili sasa limekuwa somo kwamba kumbe kwa mwanadamu lolote linaweza kutokea hivyo ni vizuri sana kwa wakati tuliokuwa nao, viongozi wetu, Serikali, Taasisi zisizo za kiserikali na wananchi kwa ujumla kila mmoja...tuna kazi ya kufanya kulinda na kuendeleza amani yetu..."- Amesema Sheikh Mohamed...
  13. Jumanne Mwita

    Nimefukuzwa Kazi kwa sababu ya "Chapisho la Kisiasa"

    Na: Jumanne Mwita Leo tarehe 12/11/2025 nimesimamishwa kazi. Sio kwa sababu nilichelewa kazini, wala kwa kosa la kitaaluma — bali kwa sababu nilichapisha au nili "screenshot" chapisho la mtu mwingine lenye mtazamo wa kisiasa. Chapisho hilo halikuwa la matusi, halikuhusiana na kazi yangu...
  14. Pakome

    Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi wenyewe

    Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi Matatizo tuliyokuwa nayo Serikali pamoja na Wananchi tungeyatatua kwa kufuata Sheria za nchi pamoja na za Kimataifa na kuheshimu uwepo wa Mahakama duniani...
  15. Teslarati

    PostGE2025 Somo la kujifunza kwa kilichotokea tangu October : Do not give power to the ineligible - Usimpe mamlaka asiestahili

    Habari wana jamvi, huwa siandiki kuhusu siasa humu JF, Mara nyingi utanikuta MMU tu, anyway that's not a story. Story ni hili la kujifunza baada ya mambo yote yaliotokea tangu October 29 mwaka huu 2025. Nimekua na bahati ya kufanya kazi kwenye makampuni makubwa sana nje na ndani ya Tanzania...
  16. Mshana Jr

    Somo gumu na lililojaa maumivu kwa upande mmoja na furaha kwa upande mwingine kutoka Nepal

    Tunaweza kujifunza sasa tukiamua kabla hazijaja nyakati ngumu.. Nguvu ya uma ni nguvu ya ajabu mno Imewachukua vijana wa Nepal masaa 36, kupata uhuru wao kuondoa serikali isiyowajibika madarakani. Mwanzo polisi walitumia amri, mabomu, risasi na kuzima mitandao. Sasahivi waziri mkuu yuko...
  17. M

    Qatar wamejifunza somo chungu, walidhani kumpa rais wa Marekani ndege ya shilingi trilioni 1 na mapokezi ya kifalme kutawaepusha na Israel

    Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha fadhila kwa kuwaruhusu marafiki zao Israel waende kupiga tizi la shabaha katikati ya jiji la Qatar kwa...
  18. Mr George Francis

    Mtihani wa taifa wa somo la mahusiano mwaka 2025

    MTIHANI WA TAIFA WA SOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025. JIBU MASWALI YOTE. Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂 1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha na ameenda kuoana na mtu mwingine. Piga hesabu ya muda uliopoteza. (Maksi 15) 2. Umenunua zawadi...
  19. Mr George Francis

    Mtihani wa taifa wa somo la mahusiano mwaka 2025

    MTIHANI WA TAIFA WASOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025. JIBU MASWALI YOTE. Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂 1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha na ameenda kuoana na mtu mwingine. Piga hesabu ya muda uliopoteza. (Maksi 15) 2. Umenunua zawadi...
  20. SankaraBoukaka

    Katiba liwe somo lifundishwe kwa Wanafunzi wa Sekondari haswa kidato cha nne

    Katiba ni nyaraka kuu ya taifa lolote. Ni dira, mwongozo na msingi wa maisha ya wananchi wake. Inabeba kanuni, sheria, haki na wajibu wa kila raia pamoja na viongozi wanaoongoza. Kwa maana hiyo, katiba si jambo la wanasheria pekee, bali ni chombo cha kila mwananchi. Hata hivyo, changamoto kubwa...
Back
Top Bottom