solar

Solar power is the conversion of energy from sunlight into electricity, either directly using photovoltaics (PV), indirectly using concentrated solar power, or a combination. Concentrated solar power systems use lenses or mirrors and solar tracking systems to focus a large area of sunlight into a small beam. Photovoltaic cells convert light into an electric current using the photovoltaic effect.Photovoltaics were initially solely used as a source of electricity for small and medium-sized applications, from the calculator powered by a single solar cell to remote homes powered by an off-grid rooftop PV system. Commercial concentrated solar power plants were first developed in the 1980s. As the cost of solar electricity has fallen, the number of grid-connected solar PV systems has grown into the millions and utility-scale photovoltaic power stations with hundreds of megawatts are being built. Solar PV is rapidly becoming an inexpensive, low-carbon technology to harness renewable energy from the Sun. The current largest photovoltaic power station in the world is the Pavagada Solar Park, Karnataka, India with a generation capacity of 2050 MW.The International Energy Agency projected in 2014 that under its "high renewables" scenario, by 2050, solar photovoltaics and concentrated solar power would contribute about 16 and 11 percent, respectively, of the worldwide electricity consumption, and solar would be the world's largest source of electricity. Most solar installations would be in China and India. In 2019, solar power provided 2.7% of total worldwide electricity production, growing over 24% from the previous year. As of October 2020, the unsubsidised levelised cost of electricity for utility-scale solar power is around $36/MWh.

View More On Wikipedia.org
  1. CIA mgumu

    Nitapata wapi solar panels orginal ambazo zinaweza kusukuma pump ya maji kwa wingi na je zinaweza kuwa pannel ngapi na zitakuwa na gharama kiasi gani?

    Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani. Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal na je naweza kufunga panel ngapi ambayo zinaweza kusukuma mashine ya maji kwa wingi kwa ajili ya...
  2. Bushmaster

    Naomba kujuzwa Solar bora kwa ajili ya matumizi ya nyumbani

    Kutokana changamoto ya umeme kwa sasa, tujuzane solar bora kwa ajili ya matumizi ya nyumbani ambayo inaweza kuwasha taa, friji na TV. Kwa hali ya sasa inatisha, umeme unakatika kuanzia asbh saa 12 unarudi saa 2 usiku, wiki nzima.
  3. M

    Wapi nitaweza kupata Heating element ya solar heater

    Habari zenu wakuu. Wapi naweza pata original heating element ya solar heater? Nilizo nunua mara mbili naona zinalipuka tu. Nataka kitu orijino kabisa.
  4. JanguKamaJangu

    Simba yafungwa 1-0 na AS Arta Solar (timu ya kina Alex Song, Kalou)

    Simba imepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Arta Solar kwa kufungwa goli 1-0 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo Septemba 3, 2022. Licha ya kutawala mchezo huo kwa muda mwingi Simba iliruhusu goli hilo katika dakika ya 88. Mchezo huo ulikuwa ni maalum kwa #Simba kujiandaa na Ligi ya...
  5. Zamaulid

    Nahitaji Solar TV

    Habari wakubwa, kama mada inavyosema hapo juu!ninahitaji kununua television inayotumia umeme wa juu (solar TV) naomba mnisaidie kunishauri aina na siyo mbaya mkaniambia hata bei zake
  6. Kipenzi Changu

    Yanga yaingia woga; yakataa kucheza friendly na Arta Solar 7 ya Djibout

    Nina taarifa kwamba Arta Solar 7 ya Djibout iliwasilisha maombi ya kucheza mechi za kirafiki na Simba, Yanga na Azam. Club za Simba na Azam zilifurahishwa na maombi hayo na kuyakubali kama sehemu ya kujiandaa na mechi za kimataifa. Huku wenzao wa Yanga wakiyakataa maombi hayo. Jambo hilo...
  7. Sijali

    Why Tanzania can't have 12 solar power farms?

    Solar technologies convert sunlight into electrical energy either through photovoltaic (PV) panels or through mirrors that concentrate solar radiation. This energy can be used to generate electricity or be stored in batteries or thermal storage. Many countries in the world have adopted the...
  8. Mwenda_Pole

    Nahitaji kununua sola, ushauri wenu please

    Waheshimiwa nahitaji kununua solar panel pamoja na vifaa vyoote Kwa ajili ya matumizi yafuatayo. 1 Kuwasha taa 10 nje na ndani ya nyumba 2 Kuwasha TV 3 . Redio 4. Kichaji Naomba msaada kwenye maeneo yafuatayo A. Ukubwa WA panel B ukubwa WA inverter B. Nyaya C.mahitaji mengine Nitafurahi kama...
  9. Zacht

    Kilimo cha umwagiliaji kwa solar

    Habari zenu wakuu, Binafsi kilomo kwangu kipo damuni hio inatokana kwanza Mimi ni mzaliwa wa morogoro lakini kubwa zaidi ni mtoto wa mkulima lakini hio haijanifanya kuwa mkulima Bora. So nipo mbele yenu wakuu naomba msaada wa kimawazo, kule kwetu moro tunalima mazao mengi Sana ya umwagiliaji...
  10. N

    INAUZWA Solar PTZ Camera

    4G SOLAR PTZ CAMERA Available, built in Simcard slot, mobile view access, no need of electricity or wifi/ internet Free delivery Condition: New Location: Kinondoni Studio Price: 495,000/= Call/ Whatsapp 0656190449/ 0745146690
  11. C

    Kufa kufaana: Biashara ya majenereta na solar yapamba moto Mwanza

    Ni kutokana na mgao wa kimyakimya unaoendelea kwa kishindo jijini mwanza,wanyonge wananunua solar na generators kwa kasi kabisa Wafanyabiashara wa bidhaa hizo wengi wanaishukuru awamu ya sitaa kwa opportunity hiyo na wameahidi kulipa Kodi kwa kutoa risiti halali
  12. A

    Naomba ushauri wa Kitaalamu kuhusu solar

    Habarini, Nimenunua solar watt 40 sasa nataka kununua betri na chager controller. Naomba ushauri wa kitaalamu kwa anaefahamu hapo natakiwa kununua betri yenye ukubwa gani na hiyo chager controller yenye ukubwa gani ambavyo vitaendana na ukubwa wa hyo solar watt40?
  13. Z

    Natafuta Mtaalam wa Solar system/Products ambaye anaweza kuwa business Partner

    Wadau Nimepewa nafasi ya kuwa sole distributor wa solar solutions/products kutoka wa manufacturer wa china, mimi sina utaalam wa hiyo makitu . Sasa kabla ya kufanya any commitment na kuingia mkataba na manufacturer, nahitaji mtaalam ambaye tunaweza tukashirikiana (partners in business)...
  14. kimsboy

    Muulizeni Tony Blair ziko wapi solar alizosema atagawa kwa sekondari zote nchini za vijijini?

    Nisaidieni kumuuliza Rais Samia atuambie zile Solar tony blair aliahidi atagawa kwa shule zote za sekondari za vijijini imeishia wapi? Aliahidi toka mwaka 2013 hadi leo hatujaona kitu Pia alipewa tuzo kama mtetezi bora wa mashoga kwa miaka 30 mfululizo Habari kamili hiyo...
  15. M

    Ninaanza kutumia solar badala ya umeme nyumbani

    Salamu Wakuu, Je, ninahitaji solar power yenye ukubwa gani inawasha Tv, kingamuzi, pasi, fridge na taa 5? Nimechoka luku. Naomba kufahamishwa tafadhali
  16. M

    Migori County Hybrid Solar System Installation( 5.76Kw)

Back
Top Bottom