soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Nyie Wajasiriamali zaidi ya 1,400 mnakumbuka mlivyopanga biashara zenu chini kabla ya Rais Samia hajatoa TZS27bn za ujenzi wa soko kuu la Mwanza?

    Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja. Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri pamoja na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kibiashara Ukanda Mzima wa ziwa...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Huawei wangekuwa namba 1 kwenye soko kisha Samsung. Shida figisu

    Huu ndo ukweli. Checki wanavyo emerge https://youtube.com/shorts/LU34ylP10eo?si=lDy4ipNGT3emQO13
  3. JamiiForums Tanzania Je kuna athari yoyote katika Soko la ajira kwa mtu aliyepata Div 4 kisha akajiendeleza hadi chuo kikuu

    Eti Mdau... Kijana wa kidato Cha nne, ikiwa amepata ufahuru wa daraja la nne(4.30). Akaendelea na elimu ya juu (chuo) . Nakuweza kufahuru Kwa G.P.A nzuri ya 4 or 3. Je matokeo yake ya kidato Cha nne yanaweza kufanya asipate ajira Kwa upande wa CV?
  4. JamiiForums Tanzania Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi

    Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi. Ikiwa wewe ndo umetoka Chuo na unajiandaa kuingia mtaani na katika soko la ajira /kazi. Baada ya kuhitimu masomo yako jambo la kwanza ni Kufanya ibada ya shukrani kwa Imani yako , kwakuwa katika...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Responded Soko la Kariakoo linafunguliwa lini? Naona wana kazi ya kuwasha taa na kuzima tu!

    Soko Kuu la Kariakoo lililoungua Mwaka 2021 kisha kujengwa lote limekamilika, pamoja na kwamba kumekuwa na ahadi nyingi za viongozi wetu lakini kwa ufupi hakuna kinachoendelea cha maana mpaka sasa. Kinachofanyika ni kuwasha taa usiku na kulinda, sasa wanasubiri nini? Maana mpango wa kufungua...
  6. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa ya Songea akabidhi eneo la Mradi wa Ujenzi wa Soko la Sh Bilioni 22.9 - Manzese A na B

    Machi 28, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com aliwasilisha andiko lake akilalamikia changamoto ya Miundombinu ya soko la Bombambili kwa kueleza Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya Alisema Soko la Bombambili ambapo ndipo Wafanyabiashara walipohamishiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa ya Moshi unafunga biashara za watu soko la Mbuyuni kwa nini?

    Nina dakika chache za kuwa hapa lakini namtumia salama tu Mkurugenzi Manispaa ya Moshi, Mwajuma Nasombe aache kufungia biashara za watu soko la Mbuyuni. Wafanyabaishara hawa walipatwa na mkasa wa kuulinguliwa soko mara mbili, Mwaka 2022 na Mwaka 2024 wameingia hasara kubwa za kupoteza mali zao...
  8. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa perege za singida

    Habari mm nko ushirombo_ Geita, nahitaji tufanye biashara na mtu ambaye anafanya biashara ya hzi samaki, huwa natembea minadan. Akiwepo kahama, ama maaumbwe
  9. S

    JamiiForums Tanzania Pharmaceutical technicians wanazidi kupoteza soko la ajira kila kukicha

    Siku hizi ajira nyingi za maduka ya madawa haswa dldm wanahitaji either nurse au clinical officer kwa kigezo cha kuuza dawa na kuchoma sindano wakipata mgonjwa wa namna hiyo. Pharmaceutical technicians huwa wanatoswa kwenye hizi ajira jambo ambalo linawauma sana.
  10. JamiiForums Tanzania Soko Singida Linawaka Moto Muda Huu

    Soko Kuu mjini Singida linawaka moto Muda huu na Chanzo cha moto huo Bado hakijajulikana wakati ambapo juhudi za uokozi zikiendelea kufanyika.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Soko la nguzo nane shinya lina tiririsha maji machafu yenye haru kali

    Kama nilivosema hapo juu, hapa shinyanga kuna soko maarufu sana linaiywa nguzo nane. Kero yangu ni kwamba, hili soko linatiririsha maji machafu yenye harufu kali sana kwenye mfereji wa barabara naomba wahusika wachukue hatu kwani ni kero kubwa lakin pia ni hatari kwa afya ya watumiaji wa soko hili
  12. T

    JamiiForums Tanzania MAZAO YENYE SOKO

    Wadau ,.kama ilivo ada ni lazima watu wale,..nauliza ni nafaka zipi zenye faida na uhitaji,.. Yaani nafaka zinazouzika kwa sana,..pamoja na mikoa husika
  13. JamiiForums Tanzania Soko la Terrat

    https://www.instagram.com/reel/DLZIrlePDWy/?igsh=MXU4N293NW02OG82cg==
  14. JamiiForums Tanzania Shambulizi la Israel katika soko la Gaza laua Wapalestina 18, madaktari wanasema

    Takriban Wapalestina 18 wameuawa baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel kulenga kitengo cha polisi cha Hamas kilichojaribu kudhibiti soko katika mji wa Deir al-Balah katikati mwa Gaza, madaktari wameiambia BBC. Walioshuhudia tukio hilo walisema ndege zisizo na rubani za Israel...
  15. JamiiForums Tanzania Soko la kivulu

    #NDOTO: 14 SOKO LA KIVULI Nilijikuta nimesimama kwenye soko lisilo la kawaida—kila mtu aliyekuwa pale alikuwa kivuli, si mtu kamili. Waliuza vitu visivyoonekana: mtu mmoja aliuza “heshima,” mwingine “wakati na familia,” mwingine “msamaha ,” na mwingine “amani ya moyo.” Mwanamke mmoja mwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Airbnb Inavyokwenda kuua Soko la Guest House na Lodge

    Katika miaka ya hivi karibuni, huduma ya Airbnb imekuwa ikiibuka kwa kasi kubwa nchini Tanzania na duniani kote. Hii ni jukwaa la kidigitali linalowawezesha watu binafsi kukodisha nyumba zao au vyumba kwa wageni kwa muda mfupi, na kuleta ushindani mkubwa kwenye sekta ya malazi ambayo hapo awali...
  17. JamiiForums Tanzania Wekeza sasa kwenye soko la nyumba (Real Estate)

    SOKO LA NYUMBA NCHINI TANZANIA; (RESIDENTIAL MARKET) Soko la Nyumba nchini Tanzania limetawaliwa na Wamiliki binafsi (Wananchi) wa Tanzania na Mashirika ya Umma(NHC, NSSF na TBA). WAHUSIKA WAKUU:- 1.Wamiliki wa Nyumba zisizo na Upimaji ( Individual Unsurveyed Dwellings )=70.00% Mfano Nyumba za...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Lile soko la Mwanza pale mjini kati

    Mbona kama miaka liliyochukua kujengwa na kufikia hapo lilipo ni mingi kuliko MATOKEO , au Kuna mambo ya ziada tupeni Shule na UFAFANUZI. nahisi ni zaidi ya miaka mitatu
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini degrees na diploma za IT zinazidi kukosa soko kwenye ajira zisizo na connection, kipaumbele ni computer science na computer engineering ?

    IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele, ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
  20. D

    JamiiForums Tanzania NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

    Habarini za wakati huu wanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naombeni kujua ni kozi zipi zenye soko kwa sasa ambazo anaweza kusoma chuo kikuu mtu aliyesoma HGE advance?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…