soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mama lishe, kuna soko kubwa la biashara mkiweza kusambaza chakula

    Biashara ya chakula inauzika na ina uhakika kwasababu kila siku watu wanahitaji kula. Wateja wengi wanavutiwa na ladha ya chakula pamoja na mandhari ya eneo. Katika maisha ya kila siku huku mtaani, wapo ambao hawana muda wa kupika nyumbani, wanatumia muda mrefu katika shughuli zao za kila...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu msimu wa bei nzuri ya Vitunguu Maji

    Wadau habarini, Naombaen ushaur kwa wazoefu wa kilimo cha VITUNGUU MAJI.Nimeshaanza mradi wa kulima hili zao,ndoto yangu ni kulima Ekari 3. Ila hofu yangu ni uhakika wa SOKO,kwa muda ntakaokuja kuvuna.Maana apa nategemea kuja kuvuna mwez wa 9 mwishoni hadi wa 10 hiv. Ombi langu,naomba kujua...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua lilipo soko la zao la ngwara / fiwi jamii ya maharage

    Mimi ni mfanyabiashara chipukizi, napatikana Tanga. Natafuta wanunuzi wa zao la ngwara au fiwi jamii ya maharage na choroko. Nina gunia zisizo pungua 8 store. Pia itapendeza kupata mawasiliano au kujua trend ya bei ya zao hili sokoni hususani kwa mkoa wa Arusha.
  4. JamiiForums Tanzania Mwenye soko zuri la Maziwa kwa Dar aje hapa

    Wasalamu. Nipo mkoa jilani na Dar huku kuna fursa ya upatikanaji wa maziwa kwa wingi. Nahitaji mtu mwaminifu ambaye naweza fanya naye kazi walau aweze kuchukua litre 200 kwa kuanzia per day.
  5. JamiiForums Tanzania Hii nchi ilikuwa inaweza kwenda zake tu, angalia soko la Bilioni 1 na nyumba ya Milioni 350

  6. JamiiForums Tanzania Tuache kuwa madalali na soko la chanjo ya Covid 19

    Ni vizuri Serikali badala ya kutaka kununua chanjo ya Covid 19 ambayo haijakamilisha hatua muhimu za ufanisi ni vyema ikatoa fedha kwa wanataaluma wetu waliopo nchini wafanye utafiti wa kubuni chanjo ya Ukimwi na Hatimaye Covid 19. Itasikitisha sana tukiingizwa mkenge wa kununua au kukopeshwa...
  7. JamiiForums Tanzania Meya Temeke: Nani aliwaambia wana-Mbagala wanahitaji soko la ghorofa?

    Katika kipindi cha matukio Times fm Imekuja na ripoti ya mayor wa Temeke kuhoji uwepo wa soko la ghorofa Mbagala. Kauli hii imetoka wakati wa kikao cha baraza la madiwani ambapo mayor alitolea mfano soko la ghorofa lkn pia mayor huyo ametoa rai kwa kamati ya fedha ya baraza ilo kutembelea...
  8. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la mashati ya kike

    Wakuu poleni na majukumu. Mimi ni mjasiriamali mdogo niliyejikita katika mradi wa ushonaji. Kimsingi huwa nauza mashati ya shule, nashona kwa oda kwenye shule zinazohitaji na kipindi cha msimu huwa nawauzia mawakala wa Kariakoo. Kwa sasa nimeanza kushona mashati ya kike ya color combo...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua Soko la Kaa, Pweza, Ngisi

    Salaam wakuu, Mimi ni kijana mpambanaji na mhitimu wa chuo nipo mjini Dar es salaam, katika kupambana na maisha na ukosefu wa ajira nimejitahidi kufanya biashara mbalimbali ambazo zimeweza kunifikisha hapa nilipo. Nimefanya sana biashara ya nafaka mbalimbali na kuku kutoa mikoani kuleta huku...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua utaratibu ninaoweza pitia ili kurasmisha usindikaji wa gongo kuwa pombe rasmi kwenye soko

    Habari wana JF, Nyumbani kwetu kijijini kuna shughuli ya usindikaji pombe aina ya gongo ambayo wanakijiji uifanya ili kuwaingizia kipato. Shughuli hii ni ya muda mrefu sana imefanywa toka enzi za mababu zetu na ni kati ya shughuli kubwa inazoziingizia kipato familia nyingi. Familia nyingi...
  11. JamiiForums Tanzania Bidhaa ipi ya mtumba ina soko sana?

    Naomba ushauri bidhaa ipi ya mtumba ni inatoka na ina faida zaidi. 1. Magauni 2.Nguo za watoto mix 3. Mashuka 4.Mashati 6.Sidiria Na vipi bei ya belo kwa bidhaa hapo juu?
  12. JamiiForums Tanzania Hili ndio eneo la soko la ndizi, soko la machinjioni jijini Mwanza. Hali inatisha

    Wana bodi, natumai mko poa Katika hali ya kusikitisha, wakazi wengi wa jiji la Mwanza wanapata huduma katika hili soko la machinjioni (kitengo cha ndizi na matunda mengine) ingali hali ya mazingira ikiwa hovyo namna hii Maradhi ya mlipuko yanawanyemelea wateja na wauzaji
  13. JamiiForums Tanzania Migogoro inayoendelea soko la Mawenzi mkoani Morogoro hakuna mtetezi wa kupaza sauti, wafanyabiashara wananyanyasika mkuu wa mkoa uko wapi?

    Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara wa soko la Mawenzi lipo Morogoro mjini kata ya uwanja wa Taifa ili soko lina miundombinu mibovu kume kuwa na migogoro baina ya Manispaa na wafanyabiashara wanataka kutuamisha pasipo kufuata taratibu Tumeshapeleka sana malalamiko kwa mbunge na mkuu wa...
  14. JamiiForums Tanzania ATCL shusheni bei ili mtengeneze soko kubwa la ndani, kwa namna hii mtapata faida. Kumbukeni the higher the price...

    Ni suala la kitalaamu kiuchumi ambalo lipo katika maisha ya kila siku. Kwamba bei ikiwa ndogo uwezo wa kulipia huduma huwa mkubwa na kuongeza soko. Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na kuweza kupata wateja wengi ni vyema Atcl wakashusha bei kama ilivyokuwa kwa Fastjet. Mfano kama...
  15. JamiiForums Tanzania Kituo cha Mabasi cha Magufuli kimegeuka soko kwa sababu ya usimamizi mbaya

    Hakika inashangaza na Kusikitisha kabisa. SERIKALI inashindwa kuweka na kusimamia Utaratibu Mzuri wa Uendeshaji wa Kituo cha Mabasi cha Magufuli kwa kumwaachia Wafanyabiashara kutandaza na kupanga bidhaa zao kwenye Corridor na sehemu za kupumzika Abiria. Hivi kusimamia hilo mpaka aje Mzungu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania I wish kufungua duka la Paramedical and childcare equipment. Jee soko lipo Tanzania?

    Habari zenu wakuu, I wish kufungua duka la Paramedical and childcare equipment. Jee soko lipo Tanzania? Naoembeni maoni yenu kuhusu biashara hii?
  17. J

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Soko la mbogamboga linaitwa jina la kiongozi mkubwa hapa duniani isipokuwa Dodoma

    Hata sielewi mwendazake Magufuli alifikiria nini? Maana yeye mwenyewe mwendazake Magufuli alipoombwa soko la mbogamboga la Morogoro liitwe jina lake akagoma kabisa akasema apewe chifu Kingalu Kimsingi sokoni ni pahala pa mambo ya kienyeji enyeji ukiona kiongizi mkubwa jina lake linabatizwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mtu binafsi anaweza kumiliki soko?

    Kwa jina la jamhuri, Wakuu hivi kama nina kiwanja naona kimekaa sehemu nzuri naweza kukifanya kiwe soko? Yaani hapo kati nijenge au niwape watu wajenge meza za kuweka mambo ya mbogamboga, nafaka na vyakula vingine halafu pembeni nijenge furemu kuzunguka. Kama tu yalivyo masoko mengi. Hapo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei: Serikali ikakope kwenye soko la nje ili ikamilishe miradi ya kimkakati SGR na Bwawa la umeme

    Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka Serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme. Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo Serikali ikakope kwenye soko la nje ambako riba ni nafuu kati ya 5% hadi 6% Chanzo: Star tv...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta soko la tangawizi

    Wakubwa shikamoo!!! Kwa wale wadogo hamjambo!!!! Na wale tunaolingana mambo niaje..... Kwanza nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa wingi wa rehema usio na kikomo kwa kutujalia tumeamka salama siku ya leo ....niende kwenye mada moja kwa moja . Mimi najihusisha na shughuli za kilimo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…