Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Wizara ya utalii imetoa tamko la serikali kuondoa zuio la kusafirisha wanyama nje ya nchi katika mashamba yaliyokuwa na vibali maalumu ya kusafirisha wanyama hao nje ya nchi.
Je, unadhani hii itachangia watalii wengi kuja nchini kwajili ya kuwekeza katika mashamba ya umiliki wa wanyama na...
Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
Muda huu soko lililopo mbele ya Daraja la TAZARA au Mfugale upande wa kushoto kama unatokea Buguruni linateketea kwa moto.
Jina la soko silikumbuki vizuri, sijui linaitwa Vetinari. Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe. Nimepita muda huu nimekuta soko linateketea.
Zima moto na gari lao wapo ila...
Wajasiriamali wa chakula, tufahamishane soko la bidhaa hii ya chakula, yaani sato wakufuga kwenye mabwawa, kwa jiji la Dar lipo wapi? Uzito ni samaki wa 3 hadi 4 kilo, bei ya jumla ya bidhaa kuanzia kilo 50 ikifatwa shamba, Kigamboni ni TZS 7500. Karibuni
Baada ya Jamii Forums kuripoti kuhusu Soko la Kawe kuwa chafu kutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni Jijini Dar es Salaam, mamlaka zimeanza kuchukua hatua ya kufanya usafi sokoni hapo.
Barabara ya kuelekea sokoni hapo imeanza kufanyiwa marekebisho ya kuwekewa vifusi, ambapo awali kulikuwa...
Kutokana na mvua kuendelea kunyesha mara kwa mara Jijini Dar es Salaam hali ya usafi katika Soko la Kawe imekuwa siyo nzuri, mazingira haya yanatajwa kuwa sio salama kwa watumiaji sokoni hapo na wakazi wa maeneo ya Kawe.
Soko hilo lipo katika Jimbo la Kawe ambalo Mbunge wake ni Joseph Gwajima...
Hali ya Soko la 'Magunia' Msasani bonde la Mpunga linavyoonekana pichani, ambapo soko hilo hutumiwa na Wakazi wa maeneo mbalimbali ikiwemo Masaki na Oysterbay kujipatia Mahitaji yao ya kila siku
Pamoja na umuhimu wa Soko hilo kwa maeneo hayo, suala la usafi wa Mazingira na Miundombinu yake...
Wakati Serikali yetu ikiwa busy kwenye uzinduzi wa filamu yetu huko Marekani.
Thamani ya Chai yetu inazidi kuporomoka kwenye soko la kimataifa.
Katika mnada uliofanyika Mombasa nchini Kenya hivi majuzi Chai ya Rwanda ili endelea kufanya vyema kwa kuuzwa kwa dola 2.83 kwa kilo moja ilhali ile...
Tunza Malapo (Viti Maalum) amesema Mkoani Mtwara Soko la Chuno limejengwa kwa Bilioni 5.5 katika eneo ambalo ni tofauti na mwelekeo wa watu wengi akieleza, "Unaweza kujiuliza aliyependekeza Soko lijengwe kule alikuwa anawaza kitu gani? Maana yake ni Bilioni 5.5 zimelala pale hazina tija"
Aidha...
Soko la silaha za Mrusi litadorora vita na Ukraine imeonyesha kuwa silaha za Mrusi dhaifu
Mavifaru ya mrusi yanabomolewa hovyo na makombora ya Javelin
Meli hodari kivita ya mrusi kulipuliwa na kombora Neptune
Ni meseji sent kwa wanunuzi wa silaha kuwa hizo silaha za Urusi si kitu
Soko lake...
Nataka nianze kufuga kuku hawa wa kisasa wa mwezi mmoja, soko nitalipata wapi niwe nauza kwa jumla. Nataka nianze na kuku 200 kwanza.
Kuna mtu aliniambia Shekilango, sasa anaejua utaratibu wa Shekilango tafadhali aniambie.
Maji ya kunywa ya Kilimanjaro lita 1.5 inauzwa sh. 1,000 mpaka sh. 1,200 kutokana na upandaji wa bei ya bidhaa mbalimbali.
Maji ya Afya sasa yameingia rasmi kaskazini mwa Tanzania ambapo lita 1.5 utaipata kwa sh. 600 mpaka 700 huku lita 1 ikipatika kwa sh. 500/=
Ukiwa na sh. 500 kwa kampuni ya...
Akichangia bajeti ya waziri mkuu, mbunge wa Arusha mjini, Mrisho Gambo ameongelea sekta ya madini ikiwemo mabadiliko yaliyopelekea kuhamisha soko la madini kutoka Arusha kwenda Mirerani na hasara yake kwa Serikali na mji wa Arusha.
Mrisho Gambo: Mwaka 2019 tulianzisha masoko ya madini, Arusha...
Kwenye hizi nafasi za TRA zilizotoka vijana wengi wa UDOM wamepita.
Hii inaonesha jinsi gani udom wanadeliver katika ufundishaji hasa hasa Tehama.
Vijana wengi wa tehama kutoka udom wameiva me niliwahi kuwachukua vijana watatu intern wamenifanyia kitu kikubwa....Wakati wa kutengeneza mifumo...
Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya Ilala, Ng'wilabuzu Ludigija amesema chanzo cha moto katika Soko la Karume inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambayo imesababishwa na mtu aliyekuwa akiwaunganishia wafanyabiashara umeme bila idhini ya mamlaka ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Moto huo...
Vibanda vya wafanyabiashara wadogo 'Machinga' na mama lishe zaidi ya 30 vimeteketea kwa moto katika Soko la Karume Jijini Dar es Salaam, asubuhi ya leo Aprili 8, 2022.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ACP), Muliro Jumanne Muliro amekiri kutokea kwa moto huo na kusema chanzo cha...
Kwanini Makampuni Makubwa yaliyowekeza nchi mbalimbali duniani ikiwemo Urusi, Ulaya, USA na China yameorodheshwa kwenye stock market za nchi husika Ila Tanzania Makampuni Makubwa ya Gesi na Madini hayapo, Tena mengine yanafanya kazi hapa lakini yapo kwenye masoko ya Hisa ya Ulaya.
Au mi...
Wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka?
Niko Dar nataka nijipanue kifikra na kuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na Singida.
Hizi ni yeboyebo ambazo ni reject so bei yake ipo chini pia.
Asanteni.
Nataka kulima nyanya baada ya masika maeneo ya zinga bagamoyo wataalam naombeni muongozo wapi nitapata soko la nyanya kabla sijaanza, nataka nianze na Heka moja, Huwa nalima kama bustani tu nyumbani za Kula familia sasa nimeona naweza kulima sehem kubwa kibiashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.