msaada remote desktop software

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,097
920
Msaada ,ninahitaji kufanya kazi za wateja nikiwa mbali kutoka kwenye computer zao.

Nahitaji remote desktop software nafuu au cracked.

Nawasilisha
 
Msaada ,ninahitaji kufanya kazi za wateja nikiwa mbali kutoka kwenye computer zao.
Simple way ni kununua Software then kwenye charges ya kila tatizo unaongeza na bei kidogo ya Software.

Check TeamViewer au AnyDesk free version
 
Anydesk $120 kwa mwaka

Teamviewer $288 kwa mwaka
 
Msaada ,ninahitaji kufanya kazi za wateja nikiwa mbali kutoka kwenye computer zao.

Nahitaji remote desktop software nafuu au cracked.

Nawasilisha
Anydesk ndio best , zingine ni Teamviewer na Quick Assist
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom