Kwako sky eclat

Umuzukuru

JF-Expert Member
May 30, 2019
609
540
Natumai u mzima wa afya kabisa pamoja na wote wanaokuhusu

Kama kweli yaliyomo yamo kupitia threads zako basi nahitimisha kuwa Wewe utakuwa Ni Mama bora kabisa hasa kwa mabinti zakoπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Lengo la barua hii Ni kukutaarifu na kukuomba kwa hekima zako uniangalizie miongoni mwa BINTI zako aliyeko tayari kuishi Kama mke Ili tuweze kuishi katika ndoa iliyo takatifu kabisa

Mimi Ni kijana wa kawaida kabisa(Mwanamume)😊😊😊😊😊

Kwa mapungufu yoyote utanivumilia tu Kama mkwe wako mpendwa mtarajiwa

Natunguliza shukrani za dhati kabisa zenye uhai ndani yake
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Lol ..mapenzi ya Jf utakufa kwa pressure. .hahaa

Nakumbuka nina rafiki yangu humu alikuwa in relation na mwanamke 1 alikuwa anakuja kasi sana hapa..now days hayupo active

Basi Bwana wakati huo huo wapo in love. .basi Kuna siku Akapigwa na butwaa baada ya kuona Kuna Jamaa amemfungulia thread ya mahaba. .full kubebi Shana humu. .hahaa Daah ... mahusiano ya Jf sitaki hata Kuya sikia
Cc; Sister Sky Eclat kuna barua yako ya wazi kabisa huku..!
How I wish crushie wangu wa humu JF ndo angekuwa ameanzisha hii siredi..!!
 
Lol ..mapenzi ya Jf utakufa kwa pressure. .hahaa

Nakumbuka nina rafiki yangu humu alikuwa in relation na mwanamke 1 alikuwa anakuja kasi sana hapa..now days hayupo active

Basi Bwana wakati huo huo wapo in love. .basi Kuna siku Akapigwa na butwaa baada ya kuona Kuna Jamaa amemfungulia thread ya mahaba. .full kubebi Shana humu. .hahaa Daah ... mahusiano ya Jf sitaki hata Kuya sikia
Ushauri wako ni muhimu kuokoa jahazi mkuu hearly ...
 
Unaweza kufa na kihoro tu humu
Lol ..mapenzi ya Jf utakufa kwa pressure. .hahaa
Nakumbuka nina rafiki yangu humu alikuwa in relation na mwanamke 1 alikuwa anakuja kasi sana hapa..now days hayupo active
Basi Bwana wakati huo huo wapo in love. .basi Kuna siku Akapigwa na butwaa baada ya kuona Kuna Jamaa amemfungulia thread ya mahaba. .full kubebi Shana humu. .hahaa Daah ... mahusiano ya Jf sitaki hata Kuya sikia
 
Lol ..mapenzi ya Jf utakufa kwa pressure. .hahaa

Nakumbuka nina rafiki yangu humu alikuwa in relation na mwanamke 1 alikuwa anakuja kasi sana hapa..now days hayupo active

Basi Bwana wakati huo huo wapo in love. .basi Kuna siku Akapigwa na butwaa baada ya kuona Kuna Jamaa amemfungulia thread ya mahaba. .full kubebi Shana humu. .hahaa Daah ... mahusiano ya Jf sitaki hata Kuya sikia
Acha Uoga Baharia Ajali Kazini Mkuu
 
Mahusiano ya humu matamu sana kama una-lay low! Mtu asijue yaani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom