Clouds wapiga wimbo wa Mbosso kutoka wasafi

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,197
2,051
"Hodari wa mapenzi ya Kwake Mbosso kutoka WCB Wasafi ndo imekua Burudani yetu ya kwanza ndani ya Jahazi la Clouds FM,Naitwa George Bantu niko na Empraim Kibonde pia Dj Too short utamsikia kwenye Mseto Perfect,Mdogomdogo mpaka saa1",,Ni sauti nzito kama uji ya George bantu iliskika akitambulisha Kipindi cha jahazi mida ya saa10 iliyonifanya nijiulize maswali,Hawa Clouds Si hawachezi ngoma za pale WCB zote pamoja na Collabo zao,iweje wacheze nyimbo ya Mbosso au bifu ndo limeisha?WameichezaHodari tena wanaisifia kabisa kina Kibonde!!!Hii imekaaje wadau?
 
Clouds wamesanda so wameona sio kesi bora mambo yaishe tu!!

itakua"
 
"Hodari wa mapenzi ya Kwake Mbosso kutoka WCB Wasafi ndo imekua Burudani yetu ya kwanza ndani ya Jahazi la Clouds FM,Naitwa George Bantu niko na Empraim Kibonde pia Dj Too short utamsikia kwenye Mseto Perfect,Mdogomdogo mpaka saa1",,Ni sauti nzito kama uji ya George bantu iliskika akitambulisha Kipindi cha jahazi mida ya saa10 iliyonifanya nijiulize maswali,Hawa Clouds Si hawachezi ngoma za pale WCB zote pamoja na Collabo zao,iweje wacheze nyimbo ya Mbosso au bifu ndo limeisha?WameichezaHodari tena wanaisifia kabisa kina Kibonde!!!Hii imekaaje wadau?
Jana nilisika wimbo wa Rich mavocal ft diamond siukumbuki jina lakini
Wapendanao wakigombana chukua jembe ukalime
 
diamond na WCB yake ndio ana fans wengi na ana content nyingi za media za entertainment kwa skendo zake...

wafanyakazi clouds wamechekecha akili wakaona ni ujinga kutopiga nyimbo za WCB huko mwenye clouds kusaga.. ana invest na hao hao WCB

hapo bosi wao Kusaga amekuwa sababu
 
Very True
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom