siwezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huyu Mwanamke tumeshindwana. Aende zake tu mi siwezi kwa kweli

    Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi. Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu...
  2. Siwezi sahau jinsi ambavyo nilidhalilika na Tozo kipindi kile zimeanza

    Siku hiyo nimeamka asubuhi wapinzani wanaongoza. Sina kitu mfukoni. Na simu yangu hata ku deeku haiwezi. Nipo majalala kinoma aisee. Nikawaza nikaona hapa nimuibuikie mwanangu wa damu Gilongwe kijiweni kwake Mwenge. Basi nikaanza kucheza Reggae mdogo mdogo toka Tegeta mpaka Mwenge. Kufika...
  3. Bashiru (Oct 12, 2018): Madalali wa mali za umma hawawezi kupendezwa na mijadala ya kujisahihisha

    '....Mijadala itatufanya tujisahihishe tulipojikwaa na msitarajie madalali wa mali za umma watafurahishwa na mijadala ya aina hiyo.' Bashiru - 12 Oct 2018
  4. Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  5. Japo ni Mwafrika mweusi siwezi kuwa zuzu wa kushangilia timu za Afrika huko Qatarl katika Kombe la Dunia

    Nitabakia kuwa timu Argentina, France na Germany pekee, na hakuna timu nisiyoipenda na ninayoiombea mabaya kama ya Brazil kutokana na jezi yao, na hasa baada ya GENTAMYCINE kugundua kuwa 99.9% ya mashabiki wa timu nisiyoipenda na ninayoichukia Tanzania ya Avic Town Magodoro Kunguni Tigo Pesa FC...
  6. Siwezi kumpa rafiki yangu connection ya kazi mahali ninapofanya kazi

    Sitaki unafiki, ntampa rafiki konekshen ya kazi kwa masharti mawil tu: 1. Nikisikia kuna nafasi ndani ya sehemu nayofanya kazi ila haiingiliani na ofisi ama kitengo changu ninatoa koneksheni, mfano mimi nipo ofisi ya ufundi kuna nafasi ya ufagiaji ama udaktari nitasaidia, nafasi hizi...
  7. Akatuambia; atatoa posa nikiwa kwake, siwezi msubiri hapa nyumbani

    Anaandika, Robert Heriel "Kwa nini umejipeleka mwenyewe?" "Umeamua kujirahisisha kwa huyo mwanaume" "Unaitia aibu familia" Yalikuwa maneno ya mama na watu wazima wengine waliokuwa wakimwambia Dada yangu. Dada alikuwa kanuna hasa, sikuwahi kumuona katika namna Ile. Alikuwa kanuna kikweli kweli...
  8. Mke wangu kanifanya nianze kupiga punyeto na sasa siwezi tena kuacha

    Nilipatwa na mkasa wakuondolewa kazini kwa vyeti feki, uzuri nilikuwa na kijiakiba changu, nikaingia kwenye sekta ya ajira isiyo rasmi. Nikanunua kirikuu na nikawa nalaza hadi elfu themanini kwa siku. Mwezi uliopita gari imepata ajali, nahangaika kuirudisha rodi, ila mke wangu kawa mkali, hamna...
  9. S

    Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

    Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi. Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu. Nenga akamrejea Nandy na...
  10. Joaquim Chissano: Siwezi kuzungumza Kiswahili kama mnavyodhani

    "Ahsante sana kwa kukumbusha watu kuwa nilizungumza kwa Kiswahili kule Umoja wa Afrika, na ile ilikuwa tu kuwakumbusha watu kwamba Kiswahili ilikuwa ni lugha rasmi ya Umoja wa Afrika kipindi kile na watu wakaamini kuwa nilikuwa nafahamu Kiswahili vizuri. Lakini si kweli kwamba nafahamu Kiswahili...
  11. S

    Siwezi kumuita mpenzi wangu majina ya kimahaba

    Namuitaga tu jina lake mambo ya kumuita baby sijui mpenzi sijui honey naonaga ulimi mzito na iyo ni kwa mademu zangu ote niliokuwaga nao
  12. Siwezi kuyaona masikio yangu nikijipiga selfie au Passport size, nifanye nini?

    Kuanzia mwezi wa March nimekuja kugundua nikijipiga picha masikio siyaoni kabisa, ni mpaka nigeukie kamera upande wa sikio, kiukweli napata stress. Baadhi ya watu wanasema nmenenepa ila ni mara chache na mimi huwa najiona kawaida tu, kama ni hivyo nawezaje kutatua hilo tatizo la masikio
  13. Kesho naondoka, siwezi endelea kukaa hapa. Siwezi acha anielewe vibaya ila nimeshindwa mimi...

    Jamaa yangu zamani alikuwa vizuri tu kichwani. Mnakaa mnaongea mambo ya akili. Nimekuja mkoani kaniomba nisifikie lodge nifikie kwake. Nikasema huyu mwana toka kitambo ngoja nifikie tu kwake. Maana ananisaidia pia huko hotel nisilale na vicheche. Tumekula tumemaliza. Mlo wenyewe tunaanza kula...
  14. Siwezi kupanga chumba mimi sio mwanamke😬😬

    Mwanaume kwanza unalalaje ndani😜😜
  15. Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

    Mada juu yahusika. Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni. Mara xax, Xmas, meme, ko n.k Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika. Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni? Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na...
  16. M

    Simkubali Ndugai lkn siwezi kumsingizia uongo!!

    Simpendi Ndugai kwa ujinga wake mwingine lkn kwa swala la leo wala hakusema vibaya,,,alijaribu kuwaambia watu kwamba mpango wa tozo ni bora zaidi kwetu kwa sababu tunakuwa tumeweza kujitegemea kama wtz kuliko kukopa,,,hivyo kwa hili wala hakuwa na lengo baya kabisaaaaaaa!!! Wtz tujifunze...
  17. Urafiki na Ushemeji wa hivi Mimi siwezi na nimeujivua SITAKI LAWAMA

    Salaam ndg zangu rehma za mwenyezi mungu ziwe nanyi... Kufupisha maneno mwaka 2017 kuna rafiki wa mke wangu automatically ni shemeji yangu tulikuwa tunapanga nyumba moja nitamuita XY. Sasa familia yake especially mumewe alikosa kazi halikuwa yy mjamzito, akaja home analia kuhusu Huduma zake za...
  18. Mwenyekiti wa simba - Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki !!

    Ni kauli ya Murtaza Mangungu ambae ni Mwenye kiti wa Simba, Ikumbukwa kwamba jana Mo alijiuzulu, hili likitua wengi ila na leo kuna kauli mpya ya Mwenyekiti wa Simba "Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki kwa sababu ni jambo ambalo tumekubaliana lisitajwe. Fedha zimetoka...
  19. A

    PCB 3.13 kuenda kusoma udaktari nje

    Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda, Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
  20. A

    Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

    Ninataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu? Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…