Urafiki na Ushemeji wa hivi Mimi siwezi na nimeujivua SITAKI LAWAMA

Mbomozo

JF-Expert Member
Dec 23, 2019
361
940
Salaam ndg zangu rehma za mwenyezi mungu ziwe nanyi...

Kufupisha maneno mwaka 2017 kuna rafiki wa mke wangu automatically ni shemeji yangu tulikuwa tunapanga nyumba moja nitamuita XY. Sasa familia yake especially mumewe alikosa kazi halikuwa yy mjamzito, akaja home analia kuhusu Huduma zake za muhimu especially chakula tukashauriana na wife isiwe case kubwa Basi awe anakuja kula home kuanzia chai mpk mlo wa uck.
That went on mpk anajifungua 9 months na hospital nilimpeleka mwenyewe I remember saa 9 midnight na gharama za Hosp nikalipa mwenyewe maake mumewe alishakimbia home kwake akaenda kwao moshi..
Sikutaka niongelee hayo juu becoz niliamua kumsaidia mm mwenyewe, but hiki kinachoendelea ndio sikifurahii
Mwaka huu 2021 mwezi wa 11 nimebahatika kuhamia kwangu alhamudillah sasa kumbe na yy XY na mumewe walifanikiwa kujenga maeneo hayo I mean sio mbali nilipojenga so tulipokutana tukasalimiana na nikamuona mtt Wa XY ambae ameshakuwa mkubwa sasa almost 4yrs na Ana mimba maake mume alikuja kurudi kumbe.
Ila Cha ajabu baada kupaona kwangu sasa yeye na mtoto wake na mumewe asubuh saa 2 wanakuja home wanakaaa mpk usiku SAA 4 wanakula milo yote isitoshe hamna hata kusaidia kazi ndg ndg kuitwa wako Instagram
SASA NIMEVUMILIA MOYO UMENISHINDA MAAKE MPK NGUO WANATAKA WIFE AWAFULIE.
SIJUI NIFANYEJE NDG ZANGU DAAAH SINA ROHO MBAYA HAWA WANANITAFUTA
 
🤣🤣🤣 dunia hii ina mitihani sana, ila binadamu ndivyo alivyo yuko ki fursa fursa, soo selfish.
 
Kulingana na chai yako hii. Nasema hivi:
1. Hujaoa
2. Kichwani huchangamki maana usingehangaika kudanganya ujinga
3. Hujajenga kama unavyosema hata kiwanja huna
4. Huna uwezo wa kugharamikia mtu wala kumsaidia kiasi hicho
5. Yawezekana una njaa

Kuna mtu ukiandika aya moja tu unajionesha hali yako mfukoni, kichwani na tumboni
 


Tafuta Kazi kwanza alafu ndo uje tena na story yako
Nilishapata io kwenye io thread nilishajibu japokuwa ni ICT Officer Intern SoftNet Mwanza Unaweza tuma mtu kuhakiki Ashukulillah kwakile nanichopata
 
Walijenga lini? Na ikawaje wajenge jiran na ww? How come mwamba kajenga alaf anashinda kwako tu? Hii story imekolea chumvi
 
Nilishapata io kwenye io thread nilishajibu japokuwa ni ICT Officer Intern SoftNet Mwanza Unaweza tuma mtu kuhakiki Ashukulillah kwakile nanichopata
Sasa kumbe graduate mzima unatunywesha chai ya chumvi hivi. Ukishakuwa msomi hata uongo wako unatakiwa kuwa advanced
 
Kuna kaujinga fulani hivi sijui umekafanyia uangalizi vizuri katika riwaya yako? Enewei, ifanye akili yako ikue kidooogo!
 
Back
Top Bottom