sitaki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Candela

    JamiiForums Tanzania Aliyeimba sitaki kazi kaacha kuimba alipopata kazi

    Usiamini kila unachoambiwa, akili mkichwa. Mtu anakwambia mie sio mlaji sana kumbe hana bajeti unajichanganya unaenda nae Mlimani City unamwambia agiza usiogope, bili ikija kama umekula ng'ombe mzima vile. Afu mwenzio anauliza juice vipi hatushushii? https://www.youtube.com/watch?v=awXxaq61Z74
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kuwa aliyetuumba alituumba ili tumuabudu, bali alikuwa na malengo mengine na inawezekana viumbe hai wote kwake ni mifugo

    Mtanisamehe kwa mada hii inayoweza kuleta ukakasi ila hili ni Jukwaa huru. Tumekuwa tukiambiwa kuwa alietuweka hapa duniani alifanya hivyo ili tumuabudu. Binafsi hili swala kwangu linanifanya nikjiule maswali mengi sana; 1. Yaani alijichosa kisa tu kuabudiwa? Na kama ni kweli ili tumuabudui...
  3. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Sitaki Marafiki sitaki wanafiki

    https://youtu.be/JG0FZOO9OdE?si=Xt3nJH9GWXxKPUmM https://youtu.be/rJWdfDPZ9Ck?si=HhcCRZ6t-0udTwrU Marafiki ni watu wanafiki wengi wao wanakuja muda wa raha tu.
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Wadada wa Saluni Sitaki Uchokozi Wenu

    Boss la DP World leo nikaenda saloon kujiandaa kwaajili ya kuhudhuria kwenye hafla moja ya heshima sana. Baada ya kumaliza kupunguza nywele nikaelekezwa kwenye chumba kwa madai ya kwenda kuosha. Kufika kule nakuda wadada 2, black beauty 1 akaja mwingine akafungua mlango akasepa, aliyebaki...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu huwa sitaki kuwaweka ndugu kwenye biashara zangu, Ni heri niwape mitaji wafungue biashara zao wapambane kivyao !!

    Biashara ntashirikisha familia yangu niliyoijenga (hasa watoto) ama familia niliyotokea (kaka, dada, wadogo zangu, wazazi), nje ya hapo hawa watoto wa mjomba, ma mkubwa, ba mkubwa, ba mdogo, ndugu flani, n.k. sidhani kwakweli, undugu uwepo na ninaweza kuwasaidia mitaji ama kuwasimesha pamoja na...
  6. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Akina dada, huu msemo huwa una maana gani? ....."we tu endelea kuchat na sim... minikisha lala sitaki usumbufu"

    Karibu kila siku 'mywangu' tukiwa kitandani unilalamikia ....."we tu, endelea kuchat na sim... minikisha lala sitaki usumbufu"
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu sitaki amiliki simu janja kamwe

    Salamu Katika matumizi yangu ya mitandao nimebaini kwamba wanawake wanatongozwa sana inbox na mitongozo yote wanaikubali asilimia 98 Kifupi tu mitongozo ya online inavutia sana maana inahusisha kuambatanisha vitu vingi eg,nyimbo,zawad,video nk Mwanamke hata awe na sura ya peponi uraiani na...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwa mpira wa jana wa Tanzania sitaki kusikia tena dhihaka kwa Simba na story za papatupapatu

    Jana Tanzania imefuzu kwenda AFCON baada ya kutoka suluhu na Algeria. Imekuwa ni desturi iliyojengeka mitandaoni na vyombo mbalimbali vya redio kuisema vibaya Simba hata pale inapopata matokeo yaliyo katika malengo ya timu. Hili halijaanza msimu huu tu, tukirudi hata msimu uliopita hizi...
  9. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Msaada Waifu anataka kumtimua dada wa kazi, mimi sitaki

    Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibia kila kitu. ila mimi sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakini najua nikimwambia si ajabu akadhani nnamtaka huyu dada
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna atakayeuza Tanzania. Sitaki Shida nataka Watanzania Waishi Maisha mazuri

    Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Huyu kuku, namla peke yangu! Wageni sitaki!!

    Nikiwa ketu huku usukumani, nikija likizo mjomba huwa ananiwekea li kuku king size ili nile nishibe. Sasa nyie wa mjini ati vi fried chicken vya Chick King au Mary Brown, najua hamshibi. Nataka watu wengine twende karibuni wote Bariadi.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sitaki Kukosa Kipindi cha Raha za Uswahilini cha EFM Radio nimsikie Dada mwenye Sindano Ukeni iliyokuwa Ikimchoma kila Mwanaume Aliyemuingilia

    Kikubwa GENTAMYCINE nataka nimjue tu kwa Jina na ikiwezekana hata kwa Sura ili nisikosee njia Siku moja na Kumtongoza kisha akinipa Uume wako Uchomwe na Sindano iliyojicha Ukeni mwake bila ya Yeye kujua na Wanaojua ni Wanaume tu waliokuwa Wakimbandua. Asanteni EFM Radio na Kipindi chenu cha...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Akili za Nondo za Mbunge Musukuma Akiwashukia Vikali Wasomi Kushindwa Kufikiria Nje ya Degree Zao

  14. S

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuolewa, naomba tuzae tu

    "Nimemfukuzia muda mrefu, amenizungusha sana kwa kutoa visingizio vingi, mfano mimi bado mdogo, siko tayari kwa ndoa, ngoja nitafakari n.k. Hivi karibuni kafunguka na kusema hayuko tayari kuolewa labda tuzae tu. Kungwi Sexless nimekuja kwako naomba unisaidie kuchakata kauli hii toka kwa...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa lililompata Kimbu, Wake za watu kuanzia sasa sitaki hata salamu na ninyi

    Hata zawadi ya Mimba msije omba. Mke wa mtu si mtu. Mke wa mtu si sumu tu peke yake ni balaa. Kimbu ana hali mbaya. Mbaya sana jamaa yangu. Soma: Leo nimelia sana. Kweli Cha Mtu.... Sidhani kama nitaweza kula
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kazi kwenye nchi za Kiarabu

    Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko. Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya halali, umri miaka 24.
  17. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kama Polisi wamewashindwa Bodaboda, lakini wameshindikana

    Kwa Sasa sheria za barabarani hapa nchini kwetu ni kama hazipo kabisa. Bodaboda wanajiamulia Wanavyotaka,wanavuka zebra Huku wakiendesha Katikati ya kundi la raia wanaotembea kwa miguu. Maderava wanapiga honi katika zebra wakiwa mbio wakati watembea kwa miguu wakiwa wanavuka,yaani mtembea kwa...
  18. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Ninayempenda, ananipenda ila hataki tuwe wote. Mwingine ananipenda, nampenda pia ila sitaki tuwe wote

    Nipo njia panda kwa kweli.... Naombeni ushauri, hasa hasa huyo wa kwanza Picha kwa hisani ya Google
  19. W

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuwa mnafiki, kabla ya kuisikia hii 'Mahaba' ya AliKiba nilijua mziki mzuri umeisha

    Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta. 'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile. Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Sitaki kukumbuka matapeli wa kanyaboya. Niliwapa hadi simu yangu ili nikomboe pesa niliyopewa kununua bia za baba, mshua alinitembezea kipigo kikali

    2008 hiyo Mshua alikuwa anapiga kazi zake za wiki lakini ikifika Ijumaa mida ya saa mbili flani hivi anapiga vyombo vyake kistaarabu kabisa hana kelele wala fujo na ni ndani sio bar. Nilipewa takribani elf 10 kuchukua lvinywaji alivyoniagiza, enzi hizo ni pesa kubwa hii. Nilipita sehemu...
Back
Top Bottom