single

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Finally nimekua spinster!

    Sasa nijikite kujenga taifa ....... Mambo mengi mda mchache.......:cool:
  2. Fatuma yuso

    JamiiForums Tanzania Single mothers tunapambana na ku-risk maisha kwa ajili ya damu ya mtu asiyejali wala kuwaza majukumu yake

    Ndugu zangu, Naongea kwa uchungu hadi nahisi kupiga kelele... Nilikuwa na mahusiano na mkaka mmoja hivi. Mahusiano yakanoga, nikashika ujauzito. Akakubali fresh tu, tukawa tunaishi pamoja. Baadaye ujauzito ukaanza kunisumbua naumwaumwa ikabidi nirudi nyumbani nikiwa na ujauzito wa miezi miwili...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Wadau salaam, Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute. Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa...
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Najaribu kuwa single ila nashindwa, wenzangu mnawezaje.??

    Miongoni mwa faida za kuwa single ni kujipanga kiuchumi, kujijenga kiafya na kutimiza malengo. Natamani kuwa single hata miaka miwili ili nijipange ila kila nikitoka nje nikikutana na wanawake nahangaika mno. Nikiona mtu yuko na mpenzi wake Naona wivu najihisi mpweke mno. Kifupi najihisi...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Vijana mnafeli wapi mpaka binti kama huyu anafika 29 yupo single ?

  6. Friji la mtumba

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu huonekana kuwa na furaha zaidi wakiwa ‘single’ kuliko wakiwa kwenye mahusiano?”

    Wapo watu ambao baada ya kuachana na wapenzi wao huanza kung'aa, kuwa huru, na hata kujiendeleza zaidi. Je, ni kwamba mahusiano yao yalikuwa kikwazo? Au kuna kitu watu hukosea wanapokuwa kwenye mahusiano? Tujadiliane kwa uhuru — labda kuna funzo kwa wote.
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama

    Kama ilivyo kwa watu wengi hata mimi sikuwa na wazo kuwa siku moja nitazama mazima kwenye penzi la single mama ila ndo hivyo niko kwenye mahaba mazito. Huyu binti wa miaka 32 nimetokea kumpenda mno kuliko CHADEMA wanavyopenda maandamano yasiyo na tija. Ni binti mwenye sura nzuri sana na umbo...
  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Reaction ya Mzee wangu baada ya kusikia naishi na single mother.

    Nimekuwa inspired na Jesca Magufuli jinsi alivyoshare moments za baba yake enzi za uhai wake kwangu imenipa fundisho kuwa uwepo wa baba una maana kubwa kwenye ukuaji regardless financial status ana pesa ama hana ila guidance yake ni muhimu. Reaction ya marehemu mzee wangu alipopata taarifa kuwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna raha yoyote ya kuwa single

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakuna raha utakayoipata ukiwa huna mwenzako, Ila tu utajiandikia tiketi ya kuwa mpiga nyeto mashuhuri. Ewe Kijana amka ukamtafute wa kufanana naye.
  10. P

    JamiiForums Tanzania A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

    Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business. let's chat via pm. regards. Prisha.
  11. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Wanawake Mlio Ndoani, Msibweteke, Single Ladies Tunawapa Salamu

    Dear Ladies mlio kwenye ndoa zenu, nawasalimu Sio kila mwanamke utakayemuona single huko mtaani kwenu basi unamchukulia poa kwa kumuona kama kakosa bahati kwa kuwa hajaolewa kama wewe. Wapo wanawake wengi wamekimbia miji yao na kuacha majumba na magari ya kifahari ili tu waweze kunusuru roho...
  12. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania JE single Father nae anaruhusiwa kuowa Binti kigoli ambaye ni mgeni kwenye ntansinia ya mapenzi?

    Salam kwenu wakuu! Twende kwenye mada husika, yupo mwamba moja yeye ana umri wa miaka 39 saivi, na hadi sasa ana watoto 6, wanne mama tofauti tofauti, na wawili mama moja huyo ndo waliishi nae km 8yrs, wakaachana, hao wengine jamaa alipita tu, ss baada ya kuachana na huyu alieishi nae...
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watoto waliolelewa na single ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo.

    Watoto waliolelewa na single maz ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo. Kijana usioe singo maza
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mnaodharau single mothers wakati mama yenu ni Single mother mnaemsifu ni shujaa wenu, mna uzima kichwani ?

    Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu. Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai. Hii tunaiitaje ? Pia kwa upande mwengine kuna single mothers wanatamani kuolewa lakini wao hawataki...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi sera za wakurya basi ndio wanaweza kuwa kabila ambalo ni more favourable kwa ajili ya single moms.

    Unaambiwa mkurya akitaka kuoa hajali wewe una watoto atakuchukua tu na pia atahakikisha hao watoto wako wanakuwa wa kwake kama yeye ndio aliotwaa na hadi kuwapatia majina ya ukoo wake na na hadi mali za nyumbani wanaweza kurithi, sasa aanze kusikia unamuongelea baba yao sijui nani au baba yao...
  16. Mr dollar

    JamiiForums Tanzania Natafuta single mother wa kuingia naye kwenye mahusiano

    Kama kisemavyo kichwa cha habari Awe ana-ishi dar ambaye yuko tayari anakaribishwa
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tatizo la "Single Mothers" sio tatizo la Mwafrika ni tatizo la Wamagharibi. Kiasili Waafrika hatunaga kitu kinaitwa "Single mothers"

    Afrika ya mababu zetu haikuwa kitu kinaitwa " Single mothers". Kwa sababu 👇👇👇👇👇👇 1.( a) All women belonged to the community. ( b) All mothers belonged to the community. ( c) All children belonged to the community. ( watoto wangu watoto wangu watoto wako watoto wangu. But now tumeiga uzungu...
  18. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Majukumu yanavyofanya watu kujiweka kando na single mama

    Key point ni MAJUKUMU mengine ni minor issues kwa nini wadau wanajiweka mbali na single mother. Kitabu Cha Wasifu wa Malcolm X kinaelezea baada ya baba yake kufariki mama yake alikuwa na mahusiano na mwanaume mweusi kutokea Lansing lakini mahusiano hayakudumu mwamba akasepa sababu kuu ni...
  19. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda sana single mother yaani nipo njia panda

    Mimi sio mtu ninaependa hovyo. Ninatabia ya kuwaelewa wanawake fulani wenye nyota ya mvuto. Yaani kuna wanawake unakuta wanaume wamejipanga wote wanamfukuzia. Sasa huyu single mama anashida kwenye mahusiano na hataki kusikia harufu ya usumbufu. Mimi nae tunalonga vzr. Nimeanza kumwambia kwa...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wale wote walio single

    Katika uhalisia wale wote walio masingle wamekuwa na upweke sana kwenye jamii hata hivyo ni kundi kubwa lenye mchango mkubwa kwenye jamii katika nyanja mbalimbali. Kwa kutambua uwepo wao na mchango wao mkubwa katika jamii huu ni Uzi maalum kwa wale wote walio masingle hawajaowa wala kuolewa...
Back
Top Bottom