Singida Big Stars tumeamua tuje na BIG DAY, tutacheza na Zanaco FC

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
918
1,994
Watu wa Soka,

Nawaletea taarifa kuhusu Singida ππˆπ† πƒπ€π˜ tarehe 4/8/2022 katika Uwanja wa Liti (zamani Namfua).

Tumeamua tuwe na siku yetu maalum kama walivyofanya wenzetu Simba na Yanga, tukachagua jina iitwe BIG DAY, halafu kwa mara ya kwanza tunaifanyia Singida.

Matukio yatakuwa mengi na makubwa, lakini tukio kubwa kuliko litakuwa ni la mechi yetu ya kirafiki na timu kubwa kutoka Zambia, Zanaco FC.

Tunawakaribisha wote mshuhudie:

1. Kikosi kamili cha Singida Big Stars wakiwemo wachezaji takribani 8 wa kimataifa ambao hatujawahi kuwatambulisha wala kuwataja popote.

2. Benchi la Ufundi bora zaidi

3. Burudani mbalimbali zikiwemo mechi za utangulizi na muziki.

Pia kuna surprise moja kubwa ya kutikisa nchi!
 
Mtakuwa live tv gani?
 
Namsubiri kumuona yule Bruno kutoka Brazil kama samba analiweza.
 
Hongera mwigulu kwa tozo tuendelee kubana misuli maana mkamuo unaendelea hii timu inatakiwa kuchukua ubingwa.
 
Mtakuwa live tv gani?
Ajibu hili swali. Au kama Watanzania wote tunatakiwa kwenda huko Liti, pia atujulishe.

πŸ™„ Ila ukituloa chini na kujiuliza maswali, haki ya nani kuna baadhi ya hayo maswali utakosamajibu yake!

Pesa ya kusajili zaidi ya wachezaji 8 wa Kimataifa, achilia mbali benchi la ufundi, uendeshaji wa timu!! Zimetoka wapi? Na kwa nini ibadilishwe jina kutoka DTB mpaka Singida Big Stars?

Dr. Lameck hana mkono wake kweli? Asisahau watu wana hasira naye juu ya haya matozo yake yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Watu wa Soka,

Nawaletea taarifa kuhusu Singida ππˆπ† πƒπ€π˜ tarehe 4/8/2022 katika Uwanja wa Liti (zamani Namfua).

Tumeamua tuwe na siku yetu maalum kama walivyofanya wenzetu Simba na Yanga, tukachagua jina iitwe BIG DAY, halafu kwa mara ya kwanza tunaifanyia Singida.

Matukio yatakuwa mengi na makubwa, lakini tukio kubwa kuliko litakuwa ni la mechi yetu ya kirafiki na timu kubwa kutoka Zambia, Zanaco FC.

Tunawakaribisha wote mshuhudie:

1. Kikosi kamili cha Singida Big Stars wakiwemo wachezaji takribani 8 wa kimataifa ambao hatujawahi kuwatambulisha wala kuwataja popote.

2. Benchi la Ufundi bora zaidi

3. Burudani mbalimbali zikiwemo mechi za utangulizi na muziki.

Pia kuna surprise moja kubwa ya kutikisa nchi!
TULIO MBALI TUTASHUHUDIA KUPITIA TV AU?
 
Kapumbu kaenda zesco bahati yenuila msiingie kichwa kichwa jaman wale washenzi wanaaibishaga huwa hawajali kama ni mechi ya kirafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom