Mnafahamu kwamba Deus Kaseke amesaini mkataba na Singida Big Stars?

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
918
1,994
Watu wa Soka,

Nimechelewa kuwafahamisha lakini naamini baadhi ya wapenzi na mashabiki wetu wanafahamu kuwa tumemsajili Kiungo Mshambuliaji kutoka klabu ya Yanga SC, Deus Kaseke "Mwaisa", kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Big Stars.

Kwa wasiofahamu, taarifa iko hivyo na tayari Mwaisa ameshaanza kufanya mazoezi na timu katika maandalizi ya kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu mwezi ujao.

Narudi kuwajuza zaidi kuhusu yanayoendelea katika kikosi cha Singida Big Stars kutoka kwenye kambi yetu hapa Njiro jijini Arusha.

DD.jpg
DDD.jpg
DEUS.jpg
DK.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom