sindano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bawabu wa pili

    Aliyechomwa sindano kutibu tezi dume kisha kupooza, afariki dunia

    📍DODOMA - Yohana Mathias, Mkazi wa Nzuguni B, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mrefu tatizo la tezi dume lililoambatana na kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wake. Kifo cha Mathias kinatokea siku chache baada ya Jambo TV kuchapisha habari akiomba msaada wa matibabu, akiwa...
  2. M

    Nimekutana na Spark plugs Denso iridium sindano elfu 10 Kila moja maeneo ya Kigamboni je hizi Zitakuwa original kweli

    Habari wadau Jana Nimekutana na Spark plugs Denso iridium sindano elfu 10 Kila moja maeneo ya Kigamboni je hizi Zitakuwa original kweli
  3. Trainee

    Wataalamu nipeni elimu ni kivipi sindano inafanya kazi kwa maiti?

    Huwa najiuliza sipati majibu sasa leo naamua kulileta humu huenda mkanielewesha... Tunasikia mara nyingi kuwa maiti zinachomwa sindano ili zisiharibike hasa zile zinazocheleweshwa kuzikwa au nyingine zinachomwa sindano ili kuzisambaratisha. Sasa swali langu ni kwamba hiyo sindano inaenea...
  4. R

    Msisahau aliyoyasema katibu wa UVCCM kuwa watatumia sindano. Nawakumbusha tu mana inasemekana Lisu anaumwa

    Msikilize TUTATUMIA SINDANO, NOW THE OPPOTUNITY IS RIPE
  5. Damaso

    Muhenga unakumbuka wapi sindano za kuchemsha?

    Miaka ya nyuma, sindano baada ya matumizi zilikuwa hazitupwi. Zikitumika zinachemshwa kwenye maji ya moto kama inavyoonekana pichani na baadaye hutumika kuchoma tena watu wengine. Sindano inatoka kwenye sufuria huku maji yakiwa moto balaa. Nakumbuka kuna kipindi bro alikwenda shule na wakapewa...
  6. Pdidy

    SINDANO ilipoingilia south Africa ikatokeaaa ZNZ Tuwe wapole tu amani ya Mungu iwe nanyiiiiiiii

    Haikuwa rahisi kuamiini YANGA imetolewa na mamelody kwa goli la dhuluma NDUGU majirani wakajanna fedhehaa kubwaaa mpambane na hali zenu Tukajipanmoyo kulalamikia lakini haikusaidia Yt SINDANO ikaingia kwa Amani Jana kwa mapenzi MEMA sindano Ile Ile iliooingizwa na rubani yule yule refarii...
  7. L

    Pale uponyaji unapohitaji sindano tu, matibabu ya akyupancha ya China yaleta nafuu kwa wagonjwa wa Zanzibar

    Kwa Mtanzania Hassan Jumbe mwenye umri wa miaka 26, matatizo ya kukosa usingizi siku zote wakati usiku ilikuwa ni maumivu na mfadhaiko mkubwa kwake. Usiku mmoja baada ya mwingine, maumivu makali ya kichwa yasiyoisha yalimwandama mfanyakazi huyu mbichi wa ujenzi, na kumfanya ashindwe kupumzika...
  8. N

    Je ni Kweli mwanamke akitumia sindano za kuzuia mimba, zinaweza kukausha mayai ya uzazi?

    wana jamii ushauri wenu kwa ufupi..... baby mama wangu ameenda hospitali kubwa ya nchi... Kuangalia kwanini hashiki mimba.. Hapo nyuma alikuwa anatumia sindano za uzazi kuepusha kushika mimba.. Sasa daktari amemwambia inawezekana mayai yake yamekaushwa na hizo sindano ...Hivyo inabidi kufanya...
  9. wa stendi

    Hivi ni lazima ukichomwa sindano ya T.T begani itoe kovu?

    Yaani sijajua ni sumu fulani kwenye ile sindani au ni aina yake kutokana na dawa ile au maana ukichomwa ile sindano lazima jeraha litaota usaha kidogo na muwasho alafu baadae linakuwa kovu kabisa hivi ni aina ya dawa au ni ile sindano inafanya hivyo au ni nini.Je!kuna ulazima wowote uwe na...
  10. F

    Lissu endelea kamatia hapo hapo nimeanza kusikia makelele yao ni wazi sasa sindano zinaingia na wapenda mabadiliko wote tumwongezee mwenyekiti nguvu

    Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu...
  11. M

    Sasa lawama kwa GSM na kujidunga sindano zitaanza rasmi

    Kuanzia sasa Hawa wajukuu wa Rage wataanza zile kauli zao pendwa za GSM anaharibu ligi na SINDANO. Uzi tayar
  12. Carlos The Jackal

    Wakuu najua mnapombeka, Mkesha wa Krismas, vichwani mnawaza ngono tu "Msisahau kupima ". Jamaa kaponea tundu la Sindano Gridi ya Taifa!

    Mwaka Fulan niliwah ishi sehem , Sasa pale nikafahamiana na Jamaa Mmoja darasa la Saba ila ana helaaa ( jamaa wa migodini). Hivo tumekua washikaji tu wa salaam na mastori ya Maisha. Muda fulan kanipigia Simu, Oyaaa kuna Manzi nmempima HIV Kwa kipimo Cha mdomo, Et kuna kamstari...
  13. Blender

    Sindano na CCTV Zina siri gani kwa Timu ya Yanga

    Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini. 1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa. 2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan. Ushahidi wanao Azam...
  14. M

    Kazi waliyopiga wachezaji wa Yanga kwenye mechi 2 timu ya taifa napenda nijue walichomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa timu ya taifa?

    Vijana Dicksoni Job, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize walipiga kazi ya uhakika wakiwa na pumzi Ile Ile mwanzo mwisho mpaka nikajiuliza Hawa wamechomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa kwenye kambi ya timu ya taifa kama tulivyoaminishwa na wajinga wachache ama imekuwaje? Pumzi za...
  15. Waufukweni

    Video yaonyesha mabomba ya sindano yanayotuhumiwa kuwa ya Yanga kwenye chumba cha kubadilishia nguo Azam Complex

    Wakuu Kuna hii video imezua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share kupitia ukurasa wake wa Instagram na maelezo haya:
  16. DR HAYA LAND

    Katika matibabu sindano zinafanya kazi haraka na kwa ufanisi kuzidi vidonge.

    Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona . Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano . Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana...
  17. enzo1988

    Trump na Kennedy: Sindano wanazochomwa watoto zinaweza kuwa na madhara!

    Hawa wagombea sijui kama watatoboa! Wanagusa maslahi ya wakubwa wa dunia! Walikuwa wanaongea wenyewe ,kumbe hawajui kuna msikilizaji mwingine! Hatimaya zimevuja! Tumepona?? US presidential candidate Robert F. Kennedy Jr. has apologized after his son posted a video recording of a recent phone...
  18. Ivan Stepanov

    Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

    Huyu bwana ni kama tulikua tumeshampoteza, lilikua ni suala la kuhesabu siku tu maana hata mkewe alikua kamkatia tamaa. Wakuu mambo haya yasikieni nyie akina min -me , hiv watu mnapata wapi ujasiri wa kusema hakuna uchawi?? Kwakwel kila nikitafakari sipati jibu kwamba hivi ni mahubiri gani...
  19. Chizi Maarifa

    Hongera sana, kama Ally Kamwe angechomwa sindano tu leo tusingekuwa naye

    Tukio la Ally Kamwe kuzimia limekuwa tukio la kusisimua sana kutokana na mkasa wenyewe kuwa mzito na kuepushwa matokeo ambayo yangekuwa ya huzuni. Ally Kamwe alibeba vitu vizito siku ile. Kabla ya match alikuwa akihangaika sana na wazee ambao tunashukuru Ally Kamwe aliamua kujitoa mhanga...
  20. jangoma

    Sijawahi kuizoea sindano

    Huu ni mwaka wangu wa 30 toka mama angu mpendwa aliponileta duniani lakini wallah nawambia sindano haizoeleki. NB mimi ni mkurya wa Mara sio mwanaume wa Dar.
Back
Top Bottom