Wakuu heshima kwenu,
Nimechomwa na sindano yenye kutu, ilikuwa imechomekwa kwenye godoro nikaikalia imenichoma kiasi kwamba imeingia kama robo hivi, nilipoichomoa na kuangalia Ina kutu nyingi.
Je, nahitaji kupata chanjo ya tetanasi au nipake nini?
Ni hofu kali/isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Kimwili. Ingawa hakuna Mtu anayetaka kupata maumivu, walio na phobia hii wana hisia kali za hofu wakiwaza kuhusu Maumivu (Mf. kuchomwa Sindano)
Huweza kuwaathiri zaidi Watu ambao wamepitia Maumivu makali ikiwemo Wagonjwa wa Saratani, wenye Maumivu...
Habari wakuu
Katika kujipima kutumia bioline nimejikuta nimejichoma sindano niliyokuwa nimemchoma mtu mwenye HIV
Sasa nilikuwa mbali kidogo na eneo la kituo cha afya kwahiyo kesho yake ikanibidi niende kituo cha afya mida ya saa nane nikawaelezea wakanipa dawa ya pep imeandikwa LTD m...
Maendeleo ya tiba ni kuwa unaweza kuchomwa sindano itakayo dhibiti wadudu humo mwilini na huhitaji kubugia yale madonge kila siku.
Taarifa hii imetolewa rasmi siku ya lile gonjwa 01/12/ ya kila mwaka. Maendeleo haya yako kule wanakotutumia ARV’s kwa msaada.
Jitihada za Bara la Afrika kuwachanja Raia wake huenda zikaathiriwa na uhaba wa bomba za sindano. Shirika la UNICEF linakadiria Uhaba wa hadi Bilioni 2.2
Mkuu wa Shirika la Afya (WHO) Afrika, Matshidiso Moeti amesema mwaka 2022 Chanjo zitaanza kuja Barani humo kwa kiwango kikubwa, lakini uhaba...
Wana bodi,
NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi...
MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo.
Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea...
Niseme tu mimi binafsi sina tatizo lolote na chanjo. Yaani kama ingekua sio huu uoga uliopitiliza wa sindano, mimi ningekua kati ya watu wa mwanzo kabisa kuchanjwa! Lakini mpaka leo bado nambwelambwela kwenda kuchanjwa kisa tu naogopa ile sindano. Kama mliona ile video ya mwanajeshi aliepelekwa...
Chukua tahadhari binafsi kwa kuvaa barakoa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko mikubwa isiyo ya lazima.
Tuendelee na mada.
Kwa siku kadhaa zilizopita nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya raia wakiuliza kuhusiana na uhalali wa chanjo ya Covid19 na...
Salaam wakuu,
Watoto wengi wanaogopa Sana sindano na wengi wao hawajawahi hata kuchomwa hizo sindano zenyewe lakini wanaziogopa tu.
Yaan unakuta ukiwatajia tu neno sindano wanaanza kulia na kukimbia kwa woga.
Hivi ni kwanini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.