Katika kipindi cha leo "Mahusiano katika familia" kinachorushwa na Radio One, kulikuwa na hiyo mada. Katika maongezi na majadiliano yaliyojiri imebainika kuwa wote wawili (me/ke) ni waathirika wa Simu ya mkononi.
Swali la msingi Je, wewe ni mwathirika wa simu ya mwenzi wako? Kama ni mwathirika...