simu

  1. Samsung yaipiku Apple kwa mauzo ya simu robo ya kwanza ya mwaka

    Uamuzi wa kampuni ya simu ya Samsung kushusha bei ya simu zake aina ya Galaxy S21 unaonekana kuipa faida kampuni hiyo baada ya kumpiku mpinzani wake wa karibu, Apple katika mauzo ya simu duniani kwa robo ya kwanza ya mwaka huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imeonekana kufanya vizuri katika mauzo...
  2. Mkenya atengeneza vazi linaloweza kuchaji simu

    Vazi lenyewe linatumia nishati ya jua kuchaji simu, hongereni sana vijana, mnakokwenda kunafaa...... Ruuj Caflon a University of Nairobi (UoN) graduate is the founder of Caflon design, a company that designs clothes that can charge phones and produce lights. He was taking an electrical...
  3. Kutana na DEEJAY(dj) maarufu Duniani anayetumia Simu ku mix Muziki na matangazo

  4. Tumeachana ila analaumu simtafuti kwenye simu

    Habari wakuu Kuna binti mmoja tulikua kwenye mahusiano kwa takribani mwaka na visehemu,bahati mbaya sana tukaachana tar1/3 mwaka huu na tukatakiana maisha mema fresh fresh. Sasa cha ajabu zinaweza zikapita ata wiki3 atanitxt na kunilaumu kwa nini namtenga sijui simtafuti na lawama...
  5. Msaada kuhusu specifications za simu

    Habarini wakuu. Nimeibiwa simu yangu hivyo uamuzi niliochukua ni kutafuta nyingine kwani kuifatilia iliyopotea naona nitapoteza muda mwingi na hela nyingi... Nimeamua kutafuta simu nyingine ambayo bajeti yake haizidi 350k. Katika pitapita zangu mtandaoni nimevutiwa na VIVO Y20 ambayo...
  6. Mrejesho: Kumuacha Grace imeshindikana tena hata baada ya kumkazia kwa wiki mbili

    Niliamua kumkataa na kutokutaka asije gheto ili kuomba misamaha yake ya kitandani!, Jambo lililodumu kwa wiki mbili tu wakati nilijua forever. Mara hii baada ya kuona nimeshikilia msimamo kwa muda mrefu akaamua isiwe tabu akaja gheto kwa lazima lakini hakufanikiwa kuingia maana angeingia tu...
  7. Sasa unaweza kuifundisha Google Assistant kutamka majina kwenye simu yako

    Kama umekuwa mtumiaji mzuri wa huduma ya Google Assistant, utakuwa unafahamu ni kwa ainsi gani huduma hii ilivyorahisisha utafutaji kwenye simu yako. Ni rahisi kutafuta kuhusu hali ya hewa, matokeo ya mechi, mgahawa ulio jirani, nk., vyote kwa njia rahisi tu ya kuzungumza kwenye simu yako...
  8. Phone4Sale Nauza Samsung Galaxy TAB S2

    Ipo katika hali nzuri kabisa Ram gb 3 Storage 32gb Simcard & memory card 250,000 Nipigie humu 0715 378899, napatikana Kariakoo
  9. Naombeni elimu kuhusu hivi vifaa vya kukuza screen ya simu

    Ni vizuri, yaani vinatoa picha Quality? Bei zake zinachezaje?
  10. U

    Kikwete asema Profesa Benno Ndulu ndiye aliyeleta utaratibu wa malipo ya fedha kwa njia ya simu

    Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za kifedha hapa nchini. Kikwete aliyasema hayo Aprili 22 nchini Marekani wakati wa majadiliano maalumu...
  11. Siku gani ulipokea simu nyingi zaidi katika historia ya maisha yako?

    Hebu tujalibu kupiga soga mbili tatu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tuambie siku ambayo ulipigiwa simu nyingi na watu tofauti kuliko siku nyingne zote na sababu ya kupigiwa. Naanza mimi, nakumbuka ilikua 2013 siku ambayo matokeo ya form 4 yalitoka, aisee ile siku nilipigiwa...
  12. TECNO kutwaa tuzo ya simu pendwa baada ya kuishinda Samsung

    Utafiti wa soko la teknolojia, uliofanywa na Kampuni ya utafiti ulimwenguni inayojishughulisha na bidhaa katika tasnia ya teknolojia ya vyombo vya habari na mawasiliano ya simu. Mwishoni mwa mwezi wa nne wametoa report ikionyesha kuwa kampuni ya simu TECNO imechukua nafasi ya kwanza kama simu...
  13. Nashauri makampuni ya simu yaanzishe utaratibu tuwe tunalipia huduma za simu kama kodi za nyumba

    Habari wakurugenzi..! Nilikiwa nashauri haya makampuni yaanze kukubali gharama za simu tuwe tunazilipa kama kodi ya nyumba tuwe tunalipa kila baada ya miezi au mwaka na tunaandikishiana na kuwe na mikataba kati ya mtumiaji wa huduma na kampuni husika . Hilo swala la kulipa vifurushi naona...
  14. Kununua LUKU kwenye simu kunakaribisha gharama?

    Nimenunua LUKU. Mbali na hela ya LUKU, mtandao wa simu nilioutumia umeripoti kukata malipo ya kuutumia mtandao wao kununulia LUKU. Zamani walikuwa hawaonyeshi makato hayo. Huo mtandao utakuwa umeamua kuwa wawazi zaidi.
  15. Ni sababu zipi zinasababisha HR kutopokea simu au kujibu email baada ya interview?

    Nimefanya interview na taasisi fulani inayojihusisha na maendeleo ya Jamii, cha kushangaza kuna baadhi ya vitu waliniomba niwasilishe nilivyompigia HR simu yake ya mkononi hapokei wala ujumbe hajibu. Je, sio sahihi kwa HR kupokea simu ya mtu aliyemfanyia interview?
  16. R

    Wanaosajili line za Simu wanalipwa commission kutokana na matumizi ya mteja?

    Habari wakuu, Huwa najiuliza hawa vijana wanaozunguka mitaani wakiuza line za mitandao ya Simu wanafaidikaje? Wanafaidika tu kwa kuuza line walizonunua kwa bei ya jumla au baada ya kumsajili mtu huwa wanapata commission labda kila mwezi kulingana na matumizi ya mteja? Wenye kufahamu tafadhali...
  17. K

    Serikali na kampuni za simu zilivyotoa watumiaji kwenye reli

    Amani iwe kwenu! Kwa wale ndugu zangu mliosoma biashara kuna somo linaitwa Strategic Management, kwa kifupi somo hili linaangazia zaidi juu ya kuanzisha, kutekeleza na kupitia au kurejea mikakati yaani kwa kimombo wanasema stategic managment is about formulation, implementation and Review /...
  18. Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  19. Zitto Kabwe aliwahi kupinga kodi ya laini ya simu

  20. Kuchunguza simu ya mpenzi wangu mwisho ilikuwa 2017, siwezi na sirudii

    Nakumbuka nilikuwa sina sana iyo tabia kiivo na ilipelekea kila mmoja wetu kutokuwa na password katika Simu. Iyo siku shetani alipitia na ndio uhusiano wangu ulivunjika ambao nliuamini ntazeeka nao, Tulitoka kuzika sasa si unajua ukifiwa pole nyingi na unakuwa bize kuzijibu, Tukafika home...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…