simu

  1. JamiiForums Tanzania Hivi mtu anamiliki simu zote hizi za kazi gani?

    Mnisaidie kuhesabu wadau hivi hizi ni simu ngapi
  2. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Vifurushi vya mitandao Tanzania: Je, tutarajie nini?

    Wakuu habarini, Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi! Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala...
  3. JamiiForums Tanzania Mke wangu kanikimbia

    Wadau ngoja nije moja kwa moja kwenye mada Huyu mama watoto nimeanza nae mahusiano mwaka 2019 akiwa diploma mimi niikiwa mfanyakazi. Mwishoni mwa 2019 nikaamua kumweka ndani ili tusomane vizuri tabia kwa sababu nilikuwa nina shauku sana ya kuishi na mwanamke mmoja ninaye mpenda. Nikaenda kutoa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tozo Miamala ya Simu bado kimeumana

    Alisikika Mh. Rais kuwa tozo kwenye miamala ya simu zimeridhiwa na wananchi kwa maslahi yao. Mapema aliwahi kusikika Dkt. Mwigulu akisema tozo zenyewe ni ndogo tu. Bila shaka msomi huyu alisahau kuwa chochote cha zaidi kwenye nyingi zilizopo, hakuufanyi mzigo wa tozo zote kwa watu kuwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tozo kupitia miamala ya simu ikiendelea itakuja kuigharimu Serikali ya CCM

    Wananchi wametoa malalamiko yao kwa Serikali lakini bado kimya, watu wengi wameacha biashara ya miamala ya simu na hii inapelekea familia zao kupata shida, hata malengo ya Serikali yaliyotarajiwa hayatafikiwa kwa sababu watu wengi wameacha kutumia huduma hii. Mfano mimi leo nimetuma Tshs.1m/=...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ulitaka wananchi tukataaje tozo za miamala ya simu?

    Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa, umenifikirisha na kunisikitisha sana. Nimekusikiliza na kukutazama kwenye mahojiano yako na mwandishi na mtangazaji nguli Salim Kikeke. Nimekufuatilia hadi nikalia ulipokuwa ukijibu maswali bila kujali athari. Juu ya tozo za miamala ya simu, nimekusikia na...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

    Nimeshangaa na kufadhaishwa sana naa kauli ya raisi kuwa eti watanzania hawajakataa tozo na wapo tayari kuchangia hizo tozo ila tu zipunguzwe. Hii kauli imenifanya nijiulize sana kuwa either amechoka kuongoza au hajui afanye nini. Watanzania gani hao wanaokubali tozo hizi? Mmekaa wenyewe...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe alimpigia simu Rais Samia kumpa pole akiwa Dubai

    Kwenye Space ya Maria inayoendelea, Mheshimiwa Lema anasema kuwa Mheshimiwa Mbowe alimpigia simu Rais Samia na kumpa pole kifuatia kifo cha Dkt Magufuli. Wakati huo Mheshimiwa Mbowe alikuwa Dubai na kwamba Rais alimuahidi Mheshimiwa Mbowe kuwa Mara baada ya msiba kuisha, wangekutana na kuijenga...
  9. JamiiForums Tanzania Nifanye nini nimsahau mtu niliyekuwa navutiwa naye kimapenzi ila sikufanikiwa kuwa naye?

    Habari za muda huu Ndugu zangu. Poleni na changamoto za kupambana na Uviko 19. Nije moja kwa moja kwenye mada, hivi ukimpenda Msichana au Mvulana unayeweza kuongea nae kimapenzi ingawa hujatembea nae. Mawasiliano yake muda mwingine yamekua ya kusuasua anaweza kujibu meseji na wakati mwingine...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali inawahamisha wananchi wasahau na wasiongelee tena TOZO ya miamala ya simu. Wananchi tuendelee kuwalaani viongozi wetu waliotuletea huu wizi.

    Huo hapo juu ni wizi na hujuma za waziwazi tunaofanyiwa na serikali yetu. Cost of living imekuwa kubwa, uchumi wetu wa kusuasia unazidi kuwa hoi hasa wazazi na ndugu zetu wanaotegemea mpesa, tigopesa, airtel money kufanyiwa miamala yao. Fikiria ndani ya ada za miamala kuna 18% kodi inayoenda...
  11. JamiiForums Tanzania Simu za maofisini (land line) hazifanyi kazi kwenye ofisi za Serikali na Mashirika ya Umma na Taasisi zake Tanzania

    Ninaandika mada hii kwa masikitiko makubwa sana,ofisi za umma,mashirika ya umma na taasisi zake tanzania hazitumia simu za land line ili kuwahudumia wananchi. Matokeo yake viongozi,watendaji wa serikali wanatembea na ofisi zao mifukoni mwao. Wawekezaji wanatafuta simu za maofisi wakiwa nje...
  12. JamiiForums Tanzania Shahidi wa nane kesi ya Sabaya: Mume wangu hakupigwa wala kunyang'anywa simu

    Katika muendelezo wa kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Shahidi wa nane wa Jamhuri dhidi ya Sabaya ameieleza mahakama kuwa hakumshuhudia mumewe akipigwa kama alivyoeleza. Pia, ameeleza bayana kuwa simu zake...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania atakayempigia kura ya ndio kiongozi aliyemletea tozo za miamala ya simu

    Habari, Endapo uchaguzi mkuu utafanyika leo au hiyo 2025, hakuna Mtanzania (ukiondoa tabaka tawala) atampigia kura kiongozi ambaye amemletea tozo za hovyo za miamala ya simu kienyeji. Muamala ambao mtu alikatwa shilingi 2700 sasa anakatwa karibu elfu tano nzima. Mtanzania wa chini alikuwa...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya simu chanzo cha rushwa ya ngono maofisini

    Matumizi mabaya ya simu yametajwa kuwa chanzo cha rushwa ya ngono maofisini, na kundi linalo athirika zaidi ni wanawake/wasichana ambao wanarubuniwa na mabosi wao kwa lengo la kupata vyeo. Nauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Ndg. Jabiri Shekimweri wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeomba namba ya simu kwa binti akanijibu hana simu

    Wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu. [emoji117] MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi[emoji116]
  16. JamiiForums Tanzania Charles Odero, afungua kesi Katika Mahakama Kuu kupinga tozo za Miamala ya Simu

    Wanaukumbi. Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za Miamala ya Simu iliyoanza Julai Mosi. Kesi hiyo itaanza Alhamisi,Agosti 12. Hawa ndiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu samsung s8 plain

    Bei ni 320,000/= 64gb|4gb RAM In a very Good condition ▪︎Doted (ina kidoti kidogo kwa juu) ▪︎Haina mchubuko wala mkwaruzo ▪︎Nakupa wire na earphone ▪︎Sehemu yoyote unayoitaka tunaeza fanyia biashara(Hata kituo cha polisi) Contacts: call/sms/whatsapp0654030252
  18. JamiiForums Tanzania Kutoka kutokuwa na simu hadi kumiliki smart phone -- does this man have a point?

    Leapfrogging is overrated, says a Harvard development professor, Yinka Adegoke West Africa Cellular Telecommunications business A revolution without industrialization. (EPA/Legnan Koula) Over the past few weeks there have been several stories about the growing penetration of smartphones...
  19. JamiiForums Tanzania Kodi ya miamala ya simu ni mbinu mpya ya upigaji?

    Ni wiki chache tu tangu serikali ianzishe kodi ya miamala ya simu kwa madai kwamba mapato yatakayotokana na tozo hizo yataenda kufungua barabara za mjini na vijijini. Lakini juzi, waziri huyo huyo aliyetuaminisha kwamba barabara zitajengwa kwa kodi inayotokana na tozo ya miamala ya simu...
  20. JamiiForums Tanzania Tozo Mpya za Miamala: Pigo kwa Sekta ya Mawasiliano nchini

    A new government levy on mobile money introduced last month in Tanzania has sparked outrage from citizens due to the significant increase in costs. With 26 million people, almost half the country’s population, using mobile money the surge in prices has been felt widely. The tax, which has...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…