Matumizi mabaya ya simu chanzo cha rushwa ya ngono maofisini

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,076
7,647
Matumizi mabaya ya simu yametajwa kuwa chanzo cha rushwa ya ngono maofisini, na kundi linalo athirika zaidi ni wanawake/wasichana ambao wanarubuniwa na mabosi wao kwa lengo la kupata vyeo.

Nauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Ndg. Jabiri Shekimweri wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa wataalamu wa Umma Tanzania (APAT).

Maofisi ya Umma ngono imeshamiri sana, rushwa, rushwa, rushwa. ngono, ngono inatembea vibaya mno. unashangaa mtu anapanda madaraja kama anateleza kumbe katoa rushwa ya ngono kwa boss mkuu.

Huu ndio ukiukwaji wa maadili ulio shamiri ktk kila ofisi za umma.

TAKUKURU wanapaswa wafanye kazi ya ziada kubaini vitendo hivi vya ukiukwaji wa maadili ktk ofisi za umma.
 
Mapenzi ni kitu cha kawaida sana maofisini, hata wenye ndoa wanatoa penzi kwa mabosi wao au wafanyakazi wenzao licha ya kuwepo kwa maadili ya kazi na maadili ya imani za dini, bosi gani aone kitu kizuri kimenonanona na kupendeza alafu akilazie damu? Haya mambo yako na udhibiti wake ni mgumu labda wahanga wa tabia hizi wazikane nafsi zao wawezavyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom