Nimeomba namba ya simu kwa binti akanijibu hana simu

alcacer

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
238
201
Wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu.

MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi
 
wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu.

Acha ufalla dogo, unampa business card na msimbazi atakutafuta yeye. Msitumie nguvu kubwa, acha dem akusake mwenyewe
 
wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu.
MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi
Simu kitu gani bwana kama umependa? Siku hizi zipo simu mpaka za $100, kama unapendapenda mademu vunja kibubu ingia Kariakoo.

Kwa $500 unaweza kupata hadi simu 7 tena zenye snap chat.. Nunua na laini zake kabisa, full charge na vocha za kianzio, weka kwenye kibegi chako, ukikutana na mzigo ukakwambia hauna simu unachomoa tu moja na kumpatia
 
simu yangu yenyewe imefungwq rababendi
 
Wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu.

MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi
Huyo hajavutiwa na wewe we pita kushoto ukilazimisha utakuja kujuta au anaweza kukugeuza danga lake.
 
Back
Top Bottom