Ni Septemba mosi ya mwaka 2000 mara baada ya mchakato mkubwa wa kurudi tena jikoni na kuipika na kufanyia kazi mapendekezo, na madhaifu ya Nokia 3210, siku hiyo ya Ijumaa ikawa ni siku bora kuwahi kutokea katika uwanja wa teknolojia ya mawasiliano, kwani ndio siku ambayo dunia kwa mara ya kwanza...