simu

  1. JamiiForums Tanzania Kariakoo sehemu gani naweza kupata simu used kwa bajeti kama laki 2?

    Wazee kichwa cha habari kinajitosheleza
  2. JamiiForums Tanzania Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

    Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi. Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mnaambiwa: Msijichanganye kwenye makato mengine ya watoa huduma yaani benki/kampuni ya simu na VAT. Tozo ya serikali inajitegemea

    Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/- Pia tusichanganye makato mengine ya watoa huduma yaani benki au...
  4. JamiiForums Tanzania Software za kufrashia simu

    Niko na simu hapa nataka kui remove screen lock mbaya zaidi button zake za volume up na down zmeharbika ningeweza kuiformat. Katika pitapita zangu huko YouTube nikaona wahindi wanatumia MTK CLIENT TOOL na MTK UNIVERSAL TOOL kwa mwenye hizo software wakuu naomba ili niweze kutatua changamoto hii
  5. JamiiForums Tanzania Anae fahamu hizi simu za Kyocera BASIO 3 anipe mwanga kidogo kuzihusu nisije pigwa za kichwa PLEASE

    Nimezikuta mjini unguja zinauzwa 90k mpaka 100k nimeingia google nimekuta GSM arena hawajazifanyia review na ni simu ya 2017-2018 na kwenye baadhi ya apps zimeandikwa kichina nimaogopa nisije yakanyaga nikavuka zangu maji nikaondoka lakini hivi karibuni nitaenda tena huko Zanzibar sasa nahitaji...
  6. JamiiForums Tanzania Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

    Hello wanajamii forums, Ni wiki kama mbili sasa tokea kutumia zile apps za wire tun, Thor VPN na HA Tunnel zinazotoa huduma ya free internet kutoka servers za mbali kama vile UK, US, German e.t.c Simu yangu iliyotoka kiwandani ikiwa na 6000 mAh, ambayo ilimaliza siku 3 pasipo kuchajiwa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Motorola Moto X30 Pro: Simu bora ya mwaka huu

    Motorola Moto X30 Pro Camera 200 MP Selfie camera 60 MP Screen 6.7" Fast charger 0-100$ 19 minutes Kwa maoni yangu hii ndiyo simu bora kabisa ya Android. Sioni Samsung yenye sifa hizo
  8. JamiiForums Tanzania Tunaomba taasisi za Serikali waweke namba zinazopatikana kwenye mtandao

    Tunaomba taasisi za Serikali waweke namba zinazopatikana kwenye mtandao. Kimsingi ni vigumu kupata mawasiliano kwa kutumia namba za simu zilizoko kwenye mtandao kwani nyingi ya namba hizo hazipatikani kwa sababu tofauti tofauti (ni mbovu, hazijalipiwa au hazitumiki tena) nk. Baadhi ya watu...
  9. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana na tatizo la ajira

    NAOGOPA Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na...
  10. JamiiForums Tanzania Apple yadaiwa ipo njiani kuzindua simu ya iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022

    Kampuni ya Apple Inc. inatarajiwa kuzindua toleo la iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022. Taarifa za awali zinaeleza kuwa uzinduzi huo utaendana na bidhaa nyingine kadhaa za kampuni hiyo Apple Targets Sept. 7 for iPhone 14 Launch in Flurry of New Devices Apple Inc. is aiming to hold a launch...
  11. JamiiForums Tanzania Budget 260k nahitaji Simu

    Offer yangu 260k simu ikiwa kali naongeza pesa.. Mali halali Android Phones Only Simu iwe kwenye good condition.. Na iwe double line.. Nichek 0733575632 tufanye biashara
  12. N

    JamiiForums Tanzania Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

    Naaam mambo ni bull bull , hii meseji ya kuboresha vifurushi nafikiri maana yake inaeleweka vizuri, safi sana nasemaaaajeee safi sana Tanzania bado ni ya 6 afrika kwa vifurushi vya bei nafuu ,kwa nini gb moja isiwe tshs 5000? Labda ikifika GB 1 kwa tshs 8000 ndipo tutashuka na kushika nafasi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu na huduma stahiki kwa wananchi

    Kuna kitu inabidi tujiulize kuhusu makampuni ya simu na huduma tunazostahili kupata kutoka kwao, huduma ambazo ni haki yetu kupata na wala hatupewi msaada. Shida inatokea pale watanzania wapoona makampuni haya ya simu yanatuhurumia kutupatia huduma hizi na kwamba bila ya huruma yao basi huduma...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na aina hii mpya ya utapeli kwa njia ya simu

    Habari wana JF, Tukiwa humu ni kama Ndugu tunabadilishana mawazo na kuamshana fikra. Jana jumatatu jioni nimepigiwa simu na hiyo namba. Anachofanya yeye ukishapokea ni kukuliza unajua unaongea na nani!? Ukikosea ukajichanganya kumjibu hapo ndio mizinga ya hela huanza tena ndefu. Kajichanganya...
  15. JamiiForums Tanzania Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

    Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu. Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo. Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado...
  16. JamiiForums Tanzania Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

    Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo. Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
  17. JamiiForums Tanzania Mkeo au mumeo akiwa na simu kubwa na kile kidogo(kiswaswadu) kaa nacho mbali usiseme sijakwambia

    Tangazo muhimu kwa wote ukiona mumeo au mkeo ana simu mbili moja kubwa touch alafu ana kile kidogo maarufu kiswaswadu yes kiswaswadu kaaa nacho mbali mnooooooooo utakuja nishukuru usikiguse narudia kaaa nacho mbali mnooooooo usije sema atukukwambia
  18. JamiiForums Tanzania KERO: Mitandao ya simu ichunguzwe kwa kuwaunga wateja huduma bila ridhaa yao na kuwakata kwenye salio la kawaida

    Moja kwa mmoja kwa hasira kubwa.. Ilikuwa haijawahi kunitokea zaidi ya kusikia kwa wenzangu kua mara nyingi unakuta mtu kaweka bocha ya ngama kufanyia shughuli mbalimbali unakuta ghalfa akijiunga salio halitoshi na akicheki salio wamekata kwa kweli inatia hasira sana. Na ukijaribu kuwapigia...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hana mazoea ya kushikiwa simu yake

    Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu...
  20. JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu na TCRA +BOT wanashindwa kuzuia malipo yanayoenda kwa akaunti za Mange Kimambi? Zinafadhili uhalifu

    Hizi Hela zinatoka katika akaunti za mpesa/tigo/halotel/Airtel. Watu hulipia Application ya Mange kutokea makampuni hayo, kwa wingi. Watanzania wengi hawana ujanja wa kutumia Mastercard and the like, ni ku-highlight destination ya Hela inakotumwa na kuingiza mfumo wa ku-block transaction...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…